Marafiki,wapwa na mabinamu kuelekea dodoma!..........

Mi siendi...nipo Dodoma tayari...nimewasiliana na Bigirita akodishe taxi ya kuleta baadhi ya wadau hapa dom...
nitakuwa dereva wa taxi....!
i mean nitapaa na charter kumuacha anonymous again nitarud nayo na kuchukua taxi.....!abiria wangu nitawapakia nikianzia kino
 
Sema neno tu na utatolewa meno ushindwe kula supu ya jogoo,....ila bia utaendelea kunywa
 
Nahisi hili la nani aende na nani lisiposimamiwa vizuri huenda safari zikaishia chalinze tu....mi ntanda na yeyote yule given that yu tayari kupanda pawa tila, dar-dom 3days
 
Dogo Baba G,

Ni wazo zuri sana ila kama unavyojua itabidi nitafute mwakilishi....Nitakupa jina kabla jogoo (naaminisha kuku, msijeniuliza maswali) hajawika!

Ila Baby yenu anawaombea kwa Mwenyezi Mungu awatangulie nyote mtakaoenda kimwili na sisi tutakuwa nanyi kiroho...

Ret Maj Gen DC (1947).
 
Mbona unakuwa na wasi wasi ndugu? Nature is always very kind and generous, it will sort things out for you... As long as multiple choice and ownership/pocession is not allowed!
 
Dogo Baba G,

Ni wazo zuri sana ila kama unavyojua itabidi nitafute mwakilishi....Nitakupa jina kabla jogoo (naaminisha kuku, msijeniuliza maswali) hajawika!

Ila Baby yenu anawaombea kwa Mwenyezi Mungu awatangulie nyote mtakaoenda kimwili na sisi tutakuwa nanyi kiroho...

Ret Maj Gen DC (1947).

Orait DC heshima kwako kumbe hii safari hii imekaa KIMWILI zaidi na sio KIROHO kama unavyosema
 
Back
Top Bottom