- Well, hapo kuna US foreign policy ambayo ni only US interest, the dataz ni kwamba Tanzania tuna uranium somewhere, Iran wanaitaka......na.....you can fill the rst of the story ukianza na kina Rostam...!
Respect.
FMEs!
Yap ni kweli kamanda niliwahi kumwambia rafiki yangu mmoja kuwa Tanzania isipokuwa makini inaweza kutokea mawili. Moja ikiwa tutapata viongozi waadilifu (which sidhani) tunaweza kuwa nchi mmoja tajiri kwani haya mataifa makubwa yakigombani rasilimali hizi bei ya uranium itapanda sana na sisi tutafaidika. Pili ikiwa viongozi walafi basi tutaishia kupigana wenyewe kwa wenyewe kwasababu China, Iran watakuwa na wapambe wao na UK na US watakuwa na wapambe wao mwisho wa siku tunachinjana wao madini wanayapata through the black market.