Mapokezi makubwa yaandaliwa Dom kwa Mbowe na Wabunge wa CHADEMA

Subiri tu hizo picha za mapokezi zitoke. Wengine hata ndala miguuni hakuna. Tena sehemu yenyewe Dodoma kwa akina Matonya?

dont be stupid man,mlianza swala la cdm na wachaga tukakaa kimya sasa mmehamia dodoma na umatonya why?kama huna cha kujibu kaa kimya gamba weee!hiyo ndio plan B ya siasa waswahili husema penye uzia penyeza rupia.peopleziiiii
 
Mnaigeuza CHADEMA kuwa bendi ya muziki. Boys to Men, The Beatles, FM Academia, KandaBongoman,....., mapokezi kila mahala!

Pole sana naona roho inakuuma karibia itoke. Soma historia za watu kama kina Carl Max, Mandela na wenzake utaweza kujua kwanini haya yanatokea pole sana jitaidi kutumia comp yako kufanya mambo ya msingi kama haya yanataka kukutoa roho. Viva CHADEMA.
 
Subiri tu hizo picha za mapokezi zitoke. Wengine hata ndala miguuni hakuna. Tena sehemu yenyewe Dodoma kwa akina Matonya?

Umeshaanza matusi, yaani unawadharau Wagogo? Nafikiri Wagogo mpo jamvini hebu semeni naye huyu paka shume
 
Mundali ubalikiwe points zako nimezipenda sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!cdm haihongi kanga wala vitenge na kofia we ulie tu chati ya cdm inazidi kupaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kanyaga twende.
 
Wasio na ajira wala kazi za kufanya Tanzania hii tuko wengi mno. Wenzenu posho za Ubunge zinaanza kurindima kuanzia leo ninyi mnaandamana kuwapokea huku mkipiga miayo wala hamjui jioni ya leo mtakula nini!

Watu wakichoka hawajali chochote tena Wild sasa hivi hata CDM wakisema chochote watu watakubali tu maana ndiyo tumaini pekee tulionalo otherwise ni magamba tu
 
Kila kitu katika dunia hii kina mwisho vyovyote vile mwisho wa magamba ni huu
 
Taarifa zilizo rasmi, zitokanazo na matangazo ya gari la CDM, wanachama wa CDM wote wanatakiwa kujitokeza kwa wingi kuwapokea wabunge wa chadema wakiongozwa na Mwenyekiti Mh.freeman Mbowe..waheshimiwa hao wanahudhuria katika vikao vya bunge la budget. Msafara wategemea kuwasiri majira ya saa 7 mchana. Pindi watapowasili habari picha zitafuata! Pipozzzzzzyzzz...

Wamechelewa kutoka Dar. Mpaka saa 6 mchana walikuwa hawajaondoka ofisini. Nilikuwa makao makuu!
 
Wasio na ajira wala kazi za kufanya Tanzania hii tuko wengi mno. Wenzenu posho za Ubunge zinaanza kurindima kuanzia leo ninyi mnaandamana kuwapokea huku mkipiga miayo wala hamjui jioni ya leo mtakula nini!

Maisha bora kwa kila Mtanzania, yako wapi??
 
MMMMMHH! kama litakuwa ni kweli basi haya ni mafanikio ya dhahili ambapo itaonyeshakuwa wananchi wanaunga mkono kwa dhati CDM kama MKOMBOZI wa kweli dhidi ya MKOLONI MWEUSI 'CCM'. Pia litasaidia kuamsha hamasi kwa wabunge wote kwa kuona wenzao waporecognized kutokana na kuwatetea wanyonge. Hivyo ni muhimu sasa kwa wabunge wa CCM kuondokana na tabia ya kuunga mkono hoja zisizowatetea wanyonge ili nao waweback up na wananchi kwani sote lengo letu liwe 'KUWALETEA MAENDELEO WATANZANIA KWA KUONDOA UMASIKINI NAPIA KUONDOA UKANDAMIZA WA VYOMBO VYA DOLA'.
Changamoto kubwa kwa Bi Mkora asizuie hoja za maana za wapinzania kwa kumtetea mkoloni mweusi aweke 'Fair Play'
 
Taarifa zilizo rasmi, zitokanazo na matangazo ya gari la CDM, wanachama wa CDM wote wanatakiwa kujitokeza kwa wingi kuwapokea wabunge wa chadema wakiongozwa na Mwenyekiti Mh.freeman Mbowe..waheshimiwa hao wanahudhuria katika vikao vya bunge la budget. Msafara wategemea kuwasiri majira ya saa 7 mchana. Pindi watapowasili habari picha zitafuata! Pipozzzzzzyzzz...
\
si walisema chama cha msimu sasa wao ndio EMBE tena embe bila gamba,peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssss!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
heri ya wanaoenda bila kandambili wanaenda kuonyesha ni jinsi gani watu wa magamba walivyo watenda kwani hawana hata ndala nzuri hali ya maisha mbaya. kwani ni nani anatawala hii nchi si CCM sasa wao kukosa pesa za kujikimu ni tatizo la CDM au CCM Dada muwe na heshima kwa makamanda wetu
 
Back
Top Bottom