Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,288
Aged 22, mwanafunzi wa chuo kikuu, lakini niliyekulia uswahilini.
Nina uwezo wa kusocialize na yeyote, popote, wakati wowote. Nina marafiki kuanzia huku uswazi, wafanyakazi wa sekta isiyo rasmi mpaka viongozi wa kisiasa, ninao vijana wa shule mpaka wazee wa umri mkubwa, na wote tunalewana bila tatizo. Tatizo ni kuwa nimekuwa na marafiki wengi mno, karibu kila hatua ninayopitia na kila mahali ninapofika, ninaposema rafiki namaanisha rafiki, sio mtu tu wa stori mbili tatu, I mean yule naweza share nae happy and sad moments.
Tatizo ni kuwa wamekuwa wengi kiasi kwamba inakuwa ngumu ku-keep in touch nao wote. Likitokea tatizo, usipomwambia mmoja inakuwa lawama..., jumlisha na mihangaiko ya maisha ndio kabisa! Kuvunja urafiki haiwezekani, na ukipoteza ndo ivo tena!
Any way out wakuu?