Mapokezi makubwa yaandaliwa Dom kwa Mbowe na Wabunge wa CHADEMA

Wasio na ajira wala kazi za kufanya Tanzania hii tuko wengi mno. Wenzenu posho za Ubunge zinaanza kurindima kuanzia leo ninyi mnaandamana kuwapokea huku mkipiga miayo wala hamjui jioni ya leo mtakula nini!

ndio maana mnapinga posho isikatwe
 
Magamba utawaona na kuwagundua mara moja ktk hoja zao. Siku zote wako against na waleta maendeleo na changamoto chanya. Wao utasikia wanapiga mahesabu na mbinu za kula hela ya serikali kabla ya mwaka mpya wa budget kama seminor elekezi kwa mawaziri wakongwe ili mradi hela itumike hazina. Mashujaa wanamawazo ya kumkomboa mwananchi wa kawaida na hasa wa kijijini. Kweli gamba ni gamba tu.
 
utafiti niliofanya unaonyesha wachangiaji wengi hawapo tz kazi maneno mengi tu jf, hata hawakumpia kura rais wao slaa mwaka jana. acheni kuwashika pembe wa tz maskini
 
utafiti niliofanya unaonyesha wachangiaji wengi hawapo tz kazi maneno mengi tu jf, hata hawakumpia kura rais wao slaa mwaka jana. acheni kuwashika pembe wa tz maskini

unakipaji cha kuotea, mjukuu wa shekhe video pale mwembeyanga nini ? je mimi niko kijiji gani hapa Tanzania ?
 
Na Katika kikao hiki ccm watakoma, hiyo budget yao itapita kwa mbinde, makamanda hawana mchezo this tym.
 
utafiti niliofanya unaonyesha wachangiaji wengi hawapo tz kazi maneno mengi tu jf, hata hawakumpia kura rais wao slaa mwaka jana. acheni kuwashika pembe wa tz maskini

Umenifurahisha kwa uchangiaji wako wa kipolisi. Mimi kweli sipo Tanzania ila naipenda sana nchi lazima nishiriki kwenye mijadala ya kuelimisha, kupongezana hata kujua upuuzi wa upande mwingine kama wako na FaizaFoxy.
 
Ikiwa hali ndio hiyo, mnawasumbulia nini Watanzania masikini hawa hata mnapokuwa mnakwenda kwenye shibe ya peke yenu Bungeni? Mapokezi ya Arusha hayakutosha? Mbona mlibebwa kabisa?

Hakuna anaelipwa hapo ni kujituma kwa hisia za ukombozi unaonukia.
 
Mabadiliko yataletwa na WATANZANIA wenyewe. Hivi vyama vya siasa vipo kiruzukuruzuku tu. Ukiondoa ruzuku hakuna chama kitabaki.

Mabadiliko yataletwa na WATANZANIA wenyewe. Hiki chama cha siasa cha magamba kipo kiruzukuruzuku tu. Ukiondoa ruzuku hata WildCard atapotea humu
 
Wasio na ajira wala kazi za kufanya Tanzania hii tuko wengi mno. Wenzenu posho za Ubunge zinaanza kurindima kuanzia leo ninyi mnaandamana kuwapokea huku mkipiga miayo wala hamjui jioni ya leo mtakula nini!

Ucjali potelea mbali hata 2kilala njaa haina shida kesho 2takula maana 2na imani na chama makini CDM na viongozi makini.
 
hivi huyu WILDCARD anamatatizo gan? Mbona anamawazo km ya Bibi titi?
 
Support kwa viongozi wetu Chadema ni muhimu sana. Kila la heri wanachadema Dodoma
 
Nimepigiwa simu toka Ihumwa kuwa kuna umati wa watu na magari wakiwa na na bendera za chadema wakimsubiria Mh Mbowe ili wampokee kuelekea dodoma mjin kwa maandamano ya msururu wa magari.
 
Mapokezi ya Viongozi wa CHADEMA yametia fora na kuacha gumzo ktk mitaa ya Dodoma, kweli nchi itachukuliwa very soon! MAKAMANDA WANAKUBALIKA PANDE ZOTE!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom