Mapishi ya Kijeshi.....

Boflo bana.......saa huyu kuku ulimfanyeje akawa hivi?

suntanned-turkey-xl.jpg
 
Waheshimiwa wetu ndo watakutana na hii kitu. Duh, hivi kina Bulaya wataweza kweli hii kitu kama hicho chakula wanachokula kwa sasa wanadai hakina hadhi ndo maana wanataka miposho zaidi?

Wakwetu sidhani kama wanaweza huu mziki mkuu!
 
Back
Top Bottom