Marie stopa-Kimara saa mbili Usiku imefungwa!!!

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Hivi hizi ni Hospitaly,Clinic au Dispensary coz mtu unaenda na mgonjwa saa mbili wamefunga hawatoi humuma maana yake nn?au pengine ni Duka la Dawa watuambie tujue moja inauma sana wadau hebu nisaidieni!!!!!!!
 
Marie stopes zote kazi haswa ni kutoa mimba hasa za wanafunzi wa vyuo vikuu na sekondari,wateja wengine ni wa kuongeza tu siku.kama ulikuwa hujui fanya utafiti ndugu yangu.
 
Aha aisee kaka hii ni kweli kabisa nimepita hapo saa mbili na mgongjwa walinzi wamefunga eti mpaka kesho!!!
 
sioni cha kulalamikia hapo ile ni sehemu ya mtu binafsi muda wa kazi anajipangia mwenyewe...
 
vituo vya kutolea mimba hivyo eti wamekuja kueneza family planning ila mbeya kituo chao kimoja kimefungwa
 
kuzaa watoto wasiotarajiwa na kutoa mimba hos bora nini,kila kitu mnalalamika :rain:
 
Hebu tujenge hoja ya msingi ktk hili,mnatambua kuna hospitali zilizofungiwa hapa hapa Dar zinafanya kazi??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom