Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,584
- Thread starter
- #121
You see why I missed you here? Unamwaga nondo. Zakumi apakue mawili matatu. Alipokuja state visit 1977, tulikuwepo sisi pale Ikulu kupeperusha bendera za Tanzania wakati anawasili South portal. Katika mazungumzo yake na Jimmy Carter ambayo kwa sehemu kubwa yalimulika ukombozi wa Zimbabwe na by extensio Afrika kusini, Jimmy Carter alilazimika kuchukua notes na baadaye akamkaripia Brzezinski kuwa mbona hili ulikuwa hujanibrief? Mwalimu Nyerere alikuwa mwalimu kweli kweli. Hata kwa viongozi wenzake mpaka wanaadika notes.
Jasusi na wewe umeadimika mno bana.
Wiki mbili zijazo naenda kuongeza nguzu za UKAWA bana.
Nimeyachoka mno ma CCM.