Marehemu aliuwawa na kitu kinachoruka-flying object

Ni kauli ya kushangaza iliyotolewa na Kamanda wa morogoro kuwa madaktari wamegundua kuwa marhemu aliuwawa na kitu kinachoruka.Hicho kitu kilikuwa na mabawa?walijuaje kuwa kilikuwa kinaruka na hakuwa hit from a short distance e.g na nondo?wangesema kuwa marehemu aliuwawa either na blunt object or sharp object.Je fuvu lilikuwa limepasuka au lina tundu? je hicho kitu kilijirusha au kilirushwa? Mapolisi wawe wanatafakari kabla ya kutoa kauli tata kama hiyo.Tanzania ya leo sio ya mwaka 47,watu wameelimika .

kwani daktari ni mtaalam wa silaha? Hii angepewa mtaalam wa silaha angetoa jibu muda huo huo hadi kama risasi ni ya pisto, smg, au rifle na umbali aliokuwepo shooter! sio daktari ambaye anaandika kafa kutokana na kuvuja damu nyingi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom