andishile
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,429
- 520
MziziMkavu,nimekuwa nikizoma na kuona thread zako na jinsi unavyotusaidia sana watu kupona maradhi.tunakushukuru sana kwa hilo,tunakuombea uzidi kutusaidia Mwenyezi Mungu azidi kukupa uwezo zaidi na zaidi. sasa katika kupitia nyuzi zako nyingi sana natafuta tiba ya kuondoa mawe katika gall bladder.ninaamini ipo tiba mbadala ya ugonjwa huu kuliko mtu kufanyiwa operation ktk umri mkubwa.Natanguliza shukrani zangu.