Mario Puzo v/ James hadley chase

PARRIE KIJIKO

Senior Member
Jul 22, 2012
110
12
Kwa wale wasomaji wa novel hasahasa "crime fictions" hayo majina hayatakua mageni kwenu,wote wawili ni marehemu kwa sasa
baadhi ya kazi za puzo ni 'the godfather','the dark arena'the sicilian etc
baadhi ya kazi za chase ni 'no orchids for miss blandish','i'll get you for this',safer death etc.
Je,kwa mtazamo wako kazi za nani ni nzuri zaidi na ni mwandishi yupi alikua mzuri zaidi(the best)?
 
niliwahi soma kitabu cha James Hadley Chase kilikua na title "There is Always a Price Tag" sio siri nilipenda story yake jamaa yuko juu sana
 
Mario Puzzo ana Novels kama kumi na sita tu.., ingawa The Godfather, The Sicilian na Last Don zilikuwa a work of art lakini kama unaangalia consistent na genius when it comes to writing ni wachache wanaoweza kufanya maajabu aliyofanya chase.. anavyo vitabu zaidi ya tisini na vyote ni masterpieces.. na story ni touching na tofauti tofauti..

Ukilinganisha na Mario Puzzo (aliyeandika kuhusu Mafia) utaona kwamba he had more materials to work with more readily.., You can argue kwamba maybe just maybe kwamba Godfather was a Bestseller kuliko vitabu vya Chase lakini Chase was more consistent anyway its hard to compare they are all good authors lakini Chase was out of this world by being consistent... and I can say he might have been a better author (maybe with same materials Chase might have written a better Godfather than Puzzo)
 
hahahahahaha,hiyo Godfather ya chase si ingepoteza ile radha ya kisicili?ie yale majina,miji etc,nway nahesabu kura hapa
 
nimesoma vitabu karibu 20 vya jhc..mtunzi wa aina yake kwa aina ya lugha anayotumia na jinsi anavyowaelezea characters wake kwa lugha rahis na ya kisanii...sijawahi msoma m.puzo ngoja nitafute vitabu vyake...sidney sheldon ...na my favrt agatha christie- master of crime novels are also brilliant authors
 
hahahahahaha,hiyo Godfather ya chase si ingepoteza ile radha ya kisicili?ie yale majina,miji etc,nway nahesabu kura hapa
Ni kweli ndio maana nikasema information zake kuhusu mafia zilimfanya aweze kutoa kitu safi, ila nina uhakika kama tungewapa same materials waandike Chase angetoka ontop.., kwakweli Chase is a genius (alafu unajua kwamba Puzzo alikuwa on verge of Bankruptcy na kufilisika ndio akakaa vizuri akatoka na Godfather) all I can say his experience more than his writing capabilities zilisaidia
 
tofauti ya chase na wenzio ipo njenje we kwa mfano ona title 'i'll burry my dead' yani hadi udenda unakutoka bt puzo mara nyingi alitumia title nyepesi sana
 
Hivi Sidney Sheldon je?
One of my favourite author na sio kwamba ameandika pekee (pia ametengeneza some of brilliant tv series) I dream of Jeannie ikiwa moja wapo

Story za Sydney ni brilliant and masterpiece.., lakini nadhani ni vigumu kwa kiumbe yeyote kuweza kutengeneza more than 90 books na vyote vikawa out of this world.., Ingawa labda kuvipanga kwa uzuri wa story na touching stories na creativity huenda vitabu vya Sydney vikawa juu zaidi (Ingawa yeye anavyo vichache kuliko Sydney) ila Binafsi I prefer Sydney to Chase ingawa namvulia kofia Chase
 
Aloo nimeiona hii thread moyo ukanilipuka kwa furaha,da jamani i love these things Godfather, The Sicilian and last Don. Yani niliagizaga Nairobi with a lot of money akaniazima ndugu yangu hakurudisha tena .i wish to reread them again and again,especially the Godbaba jamani hapa bongo naweza kuvipata wapi?
 
When it come tu ujuzi wa uandishi,lugha tamu my vote kwa chase bt when it cames kwenye kuongelea ile mafia life,ukauzu?aaah puzo is the best!.sidney ni mzuri coz aliweza hama akaunganisha sphere mbili tofauti au tatu ambazo zote ni core ndani ya kitabu kimoja ie love+crime+politics ma zote kwa usawa,he is the best too
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom