Mapungufu yaliyokusudiwa ya sheria ya mchakato wa katiba mpya UNAVYOANZA KUVUNJA AMANI.

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
CHADEMA walizomewa na kutukanwa walivyotoka kuipinga lasim ya katiba ambayo haikutoa uhuru wa kujadili uwepo wa muungano.

NA vurugu zikiachwa hivi Zanzibar tutegemee haya swala la mahakama ya kadhi.

Hawa watu wanaamini viongozi wa nchi ni dini yao hivyo watawalinda. Yani maraisi na makamu wote Muungano na Zanzibar na waziri wa ulinzi na mambo ya ndani.

MUUNGANO UJADILIWE KWENYE KATIBA MPYA KAMA KWELI WAZANZIBARI WENGI HAWATAUTAKA BASI UVUNJWE KWANI NI KWA MANUFAA YA NANI?
 
Kuchanganya siasa na dini ni kitu kibaya sana, hao wanaochanganya muungano na udini ni viwete na machizi wakubwa wa mawazo na bongo zao!!!
Kweli bila shaka muungano ujadiliwe na kama ikshindikana kuelewana uvunjike tu, haya mambo ya kuchoma makanisa yanakeraa sana!
 
Back
Top Bottom