Mapinduzi yaja Tanzania

Moderators tunaomba msifunge au kuhamisha hii thread...........................! na wala Usalama wa Taifa usiwatishe!

Mkubwa hata wakifunga hapa! The same is being discussed in FB, Twitter na blog mbali mbali...its amazing they way people are trying to show their disatisfaction and frustrations.
 
Unachokiona hapa JF pamoja na propaganda lakini ni wazi watetezi wa serikali ya Magamba huwa hawana hoja, nimepitia Twitter, Facebook na blog nyingi zinazoongozwa na watanzania kote huko serikali inachanwa mno. .

Duh! hayo wote kwenye red hakuna hata mwenye ubavu wakuingia mtaani!!!! wote long sleeve hao ....
 
Emancipate yourselves from mental slavery
None but ourselves can free our minds
Have no fear for atomic energy
'Cause none of them can stop the time
How long shall they kill our prophets
While we stand aside and look?...... bob marley
 
Mkuu nakubaliana na wewe 100% ila tatizo ni hawa wenzetu kwenye vyombo ulivyovitaja hawa ni washirika wakubwa wa watawala kwani wamekubali kurubuniwa kwa kupewa marurupu mengi ambayo hawastahili hivyo kutumika kuimarisha udhalimu unaofanywa na wakoloni weusi. Mfano hai ni jinsi JWTZ na TISS alivyoshiriki kuibaka demokrasia wakati wa uchaguzi mkuu 2010,rejeeni vitisho vya Gen. Shimbo aliposema wapinzani lazima wakubali matokeo, rejeeni pia kauli za Jack Zokka kumkejeli Dr. Slaa kipindi kile cha uchaguzi,hawa si wenzetu ni adui tu kama walivyo mabwana zao wakoloni weusi.Kinachotakiwa ni wapambanaji nje ya vyombo hivyo kuanza kuwashughulikia wakubwa wa vyombo hivi kwani ndiyo wanaotumika.La msingi watu tusiogope damu kumwagika kwani wakoloni siku zote ni ving'ang'anizi kuwabandua lazima itokee tafrani.

Siamini kuwa wanaweza kupumbaza wote, lazima wapo ambao kilichobaki ni namna ya kuanza, hawajapa cheche tu moto uwake.

Nadhani hawa ni sehemu muhimu ya mapinduzi tunayohitaji, bila wao kushirikiana nasi tutaweza lakini kwa shida na mbinde sana, maana ujuwe tunasema waliiba kura lakini pia sisi hatukupiga kura nyingi sana, kama tungepiga nyingi kama za ODM kenya wasingepata nafasi ya kuiba na ingeonekana wazi kila kona tulikuwa kwenye mzani mmoja kitu ambacho sikukipenda kabisa.

Najuwa na nina amini 2015 hawana nafasi lakini huko ni mbali hakuna haja ya kusubiri huko kama ikiwa ndege inaweza kulipuka na kuondoa mtu mmoja au wawili wanaotuchafuwa kama Taifa na kuvuruga mstakabali wa nchni is an immediately cost-effectuve solution believe me, au kama gari likipata ajali na kuondoka na vichwa vyao yes is still best; mbona sisi kila kukicha ajali za mabasi? tunahitaji mchango wenu wana usalama kwa mslahi ya Taifa, jitoeni mjiunge na raia kukombowa Taifa kutoka mikononi mwa wakoloni hawa.
 
jk sio mawingu y mvua aende akanyeshe mtera.. Hii kauli sitausahau..jibu rahisi kwenye mambo magumu ..
mkuu hata mimi hii kauli ilinishangaza nikagundua kuwa alitaka tu urais na sio kutatua matatizo yanayoikabidhi TZ
 
JK, i nw believe that leadership is a talent...he doesn't seem to have one....i think he s missing a particular ingredient which is important to a leader....anyway, we still ve about 4 years to waste.....hopefully, we ll forget him.....he has wasted our good 10 yrs RIP Kikwete!! 5 minutes ago · LikeHii nimeitoa facebook, jamaa wanamchana sana sana Kikwete na utawala wake
nimeipenda hii R I P Kikwete!!
 
Hii nchi ina usalama wa taifa wa kutosha tu, hakuna kitu kama hicho.
 
Plz dnt blame and dnt b harsh 2 him coz hata kaul anazotoa czan kama anafikiria kabla ya kuongea the onlx thng 2 knw is that WE Tanzanians we've grant seeds 4 our own Destruction.coz during election 2lielezwa na Dr SLAA bt wengi 2lishndwa kufanya maamuzi sahihi 2kaangukiwa kudanganywa na Tabasamu la KINAFIKI la The King of Embazzlement Mhe:FISADI JK wa pili.
mkuu slaa tulimwelewa sana ila yeye alitumia zile njia zao 10 ambapo slaa alikua na njia moja tu ya raia kumchagua
 
Nguvu ya mabadiliko Tanzania inakuja kwa kasi ya ajabu. Hakuna kinachoweza kuzuia nguvu ya umma. Kila sehemu ya maisha wananchi wa kada zote wanaonyesha kutofurahia serikali iliyopo madarakani. Ugumu wa maisha na kushamiri kwa rushwa ni kero kubwa kwa Mtanzania wa kawaida. Unachokiona hapa JF pamoja na propaganda lakini ni wazi watetezi wa serikali ya Magamba huwa hawana hoja, nimepitia Twitter, Facebook na blog nyingi zinazoongozwa na watanzania kote huko serikali inachanwa mno. Pamoja na kuwa na watetezi wa mafisadi lakini ninaona kabisa wimbi hili litatufikisha mahali pazuri. Nimeongea na jamaa yangu yuko hazina pale wizara ya fedha kutaka kujua ukweli wa uchumi wetu, alichonijibu hakuna tofauti na anachofanya Jairos bungeni. Uchumi wetu umeathirika sana na mgawo wa umeme. Lakini kunapropaganda eti uchumi unakuwa hii ni kumdanganya nani....hata sisi tusiojua hata zile theories of economic development tunaona inflation inavyokuwa kwa kasi. Wataalamu wanaambiwa wachakachue takwimu ili waziri aweze ongea kile ambacho serikali inapenda kukisikia.

You cant change the wind of changes .......aluta continua pamoja tunaweza epusha nchi yetu kutoka kwa mafisadi hawa.
Mchungaji asante kwa topic hii, mimi binafsi nashukuru Mungu kwa kutupa kiongozi legelege Kikwete bila huyu tungeendelea kujipumbaza kuwa mambo yetu super lakini sasa kadri maisha yanavyozidi kuwa magumu kwa wananchi ndivyo mapinduzi yanavyokaribia,

Earlier, we thought the wind of change which was happening in northern countries Egypt Tunisia will take a century to reach southern African countries but now its knoking by our borders the wind is just arround the conner - Malawi.

Tatizo kubwa ninaloliona kwa watanzania ni woga na uelewa wa watu wa usalama wa taifa otherwise tungeshapata mabadiliko tangu 1995. Nawasifu sana watu wa Zanzibar kwa uthubutu wao angalau wamekuwa wanathubutu kufanya changes kwa kipindi kirefu ingawa safari zote zinakuwa denied na UWT na viongozi waroho. Ila nasema pamoja na ujinga wetu tumeanza kushuhudia changes hata ndani ya wafanyakazi wa serikali yenyewe, kuna msemo alipenda sana kuutumia Mtungirehi wakati akiwa Rais wa Daruso enzi hizo kuwa 'unaweza kutishia mbwa kumrushia mfupa mara ya kwanza na ya pili lakini ya tatu atakung'ata mkono'
 
Kama mvua hainyeshi amwambie swahiba yake E.L ili akalete mvua ya kutengeneza kama alivyokua akijigamba mwaka 2006
 
Mchungaji tunatakiwa kwenda mbali zaidi bado wenzetu katika vyombo vya dola havija tuunga mkono vya kutosha tunahitaji zaidi michango yao hasa kama wataanzisha sabotage mapema na hata operation ya kuwateketeza viongozi wanaotuangamiza, lazima sasa Jeshi na Usalama wa Taifa wajitenge waunde kikosi maalum cha siri kuwashughulia hawa watu sijui kwanini bado wamelala wakati Taifa lina angamia.
Kuna wakati nilikuwa naatend mafunzo fulani katika moja ya vyuo vya ufundi vya kijeshi hapa nchini. Na wakati wa mapumziko nilikuwa nimekaa na wanajeshi wapatao kama 30 had 40 hivi tunapiga story. Tulikuwa kwenye vikundi vya watu watatu hadi wanne tukipiga story.

