Mapinduzi ya Zanzibar na Nyerere


Zifuatazo ni ushahidi katika picha - kuna anayebisha ?
View attachment 19126 View attachment 19127
Ingawa mwanzoni Field Marshall John Okelo alitangaza kuwa amemteua Karume kuwa Raisi wa Zanzibar, baada ya kuuonja utamu wa madaraka, aliamua Karume awe Makamu Wake. Hiyo ndiyo ilikuwa sababu ya Karume kuomba msaada kutoka nje ya Zanzibar aweze kumwondoa Okelo kwani hakuwa na ubavu wala ujasiri wa kufanya hivyo. Kwa mara ya pili na kwa msaada wa Mwalimu, mapinduzi mengine ndani ya mapinduzi yakawezekana baada ya Okelo kuhadaiwa kuja Dar es Salaam. Bila hivyo historia ya Zanzibar ingekuwa nyingine kabisa na wazushi kama huyu Harith Ghassany hawangepata nafasi ya kuandika na kueneza hizi hadithi zao.
Duh! Mapinduzi ndani ya mapinduzi? Hiyo imetulia. Lakini bado ninahitaji kujua WHO IS JOHN OKELLO?
 
kwa mintaarafu hio zanzibar kumetokea mapinduzi mengi ndani ya mapinduzi ?

mapinduzi ya 1964 yakiongozwa na Okello

mapinduzi ya muda mfupi baadae yakiongozwa na mwalimu nyerere (kumpa nguvu karume na ASP)

1972 mapinduzi ya kumuondoa karume

1977 mapinduzi ya kuiondoa ASP na kuileata CCM

1984 Mapinduzi ya kumuondoa Jumbe

......
....

2010 Mapinduzi ya kuiondoa SMZ na kuja na GNU
kwa hio ndio maana ya Mapinduzi Daima
 
Muanzisha maada ungesema tu kuwa Nyerere alihusika tungekuwa upande mmoja na ningekupa supportive documents. unaposema swala la uislam, udini na ukabila ,.Umeharibu thread. Thread hii ungeona our true colours kuhusu Nyerere. Mimi namheshimu Nyerere ila niko agiansta naye na theory zake nyingi sana. Hata la Zanzibar ningekueleza kwa undani

Ulipoweka uislamu, na kuwa Nyerere aliupindua uislamu ndani ya TANU ili hali leo hii bado CCM-top leaders na kwenye KK wengi ni waislamu haiingii akilini

sasa ni hivi, JAZA THREAD HUMU ZA KUMPONDA NYERERE KWA KUTUMIA UISLAMU, JAZA THREAD ZA KUMPONDA MKRISTO KWA KUTMIA UISLAMU , JAZA AKILI YAKO YA KIBAGUZI uone kama utapata kipya au kubadili ukweli.

Umeniboa.........lakini Nyerere nitampinga si kwa sababu ya dini zake bali ideology zake na mimi ni mristo!!! note that ni mkristo, ila sitakaa upande wako kumpinga Nyerere kwa elemnt zako chafu za kidini!!
 
Hivi nani vile aliyemwua Karume?

Kitabu kimefanya mahojiano na aliyesema kuwa yeye binafsi ndie aliepanga kuuwawa kwa Karume (kuwa walitaka kumpindua) na kwa jinsi ilivyoshindikana, makomred kadhaa wakaamua basi hata wamuuwe Karume tu.

Nakubaliana na Pasco kuwa kitabu kimeandikwa kwa mfumo wa 'simulizi' na japo kuwa hizo simulizi zina compliment each other kwenye mambo mengi, lakini tunabaki kuwa na masuala mengi mno pale ambapo 'simulizi' moja tu ilipoongea neno na nyengine hazikulizungumzia.

JokaKuu

Ni rahisi sana kwa mimi na wewe kusema waache kujiuliza kuhusu historia lakini naamini kama wazazi wako wameuwawa mbele ya macho yako, au wazazi wako wana'sifika' kwenye uuwaji katika mapinduzi, basi ungetaka kujua walau chanzo na sababu ili upate kusamehe.

Kwa hiyo nafikiri wanayo haki kwa upande mmoja wa kutaka kujua chanzo ili kuridhisha nafsi zao.
 
