Mapinduzi yanga!

Hadi leo kuna wazee wanadhani enzi za kina Abbas Gulamali na Azim Dewji bado zina nafasi katika uendeshaji wa mpira. Masikini vibabu vya jangwani.
 
Tangu miaka 1980 nimekuwa nikiwasikia wazee wa Yanga. Hivi hawa ni wazee wa umri, wachawi au wenye hisa. Sitarajii kama timu ya Yanga, na siyo klabu,itapata maendeleo.
 
acha wachawi wapinduane wenyewe....

zama za sayansi na teknoloji mnaweka timu kwa wale waganga wa kienyeji
 
Tangu miaka 1980 nimekuwa nikiwasikia wazee wa Yanga. Hivi hawa ni wazee wa umri, wachawi au wenye hisa. Sitarajii kama timu ya Yanga, na siyo klabu,itapata maendeleo.

...watakuwa WACHAWI tu, hakuna lolote la ziada!
 
Chuji nae kawa mfadhili wa yanga eti kagaramia nauli za wachezaji kutoka arusha hadi Dar... Yanga matata kweli..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom