Marende declares Kibaki nominations unconstitutional.

hili bunge la Kenya balaa, hawapokei tu eti kwakuwa rais amesema. Off-course bado wanajiattach sana na kabila za wawapendao!
 
By all stds Kenyans are surfing on the right direction.
Wanashughulika na impunity kwa sasa, wakivuka hapo Kenya itakuwa undisputed power house east and central africa.

Huku tumeng'ang'ana na mipasho 'wee Zitto nakwambia kaa chini' au 'usilete dharau W/Mkuu anaweza kusema uongo?, leta ushahidi'!

Tulikuwa na fursa ya kuwaadhibu 2010 hatukuitumia tukaishia kuwajeruhi tu, wacha watuadhibu tu.
 
This is very true and advanced democrasy!let us learn from our neighbor kenyans!!
 
Huyo ni spika ambaye anatoka chama cha waziri mkuu raila ambaye amepinga huo uteuzi kwa vile anadai hakushirikishwa. Haya tusubiri wapigane ngumi bungeni kama ambavyo ilishatokea miaka ya 90

Hakuna cha ngumi mkuu !jamaa katiba yao ipo very straight forward!!
 
Hakuna cha ngumi mkuu !jamaa katiba yao ipo very straight forward!!

Kuna Wabunge wanamuunga mkono raisi Kibaki kwamba yuko sahihi kuwateua kuna upande unaomuunga mkono waziri mkuu raila kwamba hakushirikishwa kwenye kufanya uteuzi, hivyo ni batili, hapo ndipo pananipa hofu ya kuzuka ngumi
 
Marende ameonesha njia kwa maspika wa mabunge yetu. Katiba inataka uteuzi wa vigogo hao ufanywe kwa kushauriana....Kwetu hapa tunabadili kanuni ili mradi matakwa yetu buinafsi au ya kundi flani yatimizwe. Mliopewa ridhaa watumikieni waliowatuma
 
Hili litumike kama masasa/ darasa tosha kwa mama Makinda,lakini cjui kama desa linapanda..yaani hapo kuna kazi kweli-kweli!!! kwani inabidi achague kati ya kumtumikia kaizari au mafisadi
 
Most of National Assembly speakers in Africa's countries are ruling party/governrment stooges contrary to Kenya
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom