Marais kupangishwa foleni

Buyaka

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
1,643
1,786
pakua+%u0025252882%2529.jpg
Marais wa Afrika na jumuia ya madola masikini wakiwa wamepangishwa foleni kumsujudu malkia kwa ajili ya kuomba misaada yenye masharti ya ushoga. Kiongozi wa msafara hakusahau madesa ya kusoma wakati wa kujumuisha maombi hayo.
 
View attachment 42206
marais wa afrika na jumuia ya madola masikini wakiwa wamepangishwa foleni kumsujudu malkia kwa ajili ya kuomba misaada yenye masharti ya ushoga. Kiongozi wa msafara hakusahau madesa ya kusoma wakati wa kujumuisha maombi hayo.


ni kawaida mgeni akija kwako ..... Unamfungulia mlango apite na kumpa mkono ....! Ni ustaarabu unaojulikana duniani kote ! Ama ulitaka mwenyeji afanye nini..???
 
View attachment 42206
Marais wa Afrika na jumuia ya madola masikini wakiwa wamepangishwa foleni kumsujudu malkia kwa ajili ya kuomba misaada yenye masharti ya ushoga. Kiongozi wa msafara hakusahau madesa ya kusoma wakati wa kujumuisha maombi hayo.

Kwakuwa wao ndio wezi wakubwa wa rasilimali za nchi zao moja ya sababu kubwa zinazofanya nchi zao ziwe ombaomba, wawe wakwanza kushikishwa kuta (siyo kupanga foleni tuu)
 
ni kawaida mgeni akija kwako ..... Ama ulitaka mwenyeji afanye nini..???
kumpa mkoni sio issue, tatizo ni kuwapangisha foleni wakuu wa nchi. Na hata kwa kesi unayosema wewe ya "mgeni akija kwako," mimi husubiri wakisha kaa nawafata mmoja mmoja namsalimu na kumkaribisha, ndio ustaarabu wa kwangu. Siwezi kuwapangisha wageni foleni mlangoni, achilia mbali marais. Na nimehudhuria vi-cocktail na vi-shughuli vya kiswahili na vya kidhungu sijawahi kupangishwa foleni mlangoni eti kumsalimu mwenyeji wetu. Sembuse marais. Unadhani marais wa NATO wangepangishwa foleni hapo?

Ndio maana nyerere alimnyooshea kifimbo huyu bibi.
 
vipi ulishaipitisha hiyo kitu aisee kwa sababu kuna mtu mtaani anahitaji mtu fasta..
 
Back
Top Bottom