MARA TU BAADA YA ecomic forum mambio yalienda hivi!!

Risk taker

Member
Jan 20, 2009
35
0

JK: Wee Jakobu, “kiduku” kinachezwa hivi, unaweka mikono mbele halafu unabetua miguu kwa nyuma.
JZ: Wewe Jokery (Jakaya), unapanua miguu kidogo, hiyo si mliiga kwetu bondeni, halafu kiuno kwa mbaaali.
JK: Duuuhh akili ya kuambiwa changanya na ya kwako...
 
Back
Top Bottom