Marin Hassan wa TBC jichunguze...

mtasema mengi, ila mambo yakiwa favor upande wenu sio lazima.

mgombea mwenza wenu hana elimu yuko darasa la saba, lkn mnatetea elimu sio lazima.

leo marin na kibonde maziro nyny mwaka huu shonde litawatoka
 
Hivi ni kweli mgombea mwenza wa CHADEMA ni standard 7?!

ndio...ana elimu ya msingi tu!

kisha chama hicho hicho kinakuja kunadisha umuhimu wa elimu kwa kila mtanzania........

elimu ya nini wakati hata ukimaliza darasa la saba tu unaweza kuwa makamo rais wa nchi? :confused2:
 
Huyu marin na kibonde wana uelewa mdogo sana wa mambo. The are quite misleading incompetent and unprofessional. Nikisikia hoja zao utadhani walisoma ngumbaru. I feel like vomiting.
Hasan marina na Kibonde hawajui kuwa wao niwatumwa tu wa mafisadi?
 
With time kama TBC kama Taasisi wanajirekebisha, leo tar 01/09/2010 niliweza kuona TBC ikicover hata wagombea wa vyama vya upinzani wanaotembea nyumba kwa nyumba.

Nashauri aliyeanzisha thread hii achukue hatua kuhusu matamshi ya Marin Hassan akitaja siku, tarehe na maneno ailyotamka na kwa kupeleka malalamiko hayo Baraza la Habari nakala TBC tuone kama hataacha kupayuka payuka
.

Hiyo ni haki ya wasikilizaji chini ya sheria zetu za habari.

I agree, this is how JF and its users can become real change agents. Malamiko kama haya yaje na fact na kupelekwa kwenye taasisi husika. Hata kama maamuzi hayatu-favour anaglau wahusika wajue kwamba JF is watching. Hi ya kupiga fyafya tu haitatufikisha mbali. At times I peruse the boards and I cant help but feel exhausted as every topic, every thread seems to contain more complaints than solutions...baada ya muda inaboa!
 
JF ikimchoka mtu walah wanamvua nguo
kwa mfano mie nasema ukimuangalia MArin usoni anaonekana kama ana mafua yasiyopona vile
LOls
 
haya MAKAPI ALIYALETA JK NDUGU NA WAKO PALE KWA MALENGO MAALUM
USIONE WANABWABWAJA WAO UKIFIKIRI WAO MAMLAKA AMA NJA ZINAWAFANYA WASEME HIVYO
WAZOOENI JAMANI
 
Msameheni mara 7 mara 70. Huyu katokea kojani, halafu kakulia mchambawima, unategemea nini hapo. Mwambia kule zenji wenziwe wamesha acha hayo.

CHADEMA ikishinda atangaza nini?
 
Marine na Kibonde wanajua wanalolifanya na kwa ajili gani. Ni ma-brainwashers wazuri kama walivyo akina Kakobe, Mwingira, Sheikh Ponda, Mzee wa Upako, Makwaia, Salva na Muhingo Rweyemamu,....
Watu wa aina hii tunao tu. Ni kuwapuuza ingawa wakiachiwa bila kukemewa wana ushawishi mkubwa.
 
marine na kibonde wanajua wanalolifanya na kwa ajili gani. Ni ma-brainwashers wazuri kama walivyo akina kakobe, mwingira, sheikh ponda, mzee wa upako, makwaia, salva na muhingo rweyemamu,....
Watu wa aina hii tunao tu. Ni kuwapuuza ingawa wakiachiwa bila kukemewa wana ushawishi mkubwa.
marine endelea usiogope....hawa ni whistle blowers...hawana jipya....ukimwona mtu amekosa ustahamilivu basi jua huyo ameishiwa....
Na kaburu ni kaburu tu hata kama mweusi kama mkaa..
 
Nadhani nikubaliane na wote hapa kwamba ndugu yetu Marin anahitaji akarabatiwe kitaaluma. Hata sisi tusiokuwa wanataaluma tunaona hitilafu hizo. Ni mtu anayependa kuji project yeye mwenyewe zaidi akiwa studio na sio kama mwezeshaji katika kupasha, kuelimisha au kuwasilisha ujumbe uliokusudiwa. Wakati mwingi na kwasababu ya udhaifu wake wa kutaka sifa na kujionyesha yeye mwenyewe zaidi, hutumia maneno magumu au yasiyozoeleka (un common) au kimakosa (kulazimisha katika sentesi) na hivyo kushindwa kufikisha ujumbe uliokusudiwa. Matokeo yake, badala ya kupata sifa kama anavyokusudia,inakuwa kinyume chake. Watazamaji huanza kujiuliza nini maana ya maneno aliyotumia badala ya kutafakari ujumbe uliokusudiwa. Aidha watazamaji wengi hujikuta wakiwa bored na nafikiri ni kiumbe ambaye huchosha hata wale aliokaribu nae ikiwa ni pamoja na wafanya kazi wenzake. Na hili la ushabiki wa kisiasa anaoleta kwenye chombo cha umma halimwongezei tija au sifa yeye mwenyewe hata huko CCM na sanasana ni TBC inadhalilika. Usitumie chombo cha watu na nafasi uliyoipata ya kuwasiliana kwa urahisi na umma wa Tanzania kuendeleza au kuonekana kuendeleza ajenda binafsi na hasa za kisiasa. Unajimaliza mwenyewe!
 
marine endelea usiogope....hawa ni whistle blowers...hawana jipya....ukimwona mtu amekosa ustahamilivu basi jua huyo ameishiwa....
Na kaburu ni kaburu tu hata kama mweusi kama mkaa..

Umesahau hii pia kuwa mpumbavu ni mpumbavu tu haijalishi amesoma ama hajasoma so u fall in this group as well...
 
Back
Top Bottom