Marais 37 na wageni wengine 10,000 kuingia Nairobi

14039960_1374208812607668_8056403053073920464_n.jpg

14045945_1374208749274341_877045578905964974_n.jpg
 
Please let their excellencies take a short walk to the areas like muirigo, ngumba, githural, Soweto, uthiru, riruta, Mathare au Kibera to explore the beautiful of the city and fruitfulness how Kenyans multiply like Chinese phones.

Nimecheka sana "hii ya jamaa multiplying like Chinese phones" umepiga ikulu.
Nyie mpo kwenye harakati za kubana matumizi, sidhani kama mumewakilishwa.
Hii mikutano ni magumashi, ni waziri mkuu yuko huko. Kule Rwanda kufungua boda na kupigia debe reli alienda, pia kuapishwa kwa Museven alienda ilitupate bomba la mafuta.

Maana hapo ni magumashi mtu wa maana ni Shinzo Abe, wengine ni wauza sura tu.
 
Nimecheka sana "hii ya jamaa multiplying like Chinese phones" umepiga ikulu.

Hii mikutano ni magumashi, ni waziri mkuu yuko huko. Kule Rwanda kufungua boda na kupigia debe reli alienda, pia kuapishwa kwa Museven alienda ilitupate bomba la mafuta.

Maana hapo ni magumashi mtu wa maana ni Shinzo Abe, wengine ni wauza sura tu.
The same person who calls Kenyans bootlickers of white people has no respect for African leaders and countries but only recognizes a foreign leader.
 
Hahaha. Wachana na watu kama hawa - filosofia yao ni ya kijinga sana. Ati leo, Pan-Africanist, Kesho, Mjapani pekee ndiye mtu wa maana.
 
Raisi wangu Magufuli mbona simuoni hapo akijichanganya na wakubwa wenzie? Au bado yuko kwenye Jubilei ya Mkapa?
 
Nimecheka sana "hii ya jamaa multiplying like Chinese phones" umepiga ikulu.

Hii mikutano ni magumashi, ni waziri mkuu yuko huko. Kule Rwanda kufungua boda na kupigia debe reli alienda, pia kuapishwa kwa Museven alienda ilitupate bomba la mafuta.

Maana hapo ni magumashi mtu wa maana ni Shinzo Abe, wengine ni wauza sura tu.

Hehehe!! Kumbe mliwakilishwa na waziri mkuu, nilifikiria hata hii mtainunia kisa mnabana matumizi, na kuogopa ogopa Kingereza.
Japo waziri mkuu wenu huwa naona yupo sawa Kingereza, anajiamini na hawezi ogopa kukutana na wageni.
 
The same person who calls Kenyans bootlickers of white people has no respect for African leaders and countries but only recognizes a foreign leader.

Recognition and bootlicking are never identical. What are all those presidents doing in Kenya? What is the purpose of this whole thing? Its ridiculous.
 
Kuna baadhi ya marais ambao siwafaham kisura. Nawajua wote wa EAC pamoja na Mugabe, Buhari na Ouattara nk, lakini wengine siwajui. Naomba muweke captions tafadhali.
 
Japan is going to release 32 billion dollars for development projects in Africa but our southern neighbour's president cannot find time to attend. Kwani aliambiwa asivuke border na mganga?
 
Magufuli amesema hana muda na vimisaada vya wazungu amesema atajenga viwanda vya nguo Tanzania tuwe tunawapelekea wazungu mitumba yetu nao wajisitiri.
 
Back
Top Bottom