Marapa 5 wanaodaiwa kuwa ni mashoga

Halafu ni rahisi sana kusema flani ni shoga maana si unasema tu.

Hata mimi naweza kusema Anko Magu naye ni.......

Huhitaji ushahidi wowote ule kuweza kusema chochote kile maana mdomo ni mali yako.

Which brings me to this point;

Saying it so, doesn't make it so.

Thus, saying Young Thug is gay or Bussa Bus is gay, that, in and of itself, doesn't make them gay.
pia ni rahisi kusema hata mm nilisha wai sikia kwamba Jamaa Pungu, Ingawa hakuna ukweli
 
Ni nadra sana kusikia wasanii wanaofanya rap kuwa wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja hasa kutokana na nature ya muziki wenyewe unaoaminika kuwa ni muziki wa wagumu na watu wanao-stay real.

Hata hivyo kuna baadhi ya marapa ambao japokuwa hawajajitangaza hadharani kuwa ni 'gays', lakini mienendo na lifestyle zao zimepezimepelekea watu kuwatupia jicho la tatu na kuhis kuwa huenda majamaa ni 'homos'. Icheki listi hii:

1. Young Thug.
Rapa huyu kutoka Atlanta amekuwa na tabia ya kupost vitu kwenye social networks vinavyoashiria kwamba huenda jamaa ni homo. Amekuwa akipost picha ama videos akiwa kapakatwa na wanaume wenzake, ama akikisiana na madume wenzake huku posts zake nyingi amekuwa akiwaita marafiki zake wakiume 'bae'. Young Thug pia amekuwa na tabia ya kuvaa nguo zinazobanabana, zinazotelezateleza, zenye mauamaua na kung'aa sana kitu kinachoashiria kwamba huenda mchiz ni homosexual. Hata hivyo kuna baadhi ya wadau wa muziki wanadai kuwa jamaa unafanya hicho ili kupata attention ya watu na media ili aweze kupromote muziki wake.

2. French MontanA.
Licha ya hivi siku za karibuni kuwa karibu kimahusiano na Khloe Kardashian, wachunguzi wa mambo wanahisi kuwa Montana anajihusisha na mapenz ya jinsia moja na kitendo cha yeye kujiweka karibu na mademu wakali ni moja ya mechanism ya kujifanyia cover-up on who he really is.

3. Dr. Dre
Rapa na prodyuza nguli nae amejikuta akiingia katika orodha hii hasa kutokana na tabia yake ya kuwachukia mademu na skendo zake za kuwashushia vipigo mademu wanaojaribu kujenga ukaribu nae. Suge knight amewahi kutamka hadharani kuwa Dr Dre ana mpenzi wake anaeitwa Bruce ambae mara nying anakuwa around na mchiz. Dr Dre alipoikacha Ruthless Records mwanzoni mwa miaka ya 90, marehemu Eazy E alimchana mchizi kuwa ni 'homo' (a fag). Pia Dr Dre alipohama Death Row Records mnamo katikati ya miaka 90 marehemu 2 Pac alitoa siri kuwa jamaa ni 'gay' na alitoa ngoma kadhaa kuujuza umma kuwa Dre ni punga. Mojawapo ya track yenye hizo lyrics ni 'Toss it up' ambapo Pac kamchana live mchiz.

4. Lil Wayne
Licha ya tabia yake ya kupenda sana mademu kama anavyodhihirisha kwenye nyimbo zake nyingi, rapper huyu amekutwa akihusishwa na skendo za kuwa shoga hasa kutokana na kitendo cha kudakwa na kamera mara kadhaa akipigana mabusu na wanaume wenzake akiwemo meneja wake wa lebo ya YMCMB Birdman.

Pia Wayne alizusha maswali mengi kutokana na mavazi yake tata aliyovaa kwenye tuzo za MTV Awards za 2011 yaliyokuwa yakifananishwa na mavazi ya kike. Wataalamu wa mambo wanadai kuwa kajamaa ni ka-'bisexual'.

5. Busta Rhymes
Rapa huyu mkongwe kwa muda mrefu amekuwa akihusishwa na taarifa kuwa jamaa ni 'homo' japokuwa mara zote jamaa amekuwa akikanusha stori hizo.

Kwa hisani ya vyanzo mbalimbali!

Vyanzo mbali mbali ndio vipi, mbona huvitaji?
 
Sijui na Mimi nije na listi yangu ya wa " kibongo bongo " tena ninaowajua kindakindaki.
 
hii sheria ya mtandao hii!!! dah! nawajua watatu wa kibongo bongo ila ndo hivyo tena....tena mmoja aliwahi kuniseduce tukiwa kaunta.... nilikimbia bila kuaga.
 
Yesu wangu
 
Hapana,mimi nakataa kabisa.
Hasa Dr. Dre na Lil Wayne.
Hapo kwa wayne sinaga ubishi

Kakipiga vyombo vyake kanasemaga mambo mengi na hizo ishu za kupigan mate na Birdman kaanza kitambo sana.

Inasemekan Stunna hua ana kula jicho sana yung artist

Hata huyo Yung thug
 
Hahahaa hao sidhani kama ni mashoga.

Wengine ni swaga za kutafutia kiki tu.

Zama hizi lazima uwe mbunifu.

Kwa mfano, Thugger Thugger na hiyo cross dressing yake ndo iliyompa chati.

Kila siku yupo vinywani mwa watu. Ukiwa vinywani mwa watu maana yake ni kwamba ushaikamata nadhari yao.

Ukishaikamata nadhari yao ni rahisi hata kuuza kazi zako.

Na ukweli wa mambo ni kwamba jamaa sasa hivi anazitawala sana anga za hip hop.

Kama si nyimbo zake yeye mwenyewe basi ni nyimbo anazoshirikishwa.

Na huo wote ni ulaji.

Kwa hiyo hapo utaona hakuna uenezi ulio mbaya hususan katika muktadha wa medani za burudani.

Baada ya kusema hayo, mashoga hujiweka katika namna mbalimbali. Na ndo maana kuna mapadri na mashehe mashoga lakini hawana muonekano wa kishoga hata kidogo.
true dat
 
Kumbe wanadaiwa tu na hakuna ushahidi?

Hata hivyo hizo ni technic tu za kupata kiki...kumbuka hata Eminem alishajitangaza kuwa ni Shoga, na kuna movie flan pia akisemea hivyo. Hayo yoote ni kutafuta tu attention ya watu juu yake.
 
Kuna wengine wakiona wameahuka wanatafuta skendo kama hizo ili wapande chat kwahio mtu kusema shoga au kujitangaza kua kaathirika wakati mwingine hua ni kick
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom