Philipo Kidwanga
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 2,042
- 599
Lipo jambo moja ambalo watu hawajui na kila siku wanataka kutuongopea kwamba raisi hana matatizo.ambalo hawajui ni kwamba hata uclass monitor jk hauwezi.
kwa taarifa yako mjungu na umbea ndio vinamuharibu na ndio maana huyu jamaa ana kisasi sana.bila kusikiliza majungu saa hizi angekua mbali sana.we angalia mtu kama nape kapewa cheo kimajungu majungu tu.jk ukigombana na mtu anakupatia cheo,kumbuka sakata la kashfa ya jengo la umoja wa vijana alipogombana lowasa moja kwa moja akampa ukuu wa wilaya na baadae ukatibu mwenezi na hapo ndo tukasikia ishu ya kuvua gamba.kwa majungu anayo kaka.halafu ana tabia ya kutanguliza wenzake wakishaharibikiwa na yeye ndio anajitokeza muulize pinda anajua hili.kazou, kwenye hili la jk kuwa ni msikivu sana na kusikiliza mpaka umbeya na majungu, naomba nimtetee!. Angesikiliza mpaka umbea na majungu, saa hizi angeshasikia watu kibao wana...a debe!. Hata jf ingeshafingwa zamani!.
Kati ya madhaifu ya jk ni mapuuza!. Naamini kabisa kuna vitu anaambiwa afanye kwa maslahi ya taifa, anasikiliza tuu na hafanyi!. Naamini baada ya ule mgomo wa kwanza, baada ya kamati ya bunge kurudisha majibu, walitoa mapendekezo fulani na kumpigia jk usiku huo huo na kumwambia!. Alisikiliza and he did nothing!. Pinda baada ya kuwatimua mama nyoni na dr. Mtasiwa, alimshauri jk kuwatimua watu fulani, jk did nothing!. Kiukweli jk sio msikivu kabisa!.
Kwa vile msingi wa thread hii ni constructive criticisim. Jk lazima sio tuu awe msikivu zaidi bali pia awe mtekelezaji promptly baadhi anayotasikia!.
Tuchukue fursa hii kwa kuwa msikivu kwenye baadhi ya mambo kikiwemo kilio cha katiba mpya na kuwakaribisha wapinzani ikulu kuwasikiliza na kutekeleza ushauri wao!.
Pia tumpongeze kwa kutosikiliza majungu pale ikulu, kwa nature ya watu wa ukanda pwani. Majungu ni jadi yao!. Tunamshukuru jk anatoka ukanda huo na wapika majungu wamefunga breki!.
Wanabodi,
Kwa kuanzia moja ya mapungufu makubwa ya JK ni mtu wa huruma iliyopitiliza mipaka matokeo yake kutafsiriwa kama ni weakness, yaani "JK ni rais dhaifu", weak!, asiyeweza kufanya maamuzi magumu!.
Ushauri ni kwa JK kuwa bold na kufanya maamuzi magumu!. Mfano kwenye huu mgomo wa sasa, siungi mkono JK kuitikia shinikizo la madaktari na wanaharakati kumwajibisha Mponda na naibu wake, hiyo nayo ni weakness. Bold decision ni wahusika watakaosabisha kifo chochote, kupandishwa kizimbani kwa murder!.
Ni huruma na upendo huu uliopitiliza ndio unapelekea kuwahurumia baadhi ya mawaziri na wasaidizi wake ambao hawamsaidii hivyo kuendelea kuwabeba!.
Natanguliza shukrani kwa kuzingatia spirit ya constructive criticisim in good faith kwa nia ya kujenga na sio kubomoa!.
Wasalaam
Pasco wa jf.
