Marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi na Bakili Muluzi wafanya mazungumzo ya siri

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Raisi mstaafu ali hassan mwinyi na Raisi mstaafu wa MALAWI Bakili muluzi wamekutana kwa maongezi ya falagha pembezoni na shughuli iliyompelekka ya jitmai,
Katika mazungumzo hayo yalihusu mgogoro wa ziwa nyasa;

Mpaka sasa haijafahamika wamefikia makubaliano yapi kuhusiana na na mgogoro wa ziwa nyasa.

Safari hii ya Raisi mwinyi imeandaliwa na mwenyeji wake Raisi Bakili muluzi
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    6.2 KB · Views: 85
  • index.jpeg
    index.jpeg
    7 KB · Views: 1,627
Hawana Sauti tena waongee hivyo hivyo kwa siri tu

sijui walisahau nini walipokuwepo madarakani
 
Wote walikuwa mafisadi hata kama ni mashehe. Hawana jipya zaidi ya kumshukuru Mungu kwa kutoishia lupango kutokana na ujambazi waliofanya. Shame on you and to hell with you noble thieves,.
 
Mourad77 kama mimi "fwala" wewe senge au siyo. Yaani hujui kuwa hao jamaa walikuwa mafisadi wa kutupwa? Hujui kuwa Kikwete alitengenezwa na Mwinyi huku Muluzi akiiba pesa Malawi na kuwekeza kwenye shule za Sekondari zinazoendeshwa na John Komba? Shame on you and you can go to hell.
 
Back
Top Bottom