Marafiki wa wapenzi/wenzi!

Watu wanajaa ndani bila hata taarifa..kweli sio fresh!!!Ila sasa na wewe hua huleti washkaji kuangalia mpira???

mimi mpira nakwenda bar na washikaji huo huko.
narudi peke yangu......
 
Lizzy let me be blunt with you ( and no offence intended kwa wanaume wenzangu),umezungumzia distance,fine,ngoja nikwambie,mwanaume yeyote,yeyote hapa i mean any man awe workmate,shemeji,jirani,relative,business partner etc ,ukimjengea mazingira ya kuzoeana kupita kiasi (mambo ya distance hayo) ATAKULALA TU,period!

I don't buy it.....not when you are being that general!!!
Sikatai kwamba kuna ukweli kwenye usemacho.....ila ingekua kweli watu tungeshatembea na wanaume zaidi ya tunavyoweza kuhesabu!!
 
mimi mwanamke akipeleka mambo yetu ya ndani kwa shosti wake
naweza mpa talaka mara moja.....

kingine i hate most.......
unarudi kazini umechoka.....unakuta nyumba imejaaa watu.....
i really hate this........

unakuta watu wanaangalia filam ya kinegeria hivi au wamejiachia kwenye makochi
na story za umbea......arghhhhhh

mimi nataka nikirudi home nikute honey yupo peke yake
ananukia hivi,msaaafi....nguo nyepesi.....na juice baridi inanisubiri......

get it women....
Kitufe cha senks kimepotelea wapi tena? Mkuu nakuunga mkono kwa sana tu!
 
mimi mpira nakwenda bar na washikaji huo huko.
narudi peke yangu......

Well that's good....maana ukirudi nao alafu ukute mupenzi kajivalia kakanga kamoja ndo mwanzo wa washkaji wenye uroho kutaka kukugeuka!
 
Sasa where my LIKE n Thanks at...???Mhhh mbona nlikua sijajua??Ngoja nimpakie vikorokoro vyake....mkisumbuana huko naomba msinihusishe!!
Sasa umeanza kuzeeka kiasi kwamba macho yako hayaoni hebu angalia vizuri bana lol!!!! Hatonisumbua yule the only thing i have to do is to protect him from girls

Hahahahha....kuna watu wana tabia mbaya!!Kumbe ndivyo wanavyoanzaga ehhhh???Ingekua mimi mupenzi akirudi namwambia ''Darling rafikiyo anataka kujua nnapoishi na namba yangu ya simu....utampatia ehhhh?'' Sijui hapo aibu ingemshika kiasi gani!
Lizzy nikwambie ni wachache sana wenye uthubutu wa namna hiyo, watu wanapeana namba kimya kimya wewe haujui ishu ukiisha ishtukia kuwa wanaji-bluetooth hapo ndio unaanza sasa ku-rewind picha hadi unapata jibu movie ilianzaje.
 
Well that's good....maana ukirudi nao alafu ukute mupenzi kajivalia kakanga kamoja ndo mwanzo wa washkaji wenye uroho kutaka kukugeuka!

usually sihofii marafiki.....
but sometimes mambo ya wawili yabaki kuwa ya wawili.....
unaweza kukaa vibaya hivi.au kutamani kutazama tamthilia hivi....
 
mimi mwanamke akipeleka mambo yetu ya ndani kwa shosti wake
naweza mpa talaka mara moja.....

kingine i hate most.......
unarudi kazini umechoka.....unakuta nyumba imejaaa watu.....
i really hate this........

unakuta watu wanaangalia filam ya kinegeria hivi au wamejiachia kwenye makochi
na story za umbea......arghhhhhh

mimi nataka nikirudi home nikute honey yupo peke yake
ananukia hivi,msaaafi....nguo nyepesi.....na juice baridi inanisubiri
......

get it women....

nakusoma mkuu hasa hapo kwenye red...
 
Well that's good....maana ukirudi nao alafu ukute mupenzi kajivalia kakanga kamoja ndo mwanzo wa washkaji wenye uroho kutaka kukugeuka!

halafu wewe........idea ya khanga moja hiyo lol....napoteza network hapa...
 
Lizzy nikwambie ni wachache sana wenye uthubutu wa namna hiyo, watu wanapeana namba kimya kimya wewe haujui ishu ukiisha ishtukia kuwa wanaji-bluetooth hapo ndio unaanza sasa ku-rewind picha hadi unapata jibu movie ilianzaje.

Ahhhh miwani sijavaa muda mpaka imepata kutu!!Nimeona lakini!
Hahahahah.....kweli aisee asije akawa LOVER BOI....sitaki matatizo mie!!!

Heheheheh...eti wanajibluututhi!!Hapo sasa ndo maana mahusiano hayadumu....uaminifu hamna kabisa!!!
 
Ahhhh the long lost husband!!

Unayosema kuhusu kutengeneza ukaribu kwa nia ya kufahamiana ni sawa kabisa....tatizo ni kwamba kuna watu hua wanautumia huo ukaribu vibaya kwahiyo inabidi kuwe na njia ya kujiepusha na hayo ''MABAYA''.

Huko kwingine sijasoma, hebu fafanua hapa . . .
 
hakuna safe distance....labda na wazazi na kaka/ dada zako....:bange:
 
Nyamayao na MJ1 naomba niwasalimie, japo nishike mikono yenu tubadilishane kajoto kidogo . . . .
 
Ahhhh miwani sijavaa muda mpaka imepata kutu!!Nimeona lakini!
Hahahahah.....kweli aisee asije akawa LOVER BOI....sitaki matatizo mie!!!

Heheheheh...eti wanajibluututhi!!Hapo sasa ndo maana mahusiano hayadumu....uaminifu hamna kabisa!!!
Tatizo ndio hapo, tunapenda kuoneana aibu na kutokuambiana ukweli
 
Back
Top Bottom