Inawezekana JK pia huwa anasoma jf, na alisoma hiki tulichoandika humu!, tulikuwa tunamuona ni rais dhaifu asiyeweza kufanya maamuzi magumu, ndio maana mliwahi kusikia zile kauli za "hakatwi mtu!".Kati ya madhaifu ya JK ni mapuuza!. Naamini kabisa kuna vitu anaambiwa afanye kwa maslahi ya taifa, anasikiliza tuu na hafanyi!. Naamini baada ya ule mgomo wa kwanza, baada ya kamati ya bunge kurudisha majibu, walitoa mapendekezo fulani na kumpigia JK usiku huo huo na kumwambia!. Alisikiliza and he did nothing!. Pinda baada ya kuwatimua Mama Nyoni na Dr. Mtasiwa, alimshauri JK kuwatimua watu fulani, JK did nothing!. Kiukweli JK sio msikivu kabisa!.
Kwa vile msingi wa thread hii ni constructive criticisim. JK lazima sio tuu awe msikivu zaidi bali pia awe mtekelezaji promptly baadhi anayotasikia!.
Kweli dunia ina mambo! Pasco wewe ina onesha hujasoma uongozi.na ndio maana unaleta hoja ambazo hazina mashiko.
Mwisho, watu kama PASCO ni lazima wapuuzwe kwani hawalitakii mema Taifa letu.Tulipo kuwa na kiongozi mzembe na mzururaji kuliko watu wote duniani walikaa kimya huku wakifaidika na mfumo mbovu wa uongozi. hata siku moja Pasco hakuwahi kuandika kutofurahishwa na uzembe ule.
Acha hizo pasco!
Huu ni mwanzo tuu, naendeleaWanabodi,
kila kwenye mafanikio hapakosi matatizo, mapungufu au changamoto ambazo zikifanyiwa kazi zinabadilisha hali iliyopo sasa na kutupeleka hali bora zaidi.
Kwa kuanzia moja ya mapungufu makubwa ya "JK ni rais dhaifu", weak!, asiyeweza kufanya maamuzi magumu!.
Wasalaam
Pasco wa jf.
.
Yap PASCO umethibitisha pasipo mashaka kwamba kuna wakati ulikemea maovu lakini hili la MH WAZIRI MKUU nadhani umeteleza na ndio maana karibu wachangiaji wote wametofautiana na wewe. kwanini? watu wote wanapenda GOOD GOVERNANCE lakini walio sababisha watendewe hivyo ni watumishi wenyewe wa TPA NA TRA. Kwanini? wangesema ukweli toka mwanzo Waziri mkuu asingewaonesha ukweli anao ujua yeye!!
Huu ni mwanzo tuu, naendelea
Pasco
Hiki kipande wakija wale, upande ule.. Ambao wamebadilikaJK anatakiwa kupunguza huruma na upendo wa mshumaa kumulikia wenzake huku yeye kwake kunateketea!. Huruma na upendo alioisha uonyesha sasa unatosha!. JK anatakiwa awe mkali kama alivyokuwa Nyerere watu kujua wamefutwa kazi ni kupitia taarifa ya habari ya saa 2:00 usiku ya RTD tena ikisomwa na David Wakati!.(RIP).
Ni huruma na upendo huu uliopitiliza ndio unapelekea kuwahurumia baadhi ya mawaziri na wasaidizi wake ambao hawamsaidii hivyo kuendelea kuwabeba!.
Sasa JPM ndio RaisKama miaka mitatu iliyobakia anataka kubaki ktk kumbukumbu hana budi kumpa Uwaziri Mkuu mtu aina ya Magufuri na kuwatema mawaziri wake wengi wa sasa! Kufanya mabadiliko chanya kwa watendaji serikalini. Huko kuna baadhi Makatibu wakuu, Makamishina na Wakurugenzi waliovimbiwa, sasa wanacheua kwa dharau!
TumeshapataMr Prezida anatakiwa kuwa mkali
Tumeshapata Rais ambae ni day worker, je msimamo wako ni ule ule au umeshabadiliNi rahisi sana kuongoza USA kwa kuwa institutions zipo na zinafanya kazi zake kama kawaida, kuliko Tanzania ambako institutions nyingi hazifanya kazi inavyotakiwa. Kwa maana hiyo, rais anatakiwa kuwa kama day worker, kila siku kusimamia watu.