Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,366
PJ ata-do ze needful kwenye upande wa siti, we acha tukutuku yako pale babati, kamata yale mabasi marefu kama treni, then PJ ataleta wewe.mimi nitakuja ila sina usafiri....mwenye seat ya ziada pleeeez
Mimi nita-do ze needful kwenye upande wa kitanda.