Marehemu ananipenda..?

Chimemena

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,376
451
Jamani wanaJF eti mwenzenu nifanyeje..?? Mara kwa mara huwa naota kwamba nafanya mapenzi na dada m1 ambaye kashafariki tangu mwaka 2005 na anadai kwamba ananipenda sana tena sana na anataka tufunge ndoa. Mbaya zaid kpnd yupo hai hatukuwahi kuwa wapenzi ila tu nilisoma naye na kumaliza elimu ya msingi mwaka 1998. Huyo binti alikuwa anaitwa JAMILA. Naomba msaada nn nifanye ili kunusuru hl tatzo kwani kila asubuh nahc kuchoka mwli mzma ka nkiota nipo naye. .......INANIUMA SANA.....!!
 
Muombe Mungu sana....kuna roho ya kishetani inakufuatilia!!!

Pole sana Puuuu!!!
 
Mkuu hebu weka wazi, sawa hamkuwahi kuwa wapenzi, lakini je! ulikuwa unampenda? ulikuwa unamfikiria sana na bado unamfikiria?
 
dah! Pole sana mpendwa wa marehemu,muombe sana M/mungu kama unamuamini atakutatulia tatizo lako haraka sana
 
Mmmmmmh, mi naona hili ni tatizo la kiroho zaidi.
Haiwezekana uwe na uhusiano na mtu aliyekufa (mzimu), au inawezekana kuna roho mbaya ya shetani,
inauvaa mwili wa huyo dada halafu inakuja kwako hivo. Nasikia kuna kitu kinaitwa Jini mahaba.

Dah, kataa hiyo hali, ikemee kabisa kwa jina la Yesu, ikutoke kaka angu.
Usije ukafunga ndoa na majini bureee!!!!
 
Hilo ni pepo linatumia sura ya huyo dada kukuvaa usipowahi kwenye maombi utajikuta umeoa jini na hata kuzaa nalo watoto. wahi kanisani kabla ya hatari
 
Do u really trust in God/Allah?
Do u practice regular prayers of either muslim/cristian or any other related ones?
 
Jamani wanaJF eti mwenzenu nifanyeje..?? Mara kwa mara huwa naota kwamba nafanya mapenzi na dada m1 ambaye kashafariki tangu mwaka 2005 na anadai kwamba ananipenda sana tena sana na anataka tufunge ndoa. Mbaya zaid kpnd yupo hai hatukuwahi kuwa wapenzi ila tu nilisoma naye na kumaliza elimu ya msingi mwaka 1998. Huyo binti alikuwa anaitwa JAMILA. Naomba msaada nn nifanye ili kunusuru hl tatzo kwani kila asubuh nahc kuchoka mwli mzma ka nkiota nipo naye. .......INANIUMA SANA.....!!

1998 = 14 years

2011 = 27 years!

Umri wako ni wakati sahihi wa kuoa - Acha masterbation - tafuta mwanamke uoe - ni hayo tu
 
:scared: unahitaji maombi kijana..polee..Babu angeweza kukutibu ila shida yako iko kiroho zaidi..
 
Pole sana kwa ndoto hizo.
Mi siamini kama kuna jini ao kitu Supernatural hapo. Nadhani ulivoota mara ya kwanza ulishangaa sana ikaacha mark kwa akili yako na sasa unaanza kuota bacause you are obscessed. Ukiacha kufikiria utaona ndoto zitapungua na hatimae zitaisha kabisa.
Ila nakubaliana na walioandika kabla yangu: Sali sana Mungu atakupa nguvu ya kuacha kufikiria hizo ndoto na atakurudishia furaha ya maisha tena.
 
Pole sana kijana, muombe sana muumba, Ikishindikana upange safari uende kwa babu Loliondo ukapate kikombe.
 
Unahitaji msaada wa kiroho zaidi. Hakuna uhusiano wowote kati ya walio hai na waliokufa, hiyo ni roho chafu inakufuatilia. Nenda kamuone mchungaji yoyote wa kanisa la kiroho vinginevyo utafunga ndoa na hilo jini alafu ndo itakuwa balaaaaa!!!!!!!!!
 
Jamani wanaJF eti mwenzenu nifanyeje..?? Mara kwa mara huwa naota kwamba nafanya mapenzi na dada m1 ambaye kashafariki tangu mwaka 2005 na anadai kwamba ananipenda sana tena sana na anataka tufunge ndoa. Mbaya zaid kpnd yupo hai hatukuwahi kuwa wapenzi ila tu nilisoma naye na kumaliza elimu ya msingi mwaka 1998. Huyo binti alikuwa anaitwa JAMILA. Naomba msaada nn nifanye ili kunusuru hl tatzo kwani kila asubuh nahc kuchoka mwli mzma ka nkiota nipo naye. .......INANIUMA SANA.....!!

Huyu Jamila unaemzungumzia ni half cast wa kiarabu na ana mtoto mmoja? Plz ni pm i need to know
 
Ndugu hilo ni jini mahaba na kazi yake ni uharibifu wa maisha ya watu. kinachofuata ni kushindwa kuwa na ndoa njema hapo baadae ukij kuoa, maisha yake ya afya, kifedha kikazi yoter yataharibika. Nakushauri uende kanisa lolote la kiroho lilioko karibu nawe ili ukapate msaada. ni pm kwa msaada zaidi. usiende kwa mganga wa kienyeji ndo utaongeza shida zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom