Marando got votes from CHADEMA, NCCR-M and few CCM MPs. CUF voted for a CCM candidate

Waberoya,
Wewe ungependekezeka CHADEMA wafanye nini wakati baadhi ya viongozi wa CUF wameshasikika hadharani wakisema hawana interest ya kushirikiana na CHADEMA? Wawarambe miguu?

mi nadhani ifikie mahali watu wadiscuss hizi issue objectively bila ushabiki wa vyama. that way mtagundua mengi sana ambayo yatatusaidia kama nchi. Ni vizuri pia tukajua kwa nini CUF wamekataa kushirikiana na CHADEMA, I wish tungepata ukweli kuthusu hiyo discussion kutoka pande mbili zote. Ni muhimu muafaka ufikiwe, kuwepo na ushirikiano kwa ajili ya maslahi ya nchi hii, bila hivyo tumeliwa as a country.

Inakuwaje CHADEMA kama kweli walikuwa wanataka ushrikiano na CUF wawaite mezani wakati wameshachukua viti vyote vya juu, ambavyo ni mwenyekiti wa kambi ya upinzani na naibu wake, na pia chief whip, then wawambie CUF watawapa tu nafasi za uwaziri kivuli? wamesahau wakati ule CUF ikiwa na wabunge wengi lakini iliwapa nafasi ya naibu mwenyekiti pamoja na unadhimu bila konakona?

Mimi si mshabiki wa chama chochote, ila tu naangalia mambo kwa kila upande, my advice to CHADEMA, WASILEWE SIFA NA KUJAA KIBURI KWA KUWA TU WAMEPATA WABUNGE WENGI, USHIRIKIANO NI MUHIMU KAMA MNAE COMMON enemy ambaye ni ccm, bila hivyo mtaporomoka na wakati watanzania wamewapa nafasi na wameweka matumaini yao kwenu. Acheni kiburi na mjenge nchi. Kuna msemo usemao adhanie amesimama na aangalie asianguke.
 
Yaan upinzani nao cjui vp,Mi asbh kwenye Jambo TBC1 nilimsikia Cheyo anasema katika hawa wagombea wawili Makinda ndo anafaa.Definetly nae alimpigia Makinda
 
WOOOTE naona mnajadili kwa kuficha ukweli!!!!!! kwani CHAMA TAWALA MAANA YAKE NI NINI???????? Kwa mtazamo yakinifu NI KILE KINACHOUNDA SERIKALI.(kumbuka serikali ya Mapinduzi ni sehemu ya muungano)

TANZANIA INA SERIKALI 2, ya muungano na ya mapinduzi zanzibar!! WHAT makes you people call CUF an oppostion party while ni CHAMA TAWALA katika upande mmoja wa Tanzania.

What if CHADEMA au JAHAZI ASILIA au chama kingine KINGEKUWA (inje ya CCM & CUF kwa sasa) na wawakilishi japo wawili katika baraza la wawakilishi Zanzibar, NANI WANGEKUWA WAPINZANI?? kwa mfumo uliopo sasa(tafakari).

Kifupi Tanzania iantawaliwa na VYAMA viwili,na vya upinzania ni vingine NJE ya CUF & CCM

Kwa hiyo kwa CUF kupigia MAKINDA mimi naona ni RIGHT kwa kuwa wamempingia mgombea wao.
 
Wacha ngano na magugu yakue pamoja, wa ukweli tuwajua mbele ya safari.
 
Mkuu wangu leo umesema ukweli ambao siku zote watu tumeshindwa ku digest..Chadema haiwezi kuwalaumu CUF ikiwa uchaguzi mzima toka tuvunje ushirikiano kumekuwa na majungu makubwa baina ya vyama hivi. Na sasa haitawezekana tena isipokuwa pengine Chadema waungane na chama kingine Unguja kuunda team nyingine ambayo watatumia udhaifu wa CUF kuunda coalition na CCM, chama wanachokichukia kuliko kila kitu.

