MAPOVU TOKA CCM; Mgeja ataka Sabodo avuliwe uanachama

Itasaidia nini mkimfukuza?. si ataenda Chadema kuchukua kadi ya ukweli. Sasa hivi mwili wake CCM, Lakini moyo wake upo CHADEMA.

Teh kweli kabisa mkuu ila kwavile ccm ni wavivu wa kufikiri hawajaligundua hilo mpaka sasa
 
Huyu Mgeja kilaza, STD IV ya zamani, hana jipya.

Kwa ccm unaweza kuta ana Phd yake hapo siyo jambo la kushangaza kwani ni viongozi wangapi wa ccm wanaelimu zao zilizoshiba ila maneno, matendo na hata maamuzi yao hayafanani na elimu yao!?
 
jinga kweli lina kijiba cha roho...ndiyo akili zetu waafrika...mtu anachukia sana akiona mwenzake ananyanyuliwa ili asimame vizuri...!
 
Kwa maana nyingine anasema afukuzwe uanachama kwa kukosa sifa za kuwa Mwanachama wa CCM ambazo ni
- Kutomwogopa Mungu
- Kukwepa kodi
- Kuiba mali za umma
- Kuua wapinzani wao
 
Sabodo ana matatizo ya akili kutokana na umri mkubwa alionao na Chadema wanatumia advantage hio kukwapua mali yake na kimsingi hata haja ndogo inamtokaga bila kujijua....kuhusu kadi ya ccm si kweli anayo kadi ya ccm kwani kadi alionayo ni ya zamani ambazo zilifutwa kitambo.
 
kwa kosa lipi alilofanya?
kwani kuwa CCM huruhusiwi kushirikiana na vyama vingine?
anawaza kwa masaburi huyu, tuseme wabunge wanatumikia vyao vyao pekee au wananchi wote?
huu mzee sio mwanasiasa ni mfanyabiashara
 
Kwani kuna kasheria kwamba mwanachama wa CCM haruhusiwi kuchangia Chama kingine? basi na CCM wasikubali hata kura za wanachama wa vyama vingine hata wanapochakachua ienadane basi na idadi ya wanachama wao. Nafikiri kwa sauti
 
Ni wazi Mgeja hajazisoma alama za nyakati nadhani alikuwa mbugani akiwinda fisi na mbojo, mwacheni alale. kalabagaho Ngeja
 
Sabodo ana matatizo ya akili kutokana na umri mkubwa alionao na Chadema wanatumia advantage hio kukwapua mali yake na kimsingi hata haja ndogo inamtokaga bila kujijua....kuhusu kadi ya ccm si kweli anayo kadi ya ccm kwani kadi alionayo ni ya zamani ambazo zilifutwa kitambo.

Kwa kuchagua jina hilo, hatushangazwi na maelezo yako. Mtu mzima mwenye busara hapaswi kutumia lugha kama uliyoitumia hapo juu.
 
Sidhani kama bado Sabodo anajivunia huo uanachama anaotishiwa na huyo mwenyekiti!
Wana CCM wenyewe walipaswa watafsiri vyema ukaribu wake na CHADEMA,na kama wangefanya hivyo,wangepepata jawabu kitambo.
Wenye kufikiri wanajua huyu mzee hayupo CCM siku nyingi.
 
Magamba:Cry:

Poleni, Makamanda ndio tunasonga hivyo!!
 
Sabodo ana matatizo ya akili kutokana na umri mkubwa alionao na Chadema wanatumia advantage hio kukwapua mali yake na kimsingi hata haja ndogo inamtokaga bila kujijua....kuhusu kadi ya ccm si kweli anayo kadi ya ccm kwani kadi alionayo ni ya zamani ambazo zilifutwa kitambo.

Wakati unakuja nawewe utakunya nakukojoa hapohapo!Mbaya zaidi huna hela!Hivyo wakukuzolea nakukusafisha atakuwa hayupo!Tafakari.
 

Kada wa CCM na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Ndugu Mgeja, anadaiwa kataka Mzee Sabodo kuvuliwa uanachama wa CCM kwa kitendo chake cha kuisaidia CDM, anesema anacho kifanya ni usaliti.

Chanzo: Mtandao wa Wanabidii.
mgeja hafahamu siasa za siku hizi.
 
Ccm wamepoteza dira,Mzee Sabodo ametoa misaada mbalimbali kwa CHADEMA inayokaribia 500mil,ambayo haifiki hata 1% ya misaada ambayo ametoa ccm,maana yake ametoa zaidi ya 500bil ccm ambayo hata siku hawakuwahi kumwita kumshukuru.Mingi ya misaada aliyotoa CHADEMA ni visima vya maji ambayo yanawanufaisha wote ccm na wasio na vyama.
Ccm wasifikiri wana hati miliki ya uhuru wa maamuzi binafsi,
 
Mgeja jaribu uone! CHADEMA atapewa uanachama wa MAISHA, ccm ina nini cha kuking'ang'ania kwa sasa?
 
Sabodo amesema mpaka sasa amechangia 1% tu ya kiasi ambacho amesaidia magamba.
Je, akifika 10% magamba si yatababuka.
 
ha atatoa vip msada kwa fisadi si itaishia mikononi mwa watu acha atoe kwa chama makini na watu makini
 
Back
Top Bottom