Marekani kuna 'Demokrasia ya kweli' ????

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,885
Ukitazama jinsi Electoral college zilivyokaa
na jinsi vyombo vya habari vilivyokuwa na influence na jinsi pollsters walivyo
hivi unaweza sema kweli kuna demokrasia na kila kura ina nguvu?
wananchi ndio wenye final say?
 
Hamna kitu mkuu wanapikaga hata matokeo hawa, si unakumbuka mchuano wa Bush na John Kerry kule Florida?
 
Don't mind the electoral college. It is the popular vote that carries the day inspite of the shennanigans of 2000.
 
Democracy ipo tena pevu kweli kweli ndio maana Obama alishinda urais japo anayo asili ya Kenya. Hili haliwezi kutokea Afrika kamwe -oh huyu sijui mmalawi ,oh sijui mrundi vipi atutawale!
 
Kwakweli kule hakuna Demokrasia ya kweli....ni pesa yako tu ndio inayoamua. Angalia sasa hivi kuna wagombea uRais wengi tu lakini wanaopewa muda wa hewani ni wagombea wawili tu, Obama na Romnesia....Hii yote ni kwa sababu hawa wengine hawana uwezo wa ki-fedha....
 
zamani maybe lakini sio sasa hivi, sasa hivi kuna uonevu ile mbaya..si unasikia story kua kuna sehemu ambazo zina watu weusi wengi wanadanganywa kuhusu siku ya kupiga kura, early votes kuna sehemu ambazo unakuta wanazizuia watu wasipige kura mapema na ukiangalia hizo sehemu ni zile zenye wanachama wa democrats so ukija kuangalia kwa undani uonevu na uchakachuaji hata marekani upo usifanye mchezo na power kila mtu anataka chama chake kichukue dollar so they'll do whatever it takes to win the white house

tatizo la electoral votes ni kwamba unaweza ukute ule upigaji kura wewe umepigwa na watu wengi lakini electoral votes ukashindwa...mfano wakati wa bush na kerry...kerry alipigiwa kura na wamarekani wengi kuliko bush lakini inavokuja kwenye electoral counting bush alimshinda kerry


[h=2]Total needed to win: 270[/h]
ec_obama_bw.jpg

270
Obama total:
237

Unallocated Electoral Votes : 95
Romney total:
206


ec_romney_bw.jpg





















































HI
AK
FL
NH
MI
VT
ME
RI
NY
PA
NJ
DE
MD
VA
WV
OH
IN
IL
CT
WI
NC
DC
MA
TN
AR
MO
GA
SC
KY
AL
LA
MS
IA
MN
OK
TX
NM
KS
NE
SD
ND
WY
MT
CO
ID
UT
AZ
NV
OR
WA
CA

Safe Obama

Leaning Obama

Toss up

Leaning Romney

Safe Romney

Proportional (ME & NE)



Watch as James Carville explains his electoral map"> You can create your map by using different scenarios as a starting point.

CNN Electoral Map

This map is CNN's best estimate of the key states that will likely decide the 2012 presidential election. The map will be updated as the campaign progresses.

unacheki obama ana 237 romney ana 206 kwa mmoja wapo kushinda urais inabidi afikishe 270 unallocated ziko 95 sasa hizo ndio hasa ziko kwenye zile swing states ambazo ndio wanazigombania sasa hivi kila yuko kwenye campaign coz hizo 95 ndio zitakazodecide nani anakua Rais wa marekani mwezi ujao
 
Hamna kitu mkuu wanapikaga hata matokeo hawa, si unakumbuka mchuano wa Bush na John Kerry kule Florida?
Hapa nadhani unaongelea mpambano wa mwaka 2000 kati ya George W, na AL Gore ndo ulioleta songombingo. Bush na Kerry ilikuwa 2004 na Bush alishinda Florida pasipo kuiba kura!.
 
Demokrasia ni kitu kinachotumiwa na wajanja kupata wanachotaka....ila demokrasia ya kweli ipo nyumbani kwangu na mama ngina ndiye atakayetoa ushuhuda. Huu wa kisiasa ni magumashi matupu. Al Gore anajua what does that mean.
 
Jambo la kutia wasiwasi ni kuwa mtu anaweza kupiga kura zaidi ya mara moja. Mzaliwa wa Florida anayeishi Ohio anaweza kutuma absentee ballot Florida lakini siku ya uchaguzi akapiga kura Ohio! Hilo ni mojawapo ya mambo ninayomlaumu Obama kwani alikuwa ameahidi kuwa atasimamia mabadiliko ya upigaji kura pamoja na gharama zake (election financing reforms) lakini hakufanya hivyo!
 
Wanaiba sana kura hawa wahuni, kama wale Wafanyabiashara wakubwa wasipokutaka huna chako, ndio mambo ghadaf alikua anasema eti watu wanasema Demokrasia wakati Mgombea anashinda kwa asilimia 50 the rest hawamtaki ila wao wanaona sawa kama ni Afrika wanaleta silaha wanasaidia kuanzisha vita...wazungu watu washenzi na wanafiki wakubwa kabisa
 
Inawezekana

Ugomvi wa kura kule Florida ulitokea mwaka 2000 baina ya Al Gore na George Bush na kusababisha Bush ashinde kwa kura kama 560 tu. Wakati John Kerry anagombea mwaka 2004, ugomvi wa kura ulikuwa Ohio na wala haukuwa mkubwa sana. Kwa hiyo post yako inaonyesha kuwa hujui matukio yanayosimulia siasa za Marekani. Samahani kama nimekwenda nje sana.
 
Back
Top Bottom