Ni wakati wa Chadema kutazama mbele, lakini wakumbuke tu kwamba Zanzibar kuna viti 50 ambavyo ni muhimu sana ktk uchaguzi ujao hasa kama wanakusudia kuchukua Bunge. Binafsi sina imani na uwezo wa Chadema kuchukua Bunge hasa ukizingatia CCM na CUF kujikita Zanzibar ambako huzoa viti 50 vya bure..

Njia pekee ilikuwa kuchukua kiti kikubwa na CCM wameshtukia mwaka huu kwani walikwisha kipoteza hivyo itakuwa kazi kubwa sana kwa Chadema mwaka 2015. Kifupi sina mategemeo zaidi ya ushindi ifikapo 2015 kwani CUF na CCM watafanya kila wawezalo kuhakikisha Chadema inapoteza umaarufu wake.
 
Waberoya.........my brother i have been following your comments and opinion but sincerely speak, i don't get where do u stand want conclusion do you draw here. Please speak, shout, loud and let us understand what do u want us to believe and take....come on.
 
Hii tumeisikia hapa jamvini jana. Dr Slaa alitutonya. Basi tuangalie mbele. Atakayetaka kuwa upande wetu na aje na asiyetaka akae kivyake sisi tunajua la kufanya na tutakutana tena 2015 watashangaa Chadema itakuwa na majimbo 150 ya wazi kabisa. Na hapo watajua nini watanzania wanapenda na nini hawapendi. Ngoja tupeleke nguvu zetu kambi za pwani na zanzibar tuone itakuwaje!

Wahenga walisema Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu, si vema kuanza kujipa moyo wakati unaona mambo hayaendi sawa.
Chadema wamekuwa na "undugunazation" limejitokeza kwenye wabunge wa viti maalum.
Chadema kupata majimbo 23 ya ubunge, vichwa vimepanda ndo wanajiona matokeo yake 2015 itafika badala ya kuongeza majimbo yatapungua.
Chadema hawataki kushirikiana na cuf lakini nahisi kuna mambo ambayo viongozi wake hawaelewani kwa hiyo nationa interest wameweka pembeni. Kwa misingi hiyo itakuja kuletwa bungeni miswaada ambayo haina tija kwa nchi lakini itapita kiulani sababu ya tofauti zao, maana TLP Mrema ni CCM atakuwa bungeni kama tu boya.

Nafikiri ni vema chadema na cuf wakae na kuweka mikakati ya pamoja ya kuing'oa ccm 2015 badala ya kujiona wamaana sana.
CCM kwa kumweka Anna Makinda tayari ni mkakati wa kushinda 2015 maana huyu atakuwa always anaongozwa na ccm ili kuhakikisha hakuna uhuru wa kujadili hoja ambazo zitaishusha ccm machoni mwa jamii hata kama term hii ya mwisho kutakuwa na ufisadi kupindukia
 
The agreement btn CCM and CUF in ZnZ is the reasons, Chadema oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Is true and this make CUF fails to stand alone on this b'se they depending on what happen in Zanzibar.

Hii tumeisikia hapa jamvini jana. Dr Slaa alitutonya. Basi tuangalie mbele. Atakayetaka kuwa upande wetu na aje na asiyetaka akae kivyake sisi tunajua la kufanya na tutakutana tena 2015 watashangaa Chadema itakuwa na majimbo 150 ya wazi kabisa. Na hapo watajua nini watanzania wanapenda na nini hawapendi. Ngoja tupeleke nguvu zetu kambi za pwani na zanzibar tuone itakuwaje!
Is a good dream it incourages and it is a real to start it now, b'se to wait till 70 to 80 days for official campaigns it will be to late to mend.
CCM voted for CCM.

