Mapolisi wanapoamua kufanya dili geti za airport jnia;osama atatuacha kweli??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,136
Ndugu
habarini za mchana karibu na jioni;nimepita leo kumsindikiza ndugu yangu airport..kwa kweli hawa polisi wanaitaji kujua majukumu yao..nahisi siku tutakapolipuliwa basi hawa watakuwa mashahidi muhimu mahakamani na serikali aipaswi kuwaacha

Nimefika karibu na geti nikaona polisi wa nguo za brown kama wawili na mmojawa kijani kama nguo za CCM ,,hawa wawili badala ya kuanza akukagua magari walikuwa wanasimamisha pikipiki na kuweka mbele mara mmoja akaanza kmzunguka fulani mara ikapenyezwa rupia jamaa akawasha akaanza napikipiki yake....yule wa kijan yaani badala ya kuanza kuangali kwenye magari kuna nini akaanza kuangalia na kupita gari moja badala ya lingine anaangalia zile bima na rl akiona ziko kulia anahamia kulia

Swali langu hawa watu wanaangalia usalama kweli ama mumewaweka pale kututia aibu ...kwa kweli nawapongeza jomo kenyata usalama wao si mchezo na si wasanii hapa mpaka tusikie jamaa amekuerupua ama anataka kulamba nchi jiran ndio tunakimbilia na mbwa..kama mnakumbuka majuzi hata mwezi aijaisha kulikuwa na mambwa na defender nyingi tu uwanja mzima

kwa nini tuwe wasanii kwenye usalama wetu..na kwanini watu wasifanye majukumu yao wanaanza kukagua bima mara rl..mmhh kama wanaitajika basi wawekwe maalumu na wakae baada ya kupita geti tutaingiza wahuni uwanja ule na kubakia kila siku kumbukumbu sie..mara ya ubalozi wa marekan mara ya mashujaa ..

Mkuu wa polisi Tunaomba usalama wa Airport uheshimiwe na uwe endelevu na si kwa ajili ya mifuko ya watu..sawa kula basi kiungwana uku unafanya kazi unasahau na jukumu kabisa
 
JKNIA hakuna ulinzi na hakuna usalama, wasafiri wanaoingia hawakaguliwi bali watu wa TRA huangalia msafiri ana valuable comodities gani ili wam-charge. Hakuna hata security scanner.
 
Back
Top Bottom