Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapinduzi yanga!

Discussion in 'Sports' started by Kombo, Apr 28, 2012.

 1. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Yanga imekabidhiwa kwa Baraza la Wazee katika kile kinachoelekea kuwa Mapinduzi Baridi kufuatia mwenendo mbaya wa TIMU hiyo.
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,149
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Hao wazee wa Yanga ni wajinga sana kwanza hawana hela za kuendeshea club halafu wanang'ang'ania timu.

  Hawana lolote zaidi ya kuamini katika ushirikina hasa wakiifunga Simba.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 30,195
  Likes Received: 4,577
  Trophy Points: 280
  piganeni watani simmezoea kupiga marefarii
   
 4. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wazee wanalalamika kupokwa Ubingwa na kitendo cha baadhi ya viongozi wa Yanga kuwekwa dhamana baada ya kushindwa kulipa gharama za malazi na chakula huko Arusha.
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,003
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Hili la viongozi wawili wa yanga kuwekwa rehani kwenye hotel walio fikia yanga ni kweli...lakini watani jiandaeni kichapo tarehe 5-5-12
   
 6. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 13,970
  Likes Received: 1,225
  Trophy Points: 280
  Tuambiane black and white sasa... Wale wazee wa vibalaghashia ndo sababu migogoro yote Simba na Yanga
   
 7. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Soka ya Tz haiwezi kuendelea kwa mikakati ya hovyo hovyo kama hii. Hao wazee wana utaalamu wa kuendesha soka? Mimi ni mpenzi wa Yanga lakini nakerwa sana na jinsi timu hii inavyoendesha mambo yake.
   
 8. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wanazitolea macho pesa zitakazopatikana kwenye mechi yao na Simba, bila shaka.

  Wanadai kuanza kulipa madeni yanayoikabili Timu hiyo kuanzia leo.

  Namshangaa Nchunga kukabidhi Timu bila kujiuzulu U-enyekiti kwa kushindwa kuongoza Club...au pengine nina makengeza?
   
 9. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Mkuu umenihamishia Yanga?
   
 10. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,148
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Yanga Magirini
   
 11. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nchunga kapigwa mkwara kaandika barua ya kukabidhi Timu, kaaz kwel!
   
 12. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,075
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Hawa wazee hawana jipya,ni kero tupu!
   
 13. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 14,942
  Likes Received: 3,086
  Trophy Points: 280
  ndio maana sisi wengine tupo ki epl zaidi sababu ya upuuzi huu timu tunaipenda lakini haipendeki.
   
 14. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,639
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  naona M4C imeingia hadi yanga duh!
   
 15. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 9,531
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Haya tunasubiri baraza jipya la "mawaziri yanga"
   
 16. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kumbe na Yanga kuna upepo mbaya unapita? Daaah...!!
   
 17. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,709
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  No wonder Rais akiwa na jambo gumu huwaona na kuongea na Wazee!
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,798
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  hawa ano wamekua kama visiwa vya comoro
   
 19. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 9,296
  Likes Received: 1,600
  Trophy Points: 280
  Watanzania tumelogwa
   
 20. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #20
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,070
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Yeah hiyo ipo ata barcelona wazee wanapanga kufanya mapinduzi kumrudisha pep!
   
Loading...