Mimi nikaingiza tu wazo la hali ya nchi inavyokwenda na kuilaumu serikali akiwemo Rais Kikwete. I expected kwamba jeshi lingekuwa kinyume na mimi or wangenishambulia. Huwezi amini, baada ya kuanzisha topic hiyo wanajeshi wote walinyamaza kimya wakanisogelea kunisikiliza, na mmojawapo akasema yafuatayo: "Sisi kama jeshi hatuwezi kufanya mapinduzi, maana tukifanya hivyo tunaweza kujikuta tumekosa support ya wananchi. Ninyi wananchi ndiye mnayechangua serikali mnayoitaka, na sisi kama wanajeshi tunasimamia maamuzi ya wananchi. Lakini ikitokea kwamba wananchi hao hao walioichagua serikali wakaamua kuikataa serikali yao, sisi kama jeshi la wananchi bado tutakuwa upande wa wananchi" mwisho wa kunukuu.

Kwa hiyo wakuu habari ndiyo hiyo. Sina uhakika kuhusu usalama wa taifa, kwa kuwa hao najua wanaingia kwenye hizo nafasi kwa upendeleo na kujuana, kwahiyo wanaweza wasiwe tayari kuwaangusha wale waliowapa hayo maulaji. But kwa upande wa jeshi, ninawahakikishieni kwamba the moment wananchi wanaamua kwa dhati, jeshi litakaa pembeni kulinda maandamano yao. Jeshi ni la wananchi na lipo kwa ajili ya kulinda usalama wa wananchi.

Ninajua na ninaamini kwamba jeshi litaua kadhaa siku za kwanza kabla ya jeshi kuintervene na kuamua kulinda na kusimamia maamuzi ya wananchi. Hata kama generali Mwamunyange ni swahiba mkubwa wa Kikwete, naamini atapingwa vikali na wenzake ndani ya jeshi iwapo ataamua kuwageuka wananchi.

Kwa upande mwingine fuatilieni matokeo ya kura za uchaguzi ya mwaka jana. Kambi nyingi za jeshi zilimpa kura Slaa. Kikwete alipata kura chache sana kutoka kwa wanajeshi. Kazi kwenu kufanya maamuzi.
 
jk sio mawingu y mvua aende akanyeshe mtera.. Hii kauli sitausahau..jibu rahisi kwenye mambo magumu ..

Jana BBC anamwambia mtangazaji mitambo ya umeme sio kama jacket lake kuwa akiamua atanunua saa anayotaka! Kauli kama hiyo alitoa pia mfanyakazi wa Tanesco. Kwa kauli hiyo ina maana kuwa ni mazungumzo yao wanapokunywa zile chai za mamilioni pale magogoni.
 
Umenikumbusha ule wimbo wa Chama chetu cha mapinduzi. Siku hizi siusikii kabisa, nadhani ulikufa mara tu baada ya kifo cha Nyerere

Tuliuimba sana JKT, hasa wakati nipo CHITA (Operation Kambarage)

...kweli wakati ule CCM ilikuwa Chama cha wakulima na wafanyakazi.
 
Kuna wakati nilikuwa naatend mafunzo fulani katika moja ya vyuo vya ufundi vya kijeshi hapa nchini. Na wakati wa mapumziko nilikuwa nimekaa na wanajeshi wapatao kama 30 had 40 hivi tunapiga story. Tulikuwa kwenye vikundi vya watu watatu hadi wanne tukipiga story.

