Mapungufu ya Katiba

mapambazuko

Member
Oct 6, 2010
23
1
jamani naomba kufahamishwa na member aliyebobea katika masuala ya katiba au anayeifahamu vizuri mapungufu yake au kipi cha kubadilishwa kifungu cha zamani na ushauri wa kifungu kipya.naona watanzani wengi hawafahamu vifungu vilivyopitwa na katiba ingwa sio kosa lao kwani soma la siasa tulikuwa tunafundishwa sisi tuliosoma zamani kidogo lakini katiba ya nchi hatukuwahi kuiona shuleni.msaadajamani.
 
..pungufu la kwanza...:
hautakiwi kuhoji wala kupinga matokeo ya urais hata kama yamechakachuliwa.
 
Tuko msibani bado, waweza kuahirisha kwanza hoja hii na isitoshe imeshajadiliwa sana humu. Pekwa pekwa kule chumba cha mambo ya katiba. Don't divert our attention for now.
 
Acha uvivu wa kusoma ndugu, katiba hii hapa soma mwenyewe utajuwa wapi wewe kama raia haupendi iwe hivyo. usimkabidhi binadamu mwenzako kufikiri kwa niaba yako.

Bofya hapa View attachment 20028
 
Matola umefunga rasmi hoja ya huyu bwana sawa sawa na Jaji Werema kwa mjadala wa Dowans. Hebu turudi kwenye MSIBA MKUBWA WA KITAIFA KULE ARUSHA.
 
Matola umefunga rasmi hoja ya huyu bwana sawa sawa na Jaji Werema kwa mjadala wa Dowans. Hebu turudi kwenye MSIBA MKUBWA WA KITAIFA KULE ARUSHA.


Mtu yeyote makini hili la CCM kuwauwa raia wasio na hatia ndio jambo la kujadili kwa sasa, swala la katiba litafuata baadae.
Mfano leo Rais anayejuwa majukumu yake ya urais, Mr President Barrack Obama (maana hawa hawaitaji kuitwa waheshimiwa) ameagiza nchi nzima ya Marekani kukaa silence kuwakumbuka wale raia 5 waliouwawa kwa risasi kule Arizona, Mkwere yeye anakula Buffeet tu ikulu, kuna ulazima wa kubadili CHADEMA kisiwe chama cha siasa kwa sasa, bali kiwe chama cha ukombozi, tukishaikombowa nchi ndio CHADEMA ikasajiliwe tena kuwa chama cha kisiasa. hauwezi kufanya siasa na watu wa kariba ya makamba. hawa dawa yao ni damu kwa damu.
 
Back
Top Bottom