Maprofessa wa Vyuoni Sijui wakoje!!!

Aug 11, 2012
76
3
mi Napiga simu Naongea Kiswahili Lenyewe linanijibu Kiingereza ...
na mimi Kwa Makusudi Nimemnyooshea Kiswahili kwa Muda wa Dakika Kama 15 hivi...

ikabidi aamue Kuongea Kiswahili ha ha ha ha ha Hapa ndio Aliniacha Hoi """Wewe Kijana Mimi ni Proffesa nalipwa Mamilioni nina Nyumba Egypt""""

Hakiyamungu Huyu jamaa aliniacha Hoi....inaonyesha Huko Chuoni watu Design yangu Tutakoma!!!
 
hahhahaha wewe jamaa upo kama mimi .. Hawa jamaa wanaoendekeza mabo ya wazungu huwaga nawazarau sana.
 
Back
Top Bottom