Marekani kulipizwa

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
Hili ni mafanikio ya Obama?
Baada ya kifo cha osama, nini kitatokea kwa wamarekani?
 
Baada ya kifo cha Sheikh Osama dunia itakuwa salama zaidi.
 
Wafuasi wake wapo, ndugu zake wapo, sidhani kama watakubali hii iende kimya kimya

Roho ya woga ishawaingia. Osama kasakwa kwa miaka kumi hadi kauwawa. Hivyo hivyo na hao wafuasi wake watasakwa hata kwa miaka elfu ili watokomezwa kama kiongozi wao.
 
Osama kafa peke yake. lakini hawa wakilipiza wanatoka na namba ya kutosha.
Na katika miaka kumi hiyo lazma alisha train maosama zaidi ya milioni
 
Wapi bana..Osama tarnished the good image of Islam I don't see anything good out of him..let him rest in hell!
 
I did nt say that what he did is good but I am worried about the reaction from his followers.
Will they accept this and remain silence?
 
Kitakachotokea ni kwamba we will NOT miss him, the world will be better off without him
 
American Airways itabidi tuikwepe kama ukoma. Kisa cha kugeuka kafara ya Al Qaeda?
 
Wapi bana..Osama tarnished the good image of Islam I don't see anything good out of him..let him rest in hell!

I don't believe and i will never do so, the "Hero" never tarnished the islam faith neither image, it is a lack of critical thinking to understand deeply what he was fighting for.......i consider him as a hero (i am Christian by faith)
 
unasahau ideology ya suicide bombing....Do seven virgins exist in hell?
 
mi nadhani hii imetokea baada ya kuona col gaddafi anakaribia kukamatwa na yeye kumbuka alisema kuwa al qaeda ni wamerekani.. sasa basi wanataka kuuakikishia dunia wao si al qaeda lakini kiukweli wao ndo al qaedq nq osama ndo wao..
nimaono yangu tu..
 
I don't believe and i will never do so, the "Hero" never tarnished the islam faith neither image, it is a lack of critical thinking to understand deeply what he was fighting for.......i consider him as a hero (i am Christian by faith)

Nakuunga mkono, watu wamelishwa propaganda za Marekani... Kila anachochukia Mmarekani nao wanaona kibaya. Wakati niko mdogo nilikuwa nikisikia Ukomunisti naogopa, najua ni ana fulani ya mfumo usiofaa... Yote nini, sumu za kulishwa! To hell huyo Obama..
 
Roho ya woga ishawaingia. Osama kasakwa kwa miaka kumi hadi kauwawa. Hivyo hivyo na hao wafuasi wake watasakwa hata kwa miaka elfu ili watokomezwa kama kiongozi wao.

Aliyekwambia wana roho ya uoga nani unadhani wale ni wa Tanzania kama sisis tunafanyiwa lolote na tunapiga kimya? formula yao iko namna hii Anaamini akifa anaenda mbinguni na anaamini akiua anaenda mbinguni (yaani wana masuna kibao) so don't even thing to say that again...
 
Osama kafa peke yake. lakini hawa wakilipiza wanatoka na namba ya kutosha.
Na katika miaka kumi hiyo lazma alisha train maosama zaidi ya milioni

Kafa peke yake???! Na hao maelfu kwa maelfu waliouwawa Afghan kwa kisingizio cha vita vya kumsaka? Achilia mbali vilema wa maisha na makazi yaliyoharibiwa jumlisha uongozi kibaraka wa kina Karzai... Wacha maneno yako braza!
 
Baada ya kufa Kwa Osama na kukamatwa documents lundo toka kwenye maficho yake Magaidi wengine watakaoendelezea tabia yake wataendelea kukamatwa na kuwa executed extrajudicial style kama kiongozi wao, halafu watetea haki za binadamu wataendelea kulaani marekani kwa staili ya kelele za kuku hazimpati mwewe mpaka infinity- Sorry mpaka kiama.
 
Back
Top Bottom