Candid Scope JF-Expert Member Nov 8, 2010 11,883 6,883 Mar 25, 2011 #1 Nipasheni marais duniani ambao wanaingia be-show kumi bora duniani
NZURI PESA JF-Expert Member Mar 25, 2011 5,959 2,938 Mar 25, 2011 #3 POMPO said: Google usituchoshe bana we ajeeeee! Click to expand... Nimjuaye miye ni OLUSEGUN OBASANJO,Mnaofahamu mtujuze zaidi
POMPO said: Google usituchoshe bana we ajeeeee! Click to expand... Nimjuaye miye ni OLUSEGUN OBASANJO,Mnaofahamu mtujuze zaidi
Speaker JF-Expert Member Aug 12, 2010 6,324 2,238 Mar 25, 2011 #4 Be-show ndo nini? Watu mnawashwa,mtakunwa tu ngojeni
Candid Scope JF-Expert Member Nov 8, 2010 11,883 6,883 Mar 25, 2011 Thread starter #6 Kwani wabongo hatuna candidate?