No surprise here.
It is true and we know.
It does not dissolve well to in my mind "How can CUF be an opposition party in Mainland while it is part of Zanzibar formed government"
Really to confuses the leaders of CUF in Mainland side so let us forgive them by taking into consideration that a real and power one Cuf is in Island and not Mainland.
Waberoya,
Wewe ungependekezeka CHADEMA wafanye nini wakati baadhi ya viongozi wa CUF wameshasikika hadharani wakisema hawana interest ya kushirikiana na CHADEMA? Wawarambe miguu?
Jamani sio kosa lao maamuzi yanatoka kwa katibu mkuu wa CUF ambaye amefaidika na muafaka. Waswahili husema yarabi nafsi!!
 
I think something need to be done to bring opposition unity, else no hope in the parliament.
CHADEMA and the rest need to workout the differences.

What is going on here that it is taking so long to understand our contemporary political context? We all know that CCM and CUF have decided to work together, who said this was going to apply only in Zanzaibar? So long as CUF feel part of the status quo, it will be fool hardy to expect them to work in unison with CHADEMA. We should get used to the fact that we only have one main opposition party in the parliament-CHADEMA. Expecting CUF to behave otherwise this time in point is cheating ourselves. So the question here is not about CUF/CHADEMA differences, it is the question of the principles and objectives of the two parties. Someni alama za nyakati, vinginevyo mtaumizas nyoyo zenu sana...........................
 
Agree with you Doctor, but you left NCCR-Mageuzi, UMD and TLP aren't these opposition political parties? was it intentionally or what?
 
Marando got votes from CHADEMA, NCCR-M and few CCM MPs. CUF voted for a CCM candidate as a block...

Source: Zitto Kabwe's facebook's status

If the statement from Hon. Zitto is true then... he should also say some CHADEMA MPs voted for Anna Makinda! This part is missing in his statement...
 
naona kwa CUF kupigia kura CCM nni ujumbe mahsusi kwa CHADEMA ambao bado umejificha.

ilikuwa wazi kuwa hata kama CUF na CHADEMA na wapinzani wote wakiungana na kumpigia Marando, bado Marando angeshindwa tu kwa kuwa CCM wamezidi mno bungeni.

Hili la CUF kuonyesha wazi wazi kuipigia CCM na si CHADEMA nahisi kuwa kilitaka kuionyesha CHADEMA kuwa bila ya wao kushirikishwa kwenye upinzani (chadema wafuasi wamekuwa wakijitapa sana kuwa wao ndo chama cha maana na cuf ni ccm-b), upinzani hautaweza hata kutishia nguvu za CCM bungeni.

sijui lakini huo ndo ujumbe nilopata.

nb: iwapo matokeo ya idadi za kura ni kama yalivyotangazwa( asilimia za kura na idadi ya kura zenyewe hai add up)
 
What is going on here that it is taking so long to understand our contemporary political context? We all know that CCM and CUF have decided to work together, who said this was going to apply only in Zanzaibar? So long as CUF feel part of the status quo, it will be fool hardy to expect them to work in unison with CHADEMA. We should get used to the fact that we only have one main opposition party in the parliament-CHADEMA. Expecting CUF to behave otherwise this time in point is cheating ourselves. So the question here is not about CUF/CHADEMA differences, it is the question of the principles and objectives of the two parties. Someni alama za nyakati, vinginevyo mtaumizas nyoyo zenu sana...........................

