Mapishi:alhidaaya

Kipilipili

JF-Expert Member
May 25, 2010
2,272
1,880
Wapishi wenzangu za Jumapili?

Just to share with u this, nimekuwa nikiitumia kujifunza mapishi mapya, kama ilishawahi kuwekwa hapa jikon basi si vibaya tukajikumbusha: pitia hapa ujifunze pishi jipya kama kuna usilojua.

Upishi ni interest tu wala haijali jinsi yako uwe KE au ME, ila ni raha sana Mwanaume ukijuwa kupika japo imezoeleka mapishi ni kwa wanawake tu.

Mapishi mema!
==
AlhamduliLLaah, APP Mpya ipo tayari, tatizo kuu limeshatatuliwa. Unaweza sasa ku-Install katika simu yako uhifadhi, na uwe una Update kila baada ya muda kwa sababu tumo bado katika kuendelea kuboresha kwa kila aina.

Tafadhali UN-INSTALL kwanza APP ya zamani kisha ndio u Install APP Mpya ili usikutane na matatizo yoyote yale.

Bonyeza ikupelekea katika Play Store

APP Mpya

Tumeboresha Mapishi kwa kila upande na tutaendelea kufanya hivyo; mfano kubadilisha picha za zamani kila tunapojaaliwa kupika upya pishi fulani. Pia tunaongeza Mapishi Mapya kila tunapojaaliwa uwezo. Na tumefungua sehemu ya Mapishi ya Kiingereza kuitikia maombi ya wengi wenu. Na pia Icon ya Share inapatikana. Maombi yenu yatatekelezwa In Shaa Allaah ya Mapishi APP iandaliwe katika Apple Store.

Tafadhali tuandikie kupitia mapishi@alhidaaya.com ukiwa na maoni yoyote ya kuzidi kuboresha Mapishi haya au kama kuna tatizo lolote.

We have updated the Mapishi and will continue to do so; for example by replacing old pictures whenever we are able to re-cook a certain dish. We are also adding up new Mapishi (recipes) when it is feasible. We have opened an English section of Mapishi responding to many requests received. Share Icon is also available. Your request to produce The English Mapishi APP under Apple Store will be fulfilled In Shaa Allaah.

Please contact us via mapishi@alhidaaya.com for any further improvement or if there is any error.
 
Hii nadhani ndio km aliyoiweka mahmood hapo juu.. unaweza ukaidowload kwa link aliyoiweka yy ukapata app yako ambayo haitumii data..jaribu
 
Back
Top Bottom