Mimi nikaingiza tu wazo la hali ya nchi inavyokwenda na kuilaumu serikali akiwemo Rais Kikwete. I expected kwamba jeshi lingekuwa kinyume na mimi or wangenishambulia. Huwezi amini, baada ya kuanzisha topic hiyo wanajeshi wote walinyamaza kimya wakanisogelea kunisikiliza, na mmojawapo akasema yafuatayo: "Sisi kama jeshi hatuwezi kufanya mapinduzi, maana tukifanya hivyo tunaweza kujikuta tumekosa support ya wananchi. Ninyi wananchi ndiye mnayechangua serikali mnayoitaka, na sisi kama wanajeshi tunasimamia maamuzi ya wananchi. Lakini ikitokea kwamba wananchi hao hao walioichagua serikali wakaamua kuikataa serikali yao, sisi kama jeshi la wananchi bado tutakuwa upande wa wananchi" mwisho wa kunukuu.

Kwa hiyo wakuu habari ndiyo hiyo. Sina uhakika kuhusu usalama wa taifa, kwa kuwa hao najua wanaingia kwenye hizo nafasi kwa upendeleo na kujuana, kwahiyo wanaweza wasiwe tayari kuwaangusha wale waliowapa hayo maulaji. But kwa upande wa jeshi, ninawahakikishieni kwamba the moment wananchi wanaamua kwa dhati, jeshi litakaa pembeni kulinda maandamano yao. Jeshi ni la wananchi na lipo kwa ajili ya kulinda usalama wa wananchi.

Ninajua na ninaamini kwamba jeshi litaua kadhaa siku za kwanza kabla ya jeshi kuintervene na kuamua kulinda na kusimamia maamuzi ya wananchi. Hata kama generali Mwamunyange ni swahiba mkubwa wa Kikwete, naamini atapingwa vikali na wenzake ndani ya jeshi iwapo ataamua kuwageuka wananchi.

Kwa upande mwingine fuatilieni matokeo ya kura za uchaguzi ya mwaka jana. Kambi nyingi za jeshi zilimpa kura Slaa. Kikwete alipata kura chache sana kutoka kwa wanajeshi. Kazi kwenu kufanya maamuzi.

Mkuu vijana waliomaliza mafunzo ya jeshi huko monduli juzi mwz wa pili huwaambii chochote kuhusu Shimbo na JK, wanawapenda kuliko maelezo, rafiki zangu kabisa nilimaliza nao UDSM na walikuwa wapinzani wakubwa wa serikali ndo walisema maneno hayo baada yakutoka kwenye mafunzo, nahisi kuna kitu wamelishwa, au hulka ya ubinafsi.
 
Nguvu ya mabadiliko Tanzania inakuja kwa kasi ya ajabu. Hakuna kinachoweza kuzuia nguvu ya umma. Kila sehemu ya maisha wananchi wa kada zote wanaonyesha kutofurahia serikali iliyopo madarakani. Ugumu wa maisha na kushamiri kwa rushwa ni kero kubwa kwa Mtanzania wa kawaida. Unachokiona hapa JF pamoja na propaganda lakini ni wazi watetezi wa serikali ya Magamba huwa hawana hoja, nimepitia Twitter, Facebook na blog nyingi zinazoongozwa na watanzania kote huko serikali inachanwa mno. Pamoja na kuwa na watetezi wa mafisadi lakini ninaona kabisa wimbi hili litatufikisha mahali pazuri. Nimeongea na jamaa yangu yuko hazina pale wizara ya fedha kutaka kujua ukweli wa uchumi wetu, alichonijibu hakuna tofauti na anachofanya Jairos bungeni. Uchumi wetu umeathirika sana na mgawo wa umeme. Lakini kunapropaganda eti uchumi unakuwa hii ni kumdanganya nani....hata sisi tusiojua hata zile theories of economic development tunaona inflation inavyokuwa kwa kasi. Wataalamu wanaambiwa wachakachue takwimu ili waziri aweze ongea kile ambacho serikali inapenda kukisikia.

You cant change the wind of changes .......aluta continua pamoja tunaweza epusha nchi yetu kutoka kwa mafisadi hawa.
<Crap.
 
Mchungaji,

Jana kuna thread nime comment kuhusu yanayoendelea huko Malawi na kama yataweza kutokea Tanzania. Nikasema Watanzania tumekuwa wapole sana kwa serikali yetu. Serikali imejaa kibri na inajiona inaweza kufanya lolote kwa wananchi na bado inategemea kuwepo madarakani. Watanzania tume kuwa kama hatuna namna ya kuiwajibisha serikali yetu. Tunalalama tuu. Nikasema pia tatizo moja kubwa ambalo linatukabili ni kuwa tumekubali matatizo yanayotukabili kuwa part ya maisha yetu. Matokeo yake tunaishia kulalamika tuu bila kuchukua concrete action to eradicate the problems. Nikaweka picha hiyo hapo chini na kusema kuwa kama inafikia hatua ya watu kama hao kuyakubali matatizo kuwa part ya maisha then, there is nothing you can do about it.

30e4_46bb.jpg

Nikasema people believe things have fallen apart and that "It is no Longer at Ease" like it used to be. But they're doing nothing because they strongly believe "A Man of the People" will come around and rescue them. Nikasemasa there are also those who believe that "The Beautiful Ones are not yet Born", kwa hiyo wanasubiri mpaka wazuri wazaliwe. Lakini naamini the majority are afraid of "The Petals of Bloods" ndio maana tunasizitiza amani na utulivu. We're afraid to face "The Trial of Dedan Kimathi".

Mchungaji kama umepitia huko Twitter, Facebook na blogs za Watanzania, jaribu kusoma comments zilizoachwa na wachangiaji. Mara nyingi wachangiaji wanasema Eee Mungu tusaidie. Wengi wanaamini there is nothing they can do about the problems they are facing, so they have left it to God to help them. Hata wakati wa Mapinduzi ya Tunisia na Misri watu hapa walikuwa wanamwomba Mungu yatokee pia Tanzania. Then, jaribu kupitia blogs za Wakenya. They don't mention God in their comments, unless ni issue ya kidini. They don't depend on God to fix their problems. Kama Wakenya walikuwa wanamtegemea Mungu wasingepata katiba mpya.

Kwa kifupi siamini kama mapinduzi yanakuja Tanzania. Not yet. Bado sana. Tena sana. Tutandelea kulalamika, kutoipenda serikali n.k lakini yote tutamwachia Mungu. Sijui huko kanisani huwa mnawafundisha nini waumini. Kuwa mwombe Mungu tuu na matatizo yako yote yataisha?
 
Mkubwa hata wakifunga hapa! The same is being discussed in FB, Twitter na blog mbali mbali...its amazing they way people are trying to show their disatisfaction and frustrations.
Na huko hawawezi kufunga! Maskini usalama wa taifa
 
Mkuu vijana waliomaliza mafunzo ya jeshi huko monduli juzi mwz wa pili huwaambii chochote kuhusu Shimbo na JK, wanawapenda kuliko maelezo, rafiki zangu kabisa nilimaliza nao UDSM na walikuwa wapinzani wakubwa wa serikali ndo walisema maneno hayo baada yakutoka kwenye mafunzo, nahisi kuna kitu wamelishwa, au hulka ya ubinafsi.
Mmmh, amazing!! hapo ndipo penye shida tena. Maana kukishakuwa na mgawanyiko kati ya wanajeshi hiyo vita yake haitaisha. Yatakuwa kama ya Ghadaf. Wenzetu wa Tunisia na Misri walipata mafanikio makubwa kwa kuwa jeshi lote liliwaunga mkono wananchi. Lakini sitashangaa kama kweli hao vijana wanampenda JK. Maana kama watu wanatestia mabomu yao kwa raia (cf. Mbagala, gongolamboto) na bado hakuna hata mmoja anayechukuliwa hatua za kisheria, kwanini wasimpende.
 
WaTanganyika msijiongopeee HAMNA KABISA UJASIRI huo wa kuleta mapinduzi zaidi ya mapinduzi ya kilimo kuita kilimo kwanza.

Mapinduzi yanataka watu thabiti na waliojitolea kutetea maslahi ya wengi kwani lolote linaweza tokea. Nyie wengi ni wanafiki na kwa kuwa nchi mlipewa kwa njia ya barua basi mtasubiri hivyo hivyo mpaka barua nyingine ije.

Poleni sana

mm imeniuma ila ni KWELI
 
Back
Top Bottom