Marafiki kutembelea Mbuga zetu...nani anaenda?

Kabla hamjaendelea naomba kuuliza carmel yuko wapi????????????????nimemmiss sana ni takrabani kitambo sasa haonekani

Mamaaa la Carmel ndani ya vekesheni Shinyanga. Jumatatu anaingia kwa jukwaa! Hahahaha!
 
tukutuku ziko service kwa ajili ya hili tu jamani!ningependa sana nimpandishe carmel kuanzia kimara mpaka eneo la tukio
 
Wazo zuri sana maana wazungu wanatoka mbali kuja kustarehe na mali zetu ngoja nijipange.
 
hahaha wivu sina ila roho inaumaa eeeh
anateleeza!ANATEEELEZA!
wivu sina*2...ROHO INAWAUMA!
na mimi nina wangu.............
na wewe una wakooooo...............
munene kwa muneneeeeeeeeeeeeeeee/.....
mwembamba kwa mwembambaaaa......................
 
anateleeza!ANATEEELEZA!
wivu sina*2...ROHO INAWAUMA!
na mimi nina wangu.............
na wewe una wakooooo...............
munene kwa muneneeeeeeeeeeeeeeee/.....
mwembamba kwa mwembambaaaa......................

Hahaha! Hiyo itakuwapo kwenye mbuga. Mpaka mafisi yatacheza safari hii!
 
Hahaha! Hiyo itakuwapo kwenye mbuga. Mpaka zd wangu atacheza kilwanzenza safari hii!
i can't wait to see it happening!
bwashee hivi unakula bia gani?
muhudumuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!mgongee bwashee SENKSI na mpe serengeti yake!
 
i can't wait to see it happening!
bwashee hivi unakula bia gani?
muhudumuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!mgongee bwashee SENKSI na mpe serengeti yake!

You Can Say It Again! Usisahau na banta mbili baridi kwa mchumba!
 
Pia wasaaa wa kuonaq simba wakimegana, they are very romantic if u know what I MEAN..

twiga wakitembea kwa madaha

tembo wakiranda randa huku na huko..

viboko wakiwa kwen maji lakini ngoja watroke usiku! we!

ndege wakiimba nyimbo nzuri

swala aina kwa aina wakitembea huku wakifurahia maisha..

so many more!
 
Back
Top Bottom