MARIO BALO-GOALS..... WAZUNGU WATAIKUBALI TU BLACK...!! proudly african

stineriga

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
2,172
886
Mario-Balotelli-Germany-Italy-Euro-2012-Semi-_2787269.jpg

italy_s_mario_balotelli_scores_his_second_goal_des_4feccc5fdd.JPG

Wa-ITALY NA UBAGUZI WAO KWA MARA YA KWANZA WALIMCHEZA MTU MWEUSI KWENYE NATIONAL TEAM YAO, NA AMEWABEBA HAWATASAHAU... THEY GOT RESPECT NOW..!!

WAJERUMANI NA UBAGUZI WAO JANA WALICHOFANYWA NA MTU MWEUSI HAWATASAHAu HIZO KUMBUKUMBU...!!

proudly african
 
Ndio maana Baloteli haachi kufanya vibweka kila akiingia uwanjani.
Jana sikuona wakimziba mdomo, sijui ni kwa sababu alianza tofauti na mechi dhidi ya Ireland aliyotokea bench, baada ya kufunga goli akawa anabwabwaja hadi mchezaji mwenzake akaamua kumziba mdomo.
 
Mario-Balotelli-Germany-Italy-Euro-2012-Semi-_2787269.jpg

italy_s_mario_balotelli_scores_his_second_goal_des_4feccc5fdd.JPG

Wa-ITALY NA UBAGUZI WAO KWA MARA YA KWANZA WALIMCHEZA MTU MWEUSI KWENYE NATIONAL TEAM YAO, NA AMEWABEBA HAWATASAHAU... THEY GOT RESPECT NOW..!!

WAJERUMANI NA UBAGUZI WAO JANA WALICHOFANYWA NA MTU MWEUSI HAWATASAHAu HIZO KUMBUKUMBU...!!

proudly african

amenikosha sana balloteli kainyanyua ngozi nyeusi.nyeusi stant upppp...
 
jana fully raha.................kitu balotelliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Wataisoma tu, na kwa jeuri kocha akampumzisha baada ya dk 45 ili ajiandae kuwatungua Spain.
nilikuwa nataka amuache apige nyingine 2 kwenye kipindi cha pili...wahispania na wenyewe wataisoma.... MARIO BALO-GOALS lazima awalize...!!!
 
Uko sahihi,wangemuacha angeweza kuongeza nyingine kama 3 hivi,maana kipindi cha pili Italia wamekosa magoli kama matatu ambayo nina uhakika kama angekuwa amesimama huyu mlume basi Ujerumani wangemsimulia mweusi huyu milele..
 
wameshamkubali sema tu hawataki kuliweka wazi hilo.................ila kimoyo moyo wanamkubali balaaaa.
Wacha weee!!!!!. Kwa nini usiseme "sister" kama umemzimia Balogoaal?. Kama uko full kumzimia ni PM nikuunganishe.
 
Wataisoma tu, na kwa jeuri kocha akampumzisha baada ya dk 45 ili ajiandae kuwatungua Spain.

nilikuwa nataka amuache apige nyingine 2 kwenye kipindi cha pili...wahispania na wenyewe wataisoma.... MARIO BALO-GOALS lazima awalize...!!!
Kama mweusi mwenzangu ninajivunia na anakubalika popote,anapaswa awe mchezaji bora katika EURO2012, lakini linapokuja timu za taifa, kwangu yeye ni Muitaliano kama akina Pirlo, na kwa hilo niko pamoja na Spain "hata kama Super Mario atatufunga 5-0.
Ninawakribisha jukwaa la Michezo Jumapili saa nne kasorobo (20:45). Kipenga cha mwisho ndio mwamuzi.
 
Asante baba umetukaribisha tutahudhuria, ila usikimbie tu maana usipoanzisha thredi mimi nitaanzisha..
 
Wacha weee!!!!!. Kwa nini usiseme "sister" kama umemzimia Balogoaal?. Kama uko full kumzimia ni PM nikuunganishe.
hahahah............uchizi wa balotelli ndo unaniachaga hoi na jana nilipenda washinde na wakashinda kweli ndo furaha yangu mkuu.
 
Back
Top Bottom