Mapokezi ya Rais wa Bank ya Afrika ni zaidi ya Rais wa Nchi

Kavalia suti ya rangi, orange mpauko, na mapokezi yake hapo nje ni ya bendera mbili tu, kati ya milingoti 12 inayosimama mbele ya jengo hili. Kama unaingia katika hoteli hii ya mlima meru (Mt Meru Hotel) kulia kwako kuna Bendera ya Banki ya Maendeleo ya Afrika), na kushoto kwako kuna Bendera ya TAIFA.
 
Leo ana uso wa uliochangamka, lakini usio na furaha, ana haraka sana kwani arusha si mnaijua ilivyo? Si ya chama chake wala upinzani..bali ni ya wenyenchi ambao zamani waliitwa "ndg wananchi"
 
Naendelea kuwajuza kila nitakachokishuhudia hapa, RPC wetu mgeni naye yuko, AfandeLiberatus Sabah, Mkutano huu naye lazima afahamike jamani!!...Manyara alikokuwa huwa hakuna mikutano kama hii.
 
Tumeshasalimiana, Msafara ndio huo.....K.I.A moja kwa moja, hata nusu saa haikufika...tuliokuja na rais wetu Tumeachwa mjini, kumbe tayari kila nchi ilishapangiwa fungu inalotaka, kuna baadhi ya nchi hata kuwasilisha rasimu ya "sustainable programme" hawakuwa nayo, ila huyu wetu siku nyingi kabla hata ya mkutano...."Chukua Chao Mapema"watoto wao na wajukuu watalipa. Kwa ujumla msafara haukuwa na mbwembwe.
 
Hunter: naomba nisaidie nahitaji kufahamu kirefu cha hyo "AGF"
Kirefu cha AGF ni African Guaranteed Fund. Hapa ndipo ule mchakato wa nani apewe ngapi ulipoanzia..Vikao vyote ndani ya chombo hiki ndio vinafanya michakato yote.
 
Hapa hapa....mbona si haya tu, kuna mengine ukiyasikia unapata kichefuchefu!!
 
Back
Top Bottom