Rais wangu wa DARUSO miaka hiyo na Dr wangu kwa sasa, poleni na majuku!
it is good that one of the key people from party umesema neno, tatizo hapa daktari si kila mtu amejaliwa kusoma alama za nyakati, na mkumbuke kuwa wengi wa wananchama/washabiki na wapiga kura wenu ni vijana ambao ni learned and non educated kwa hiyo wanahitaji sana mwongozo na taarifa ya kuwaguide toka kwenu hasa pale inapotokea contraversial decision inafanyaka, I mean maamuzi ambayo yanakuwa tofauti kidogo na mawazo ya wengi.
Kwa mfano kuhusu hili la CHADEMA/CUF. Mwanzoni tulielezwa kuwa mwenyekiti alisema wako tayari kushirikiana na pia tunakapata na some information kwamba they had ameeting (Mbowe na Hamad Rashid) sasa kutokana na hili wengi were made to believe kwamba some partnership will be formed, na ikumbukwe kuwa wakati haya maongezi yakifanyika mlikuwa mnajua kabisa position ya CUF hasa kutokana na situition ya Zanzibar.
Ndoo maana watu wameanzana kubishana hapa jamvini na wengine kuanza kukata tamaa baada ya kuambiwa kuna kambi mbili za upinzania yaana CDM and minority opposion ikiongozwa na CUF. Watu wameachwa waspeculate na kutukana hata vyama ambavyo pengine vilivote in support of Marando. Mpaka tuanze kufuatilia kwenye blog zenu viongozi wetu au kwenye facebook ambako nako bahati mbaya sana viongozi wetu hamko very active sana mpaka tuliposoma kule kwenye facebook kwa zitto

Mapendekezo yangu kwenu viongozi wa CHADEMA. badala ya kudhani kuwa wanachama wenu wote wanaweza kusoma alama za nyakati wakati mwingine ni vema sana mkiwa wepesi wa kutoa matamko ya maamuzi ya chama kabla watu hawajaanza kushambiliana, kutukana na pia kuwa disappointed humu jamvini na hata huko mitaani tunakosishi. Simaannishi mseme kila ktu lakinim key issues kama hili lilitakiwa liwe officially communicated kabla ya kuanza kusikia fununu au kulearn baada ya votes za USPIKA.

tunawaamini sana viongozi wetu kaka
 
What is going on here that it is taking so long to understand our contemporary political context? We all know that CCM and CUF have decided to work together, who said this was going to apply only in Zanzaibar? So long as CUF feel part of the status quo, it will be fool hardy to expect them to work in unison with CHADEMA. We should get used to the fact that we only have one main opposition party in the parliament-CHADEMA. Expecting CUF to behave otherwise this time in point is cheating ourselves. So the question here is not about CUF/CHADEMA differences, it is the question of the principles and objectives of the two parties. Someni alama za nyakati, vinginevyo mtaumizas nyoyo zenu sana...........................

Mnachonishangaza viongozi wa CHADEMA ni jinsi mnavyoshindwa kuona aibu kwa kuwa inconsistent. Juzi tu hapa kwenye kampeni za uchaguzi mkuu mlizunguka nchi nzima kuwaomba watanzania kura huku "mkiwadanganya" kuwa mtaunda serikali ya umoja wa kitaifa. Leo mnasema hamuwezi kushirikiana na CUF kwa sababu wana makubaliano na CCM Zanzibar, halafu vyama vingine kamvitaji kabisa; kama vile havipo! Kumbuka kuwa makubaliano hayo yalikuwepo muda mrefu, kabla hata ya uchaguzi. Hii ni lazima iwape mashaka watanzania juu ya uhalisia wa yale mnayohubiri kwenye majukwaa.
 
Naamini watanzania wanaelewa na wanafuatilia siasa katika nchi yao kuliko kipindi chochote since Independence. Wanayaona hayo yanayoendelea huko bungeni. Kama CUF waliamua kui-support CCM basi watakuwa na wajibu wa kuwaeleza wapiga kura wao tofauti yao na CCM ni nini. Twaelewa kuwa wana mkataba na CCM huko Zanzibar, na mambo yao huko Zenji wasituletee hapa. Wataishia kupata viti vya ubunge uko Zenji 2015 unless waingie kwa style ya A. Mrema (TLP).

Kila jiwe litageuzwa na kitajulikana ni nini kiko chini yake.
 
Please tell me if CUF can form partinership with Chadema in Zanzibar! you will be clever enough to agree the same in mainland
 
Back
Top Bottom