Mhhh,Uzoefu wangu ni kwamba Dar ni dunia nyigine...Watu wanaishi kama wako kwenye machimbo ya mawe na huko kwenye mashimo Oxygen haitoshi....Ni jambo linalositikisha ila kama mtu ni mwelewa na mwepesi wa kusoma mazingira, unaweza kuwapotezea na kusubiri hadi waje mikoani..Kuna baadhi ya washikaji heshima imerudi mara tu baada ya kutemblea huku mikoani na kupigwa dinner na mazaga zaga mengine!

<br /><font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">Pole sana....kama walikupotezea hivyo....mbona jopo kubwa la JF lipo Dar....ungetumia fursa hiyo kuwatafuta.....Jf kuna watu wa ukweee....si kipolepole......</span></font></font>
Aibu bana,usije dhani wakiwa dar mambo safi ukaondoka kwenda simulia mkoa.
kwamba "mmh,bora sisi wa mkoani,kule nchini watu wamepigika kweli hawataki tu kuondoka huko",....
usiwalaumu bana,waombee,....maana kwa vyovyote vile kama ni watu
mmesoma nao hauwezi kutana nao sehem tu mkae,munywe,mpige story then it's over,...
lazima ufike kwao pia,...........na hapo ndipo matatizo yanapo anzia.
As for me wala sitaki mwana JF afike kwangu,....yaani karibu ndani afu sebule ina kitanda,....
meza pembeni,ndoo za maji hapo hapo,....jiko la mchina humo humo,kila kitu ndani ya room moja
kweli,....afu we umepanga mkoani nyumba kwa mwezi sh.40,000/= sawa na mimi chumba kimoja dar?
awapi,......
waache vijana wajiandae kwanza bana
Watu tunamitikasi yetu tuhangaike na Data wanini?? Usitupotezee wakati wewe watujua???
HA ha haa ha ha mweeeeeeeeeeee kalale na kesho uende zako
<br />Wana JF ... hili limekaa vipi?.. Mie nimetoka Mkoani nimekuja Jijini(DAR).. kwa Mapumziko kidogo, kusalimia ndugu na marafiki zangu.... <br />
sasa jamani ugumu nimeukuta ktk ishu moja... Rafiki zangu wa Ukweli,,nimesoma nao kabisa,,,tumeishi pamoja chuoni... tumekula bata(kujirusha) pamoja wakati nipo nao chuo...!!! Maajabu nimewatafuta niwaone wamekua watu wa ma promise yasiyokua na fulfilment... Sasa mie nikajiuliza hawa vijana wanaoishi dar... wanatuchukulia vipi sie tunaotoka Mkoa... wanadhani ua tunakuja lia NJAA..kwao auuu??? Acheni ujinga bana, tunakuja na hela zetu za mavuuno ...!!!
Wana JF ... hili limekaa vipi?.. Mie nimetoka Mkoani nimekuja Jijini(DAR).. kwa Mapumziko kidogo, kusalimia ndugu na marafiki zangu....
sasa jamani ugumu nimeukuta ktk ishu moja... Rafiki zangu wa Ukweli,,nimesoma nao kabisa,,,tumeishi pamoja chuoni... tumekula bata(kujirusha) pamoja wakati nipo nao chuo...!!! Maajabu nimewatafuta niwaone wamekua watu wa ma promise yasiyokua na fulfilment... Sasa mie nikajiuliza hawa vijana wanaoishi dar... wanatuchukulia vipi sie tunaotoka Mkoa... wanadhani ua tunakuja lia NJAA..kwao auuu??? Acheni ujinga bana, tunakuja na hela zetu za mavuuno ...!!!
Kaka watu wa dar misongo ya mawazo mingi mno!!
HEBU FIKIRIA: anatumia robo moja ya siku akiwa barabarani, anatumia robo nyingine ikigilbu watu ili apate nauli ya kurudi nyumbani, anatumia robo ile ya tatu kuwaza namna atakavomgilbu bosi wake ili asogeze deadline. na robo ya mwisho anatumia kulala!!!
sasa niambie; wapi ipo hiyo dakika moja ya kuongea na wewe? hata akikutana nawe ataishia kukupa orodha ya deals hewa ambayo hutaelewa hata moja maana zoooooooooooote anazokupa ni ndoto tu!!
bakini na mji wenu wa giza,mijasho,uchafu... Gizaa, to hell