Marafiki,wapwa na mabinamu kuelekea dodoma!..........

U know what.....

tunaweza kuleta change, tukawa sehemu ya change, change kubwa zaidi, kwa kufanya vitu kivitendo zaidi. Kwenye kudifferentiate, tunazungumzia delta....that small change we can make to turn around the whole big thing...


hili ni mojawapo, na niseme tu kwamba ni idea ambayo tumekuwa nayo muda mrefu, so nawaencourage kwa wale ambao watapenda kwenda wawasiliane na The King kwen PM kwa ajili ya logistic zaidi.

Tupo pamoja sana
Nimeipenda hii

tupo ndani ya changes, na tumesha-change, lakini tunaweza kuweka changes... if we change a few things

Roger that Kaizer

Dodoma is a nice place on saturday
 
........Huko dodoma kutakuwa hakutoshi hiyo week ijayo, hotel zote zitakuwa nyomi maana waalikwa ni wengi mno.
 
Askofu atahitajika kwenye safari kwa ajili ya kutufanyia maombi sijuiatakuja na Sista Gabriella
 
HA HA HA!
my dear,
huu ni mkao wa ''ki-rafiki zaidi''

nakuhakikishia tu unaweza kuja na LILIAN,QUEENKAMI NA DIANA wote kwa pamoja provided you can handle them babies
asante kwa uangalizi huu. double diff pia anakaribishwa
 
HA HA HA!
my dear,
huu ni mkao wa ''ki-rafiki zaidi''

nakuhakikishia tu unaweza kuja na LILIAN,QUEENKAMI NA DIANA wote kwa pamoja provided you can handle them babies

:coffee::coffee::coffee:
 
Nawatakia kila la kheri katika safari yenu, Ningependa sana kuungana nanyi, lakini sababu zilizo nje ya uwezo wangu zimenikosesha upendo. KAZI NA DAWA
 
ee Bwana NN on a serious note hebu cheki na Kiranga kama yupo interested kwenda kushuhudia mambo ya mjengoni LIVE...of course Regia atakuwa M. rasmi...
sasa kaizer naona unataka kuendeleza libe ohoooo

keep left
 
mimi nitakuja ila sina usafiri....mwenye seat ya ziada pleeeez
 
mimi nitakuja ila sina usafiri....mwenye seat ya ziada pleeeez

Wasiliana nami......niPM, niandikie barua pepe, au nitwangie kwenye simu......kama hutaki kwenda nami nitamwamuru dereva wa bajaji yangu akupeleke
 
Back
Top Bottom