Nape aliposema hata watu wote wakihama CCM lakini haiwezi kufa, nilikuwa sijamwelewa. Sasa nimeanza kumwelewa. Kumbe wana wanachama mpaka maitini! Duh!
Nimeona kwenye gazeti la sema usikike la tar 28, ukurasa wa kwanza. Limeandikwa, "Vituko uchaguzi wa ccm: Mwanachama aliyekufa na kusahaulika achaguliwa mwenyekiti wa ccm Dar". Nimebaki najiuliza, swala la kukosa wanachama wa kugombea uongozi wa shina (mabalozi) limefikia hapa!? Kweli ccm imekwisha vibaya!
Hiyo ni dhahiri, oooh RIP ccm,
mmeshaanza kuchagua vingozi wafu kwanza kabla ya kufa rasmi!