Marafiki mnakaribishwa kwenye kikao cha kwanza

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,856
6,213
Ukiwa km ndugu, jamaa na rafik yng , napenda kukaribisha kwenye kikao changu cha kwanza kitakachofanyika blue pearl ubungo, plaza 28/10/2012 nahitaji mchango wako wa hali na mali kuniwezesha kujenga nyumba Majohe , maana gharama za kodi hapa mjini zimekuwa juu sana . kufika kwako ndio mafanikio yangu, karibuni sana. USISAHAU KUBEBA GHARAMA ZA UCHAKAVU. :bange::bange:​

Hahahaaaaaaaaaaaaaa! NIKAJUA KWISHA HABARI YAKO!!!!!!!!!!! Unaingia anga za YE MAM!!!!!!!
 
Ukiwa km ndugu, jamaa na rafik yng , napenda kukaribisha kwenye kikao changu cha kwanza kitakachofanyika blue pearl ubungo, plaza 24/10/2012 nahitaji mchango wako wa hali na mali kuniwezesha kujenga nyumba Majohe , maana gharama za kodi hapa mjini zimekuwa juu sana . kufika kwako ndio mafanikio yangu, karibuni sana. USISAHAU KUBEBA GHARAMA ZA UCHAKAVU. :bange::bange:​

yani hii msg kanitumia Emil yani nimeshindwa hata kuijibu..!!
 
Mbona tarehe ishapita? Au nimechelewa kama ndivyo pole sana kwan nilitaka kucontribute 5m!
 
Ukiwa km ndugu, jamaa na rafik yng , napenda kukaribisha kwenye kikao changu cha kwanza kitakachofanyika blue pearl ubungo, plaza 28/10/2012 nahitaji mchango wako wa hali na mali kuniwezesha kujenga nyumba Majohe , maana gharama za kodi hapa mjini zimekuwa juu sana . kufika kwako ndio mafanikio yangu, karibuni sana. USISAHAU KUBEBA GHARAMA ZA UCHAKAVU. :bange::bange:​

Kikao cha kujenga nyumba kinafanyika Blue pearl??? Piga hesaby gharama za ukumbi ni matofali mangapi?? badilisha venue...
 
Kikao cha kwanza always vyakula na vinywaji ni juu yako. I hope.ulifanya the needful.
 
Back
Top Bottom