Marehemu aliuwawa na kitu kinachoruka-flying object

ngonani

JF-Expert Member
Aug 27, 2012
1,366
596
Ni kauli ya kushangaza iliyotolewa na Kamanda wa morogoro kuwa madaktari wamegundua kuwa marhemu aliuwawa na kitu kinachoruka.Hicho kitu kilikuwa na mabawa?walijuaje kuwa kilikuwa kinaruka na hakuwa hit from a short distance e.g na nondo?wangesema kuwa marehemu aliuwawa either na blunt object or sharp object.Je fuvu lilikuwa limepasuka au lina tundu? je hicho kitu kilijirusha au kilirushwa? Mapolisi wawe wanatafakari kabla ya kutoa kauli tata kama hiyo.Tanzania ya leo sio ya mwaka 47,watu wameelimika .
 
miaskari ya bongo tz ndivyo ilivyo hata sishangai..:eek2::eek2::eek2::eek2:
 
Kuna very narrow bridge kati ya Jamii na Jeshi la Polisi...siku hata ukiibiwa unaona uvivu kwenda Police, hakuna na hawana hutopata msaada zaid ya Corrupt.....

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Pengine Afande anahitaji msaada kutamka waziwazi badala ya kuzunguka mbuyu: hapa anajenga hoja kwamba marehemu aliuwawa na 'jiwe', kwa hiyo wafuasi wa CHADEMA walikuwa wanawarushia mawe polisi na ndipo jiwe moja likamgonga marehemu Ally!

Kwa bahati nzuri, jeraha la jiwe ni tofauti sana na la jiwe!
 
Mbona ana hangaika. Kama kuna tume imeundwa kuna maana gani yeye kutoa taarifa. Hii intelijensia ya jeshi la mwema inatisha. Kila mnyonga kuku miguu humuelekea. Kuna siku mungu atajihirisha kwa watanzania kuonyesha hasira yake kwa utawala wa kidhakimu
 
Ni kweli kabisa alichosema kamanda. Tukio kama hili liliwahi kutokea Loliondo mwaka 2009.
Polisi walirusha bomu la machozi lililombomoa kijana mmoja wa kimasai jicho.
Angeweza kufa kama lingempiga kwenye Medula Oblangata kama ilivyokuwa Morogoro. Kwahiyo ni kweli, haikuwa risasi
 
Hii bora wangesema hata Marehemu aliangukiwa na nazi au mpapai ulikatika na kumuangukia kichwani ingeleta maana. Hivi katika vyombo vyetu vya Dola hakuna wasemaji?
 
Ni kauli ya kushangaza iliyotolewa na Kamanda wa morogoro kuwa madaktari wamegundua kuwa marhemu aliuwawa na kitu kinachoruka.Hicho kitu kilikuwa na mabawa?walijuaje kuwa kilikuwa kinaruka na hakuwa hit from a short distance e.g na nondo?wangesema kuwa marehemu aliuwawa either na blunt object or sharp object.Je fuvu lilikuwa limepasuka au lina tundu? je hicho kitu kilijirusha au kilirushwa? Mapolisi wawe wanatafakari kabla ya kutoa kauli tata kama hiyo.Tanzania ya leo sio ya mwaka 47,watu wameelimika .

Another askari or Jeshi la Polisi Movie!!! Hivi yule mkenya wa Ulimboka yuko wapi? Kafichwa wapi mana hata media hakuna tena coverage!!! Si kila baada ya 14 days ni lazima aletwe mahakamani? Kimyaaaaaaaa.
 
Mwisho wa yote umekaribia, ukweli tutakuwa tunaujua kama ukweli, kadhalika uongo utadhihirika! 'Wanasema uongo walioutoa kwa baba yao, maana shetani ni baba wa huo'
 
Akili ndogo inapolinda akili kubwa, mtu form 4 kapata 0 unatarajia atakuwa na reasoning wapi na wapi, maelezo yake yanaonyesha ufupi wa akili yake
 
No Shilogile ni graduate wa Mzumbe na ni intellingent tu wa kutosha,sema ushabiki wa ki-CCM ndio unao muharibia.
 
Ni kauli ya kushangaza iliyotolewa na Kamanda wa morogoro kuwa madaktari wamegundua kuwa marhemu aliuwawa na kitu kinachoruka.Hicho kitu kilikuwa na mabawa?walijuaje kuwa kilikuwa kinaruka na hakuwa hit from a short distance e.g na nondo?wangesema kuwa marehemu aliuwawa either na blunt object or sharp object.Je fuvu lilikuwa limepasuka au lina tundu? je hicho kitu kilijirusha au kilirushwa? Mapolisi wawe wanatafakari kabla ya kutoa kauli tata kama hiyo.Tanzania ya leo sio ya mwaka 47,watu wameelimika .

polisi ndo wanaoharibu UMOJA WA TAIFA kwenye kutetea UTULIVU WA NCHI. ona badala watoe ukweli wana foji foji mambo.polisi wameshafanya watu waione nchi kama jehanam la ukandamizaji na uonevu. hata wakitoa ukweli uchunguzi, hakuna anayeweza kuamini kutokana na jinamizi la usiri!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom