BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
kucheka kupi huko kwa kuonekana meno au?
nitonye ww wala hutakiwi kutumia nguvu...mungu amekuumba vizuri...tehe
kucheka kupi huko kwa kuonekana meno au?
Habari zenu wadau wa hii sekta!Swali ndio hilo hapo juu!
Wengi wetu huwa tunajidai tupo seriously busy na pilikapilika za kila kukicha na kusahau kwamba wenzi wetu wanahitaji kufurahishwa nasi,mwishowe mkeo anachekeshwa na muuza vyombo halafu inakuwa balaa..!Teh teh teh!
Kumbuka bila kicheko maisha yanazidi ugumu!
Kwani mie "ze komedi"?akawape tu huko wanaomchekesha hovyo!yan ntafute pesa na pia ntafute na kichekesho cha kuja kumchekesha mwanamke?khaa!
Habari zenu wadau wa hii sekta!Swali ndio hilo hapo juu!
Wengi wetu huwa tunajidai tupo seriously busy na pilikapilika za kila kukicha na kusahau kwamba wenzi wetu wanahitaji kufurahishwa nasi,mwishowe mkeo anachekeshwa na muuza vyombo halafu inakuwa balaa..!Teh teh teh!
Kumbuka bila kicheko maisha yanazidi ugumu!
Aisee hao jamaa ni wakali kwenye hiyo sekta ya kuburudisha wake za watu!Ukizubaa tu,mkeo atakuwa anauziwa vibakuli daily!teh teh tehhapo pa muuza vyombo nimepapenda aise...
kuna wale wanaopita mtaani kuchekesha sh 300...
akikuta mkeo humchekeshi,basi atahamia aise kwako...
mbona yeye hanichekeshi?
Ajitekenye mwenyewe, sambi sake
Habari zenu wadau wa hii sekta!Swali ndio hilo hapo juu!
Wengi wetu huwa tunajidai tupo seriously busy na pilikapilika za kila kukicha na kusahau kwamba wenzi wetu wanahitaji kufurahishwa nasi,mwishowe mkeo anachekeshwa na muuza vyombo halafu inakuwa balaa..!Teh teh teh!
Kumbuka bila kicheko maisha yanazidi ugumu!
Mimi niko vere serious. Waifu ananiita shwazinega samtaim
Hata Tomaso hakumwamini Yesu. Alelluyahsiamini hapa.
Hata Tomaso hakumwamini Yesu. Alelluyah
Halaf mbona skuoni kwenye ibada sku izi au umekuwa ka sista du?emeeeeen!!
Halaf mbona skuoni kwenye ibada sku izi au umekuwa ka sista du?