Doesn't work that wayWatu watamtetea tu Sugu kwa sababu ni mheshimiwa... msanii anapewa ngoma anaifanyia kazi, then ngoma hiyohiyo anapewa mtu mwingine! Anafanya na video kabsa! Is this right kweli? Mi nadhani yuole aliyekuwa wa kwanza kupewa ndiyo mwenye ngoma yake, suala la promo linahusikaje? Posho bungeni ale, mshahara wa ubunge ale, mpaka ngoma za machalii nazo azibake? Wakale wapi sasa...
Kipi kinahalalisha uhalali wa blue kumiliki hyo wimbo?Hayo ni maneno wanaweza kuongea lolote kuhalalisha uovu wao ila kama una akili zinakutosha utaelewa huo wimbo ni wa Mr blue.
Eti tukaona tumpe blue alafu huo wimbo sio wake ni wetu. Sasa kama mlimpa unabakije kuwa wa kwenu na unaendaje kuwa wa sugu...
Wimbo upo mkito. Com mr blue ft sugu.. Jiulize pesa huko mkito anachukua mj records au mr blue.
Inategemea mkuuIts ok mkuu lakini kwan ukirekodi ngoma studio, hatimiliki inakuwa ya nani? Ya producer au ya msanii? na msanii akiwa chini ya lebo je? Hatimiliki ni yake au record label?
Makubaliano tofauti ndiyo yepi? Kwamba unarekod ngoma ukishindwa kuifanyia promo anapewa mwingine? lets call a spade by its name, not a big spoon!Inategemea mkuu
Makubaliano yakoje
U pay basi ownership ni yako,ukiwa chini ya lebo basi kuna makubaliano tofauti
Mnafanyanini humu mkuu mrudi mbozi-songweHilo jina lako mkuu... Vwawa
Nilitaka kushangaa at kwamba blu aibiwe wimbo na sugu kwa utunzi gani
Hahahaaaa, naskia cku hiz co Mbeya tena, ni Songwe hahaaaMnafanyanini humu mkuu mrudi mbozi-songwe
Hata mimi nikiwapigia wshikaji sm wamesha zoea kabisa wanakataa ukiwambia za mbeya wanakataa kabisa.Hahahaaaa, naskia cku hiz co Mbeya tena, ni Songwe hahaaa
Umepewa chance unaishia kupeleka nyimbo mkito unatulia tu wakati waliokupa chance wameumiza akili wanataka dunia ione matunda.Watu watamtetea tu Sugu kwa sababu ni mheshimiwa... msanii anapewa ngoma anaifanyia kazi, then ngoma hiyohiyo anapewa mtu mwingine! Anafanya na video kabsa! Is this right kweli? Mi nadhani yuole aliyekuwa wa kwanza kupewa ndiyo mwenye ngoma yake, suala la promo linahusikaje? Posho bungeni ale, mshahara wa ubunge ale, mpaka ngoma za machalii nazo azibake? Wakale wapi sasa...
Its ok mkuu lakini kwan ukirekodi ngoma studio, hatimiliki inakuwa ya nani? Ya producer au ya msanii? na msanii akiwa chini ya lebo je? Hatimiliki ni yake au record label?
"Kwahiyo jamaa [Blue] akawa ameipenda tukampa
akasema atamshirikisha Mr Two"
Hapa Marco chali kajimaliza mwenyewe mmempa wimbo alafu leo mnasema sio wa kwake. Tunajua mmemgeuka sababu ya pesa ila Sugu ni mwizi na atabaki kuwa hivyo alafu anajifanya mtetezi wa haki za wasanii.
Hii n worldwide ndivyo ilivyo beat n mali ya producer mashairi n mali ya msaniiKwa alichoongea Marco chali basi Diamond hana umiliki wa robo tatu ya nyimbo zake. Kuanzia kamwambie mpaka ukimwona zote album mbili ni za producers Diamond hajalipa ata senti nyimbo zote hizo.
Watu watamtetea tu Sugu kwa sababu ni mheshimiwa... msanii anapewa ngoma anaifanyia kazi, then ngoma hiyohiyo anapewa mtu mwingine! Anafanya na video kabsa! Is this right kweli? Mi nadhani yuole aliyekuwa wa kwanza kupewa ndiyo mwenye ngoma yake, suala la promo linahusikaje? Posho bungeni ale, mshahara wa ubunge ale, mpaka ngoma za machalii nazo azibake? Wakale wapi sasa...