Marafiki wa Hisabati Tanzania/Tanzania Friends of Mathematics

SolarPower

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
223
27
Wakuu,

Mimi na watu wengine watatu mwaka jana tulianza juhudi za kuanzisha taasisi itakayoitwa Tanzania Friends of Mathematics/Marafiki wa Hisabati Tanzania. Kwa wale ambao watapenda kuwa wanachama waanzilishi wa taasisi hii naomba wanitumie email zao kwa SMS kwenye namba yangu ya simu 0654 467758 ili niweze kuwatumia rasimu ya katiba (ili wachangie katika kuiboresha) na minutes za vikao vya mwanzo. Pia wanaweza kuwasiliana nami kwa email josephatsanda@yahoo.com

Nawasilisha

Josephat S. Sanda
READ & WIN INVESTMENTS
KEREGE, BAGAMOYO
0654 467758
 
mkuu naona sasa unakuja na suluisho zuri la kuweza kupunguza hili "tatizo la kitaifa" maana tukisubiria mpaka srikari ianzishe wazo hili yaeza kufikia 2050. Hii yaweza pia kuwapa moyo walimu zaidi ili kupunguza 'woga na chuki' kwa hesabu mashuleni.
Nawatakia kila la kheri
 
Asante Lukindo kwa kututia moyo. Hali inatisha sana. Si ngazi ya shule za Msingi wala Sekondari ambako unaweza kusema kuwa kuna nafuu.
 
Back
Top Bottom