Ningependa kujua kama hizo nukuu ni accessible. Yaani kama zinapatikana hata leo hii mtu akitaka kufanya uchunguzi

Nukuu ni accessible ameorodhesha pamoja na nyaraka alizotumia mwisho kwenye kitabu chake. Ukidownload cha electronic utakutana nazo nukuu hizo (unfortunately kwenye nakala za bure picha hazijaambatanishwa lakini nukuu nyengine zipo)
 
i
<b>Kwa vyovyote vile Karume anastahiki kuitwa mmoja ya mashujaa wa mapinduzi.Hata kama siku hiyo alikuwa Dar pengine aliitwa kwa hila na Nyerere lakini yeye ni moja ya nguvu zilizoipinduwa serikali changa,ya kizembe na legelege ya Zanzibar.
Hakuna ubishi kuhusu ushujaa wa Karume kwenye Mapinduzi ya Zanzibar ila kutokuwepo kwakwe kusisingiziwe ni Nyerere.

Karume aliwachukua wanae Amani na Ali usiku wa manane, wakasafiri kwa mtumbwi kuja bara. Wakashukia Bagamoyo.

Ukweli ni kwamba, Karume aliyakimbia Mapinduzi kuokoa nafsi yake na wanaye just incase mapinduzi yale yasinge faulu, japo sababu iliyotolewa sio kwamba Karume alikimbia bali eti alikuwa anawapeleka shule wanawe Amani na Ali walikuwa wakisoma shule nchi alikozaliwa baba yao, Malawi!.

Maadam mapinduzi yamefanikiwa, Karume alirejea Zanzibar na ni shujaa wa mapinduzi!.
 
[Ingawa mwanzoni Field Marshall John Okelo alitangaza kuwa amemteua Karume kuwa Raisi wa Zanzibar, baada ya kuuonja utamu wa madaraka, aliamua Karume awe Makamu Wake. Hiyo ndiyo ilikuwa sababu ya Karume kuomba msaada kutoka nje ya Zanzibar aweze kumwondoa Okelo kwani hakuwa na ubavu wala ujasiri wa kufanya hivyo. Kwa mara ya pili na kwa msaada wa Mwalimu, mapinduzi mengine ndani ya mapinduzi yakawezekana baada ya Okelo kuhadaiwa kuja Dar es Salaam. Bila hivyo historia ya Zanzibar ingekuwa nyingine kabisa na wazushi kama huyu Harith Ghassany hawangepata nafasi ya kuandika na kueneza hizi hadithi zao.
[/LEFT]

Mkuu, hiyo nukuu uloileta mbona ni sawa kabisa na alivyoandika huyo Ghassany? Isitoshe wala Ghasanny hajaandika hata pahala pamoja kuhusika moja kwa moja kwa Nyerere kama ilivyoandikwa kwenye hii ulotuwekea. (Nyerere alionana na Karume, Okello alionana na Nyerere, Hanga na Karume walionana na Nyerere......zote kwa Ghassany yeye kaandika Kambona)

Tofauti kati ya makala uliotunukulia na maelezo ya Ghassany ni kutokubali kuwa Okello alipanga mapinduzi lakini mengine yote wako sambamba.

Na yeye Ghassany amejaribu kuleta watu kadhaa na kuwanukuu kwa maneno yao (simulizi) kuhusiana na Okello. Alikuwa wapi, nini kilifuatia baada ya Mapinduzi, hadi kurejeshwa kwao Uganda.

Hebu mwenye sauti ya Okello atuwekee maana hao waliosema wanamjua Okello wamesema miongoni mwa sababu za kuchaguliwa Okello ni sauti yake kuwa mbaya na kutojua Kiswahili.

(nimemsikia youtube, he surely couldn't speak Kiswahili very well)
 
Ukisoma hizo page chache ulizoweka ni kwamba kuna lawama dhidi ya Wakristo, kwa kudai eti historia ya mapambano ya uhuru ya Waislamu ilifichwa, hivi kuna haja kila mtu akifanya jambo jema atajwe na dini yake?
Kwa mtoa hoja michango ya watu katika harakati za uhuru ilitakiwa ionekane kwa misingi ya dini zao, na hilo likisimama natumai mtoa hoja atakwenda mbele zaidi kwa kusema hata katiba iende kwa misingi ya dini za wanaharakati ambao anasema michango yao imefichwa makusudi , napendekeza apeleke pendekezo kwa wahe. wabunge ili katika mabadiliko ya katiba ambayo watu wanayapigia kelele basi tuchukue Sharia ili tuwaenzi wanaharakati wa uhuru.ambao dini zao zimefichwa..
 
Muanzisha maada ungesema tu kuwa Nyerere alihusika tungekuwa upande mmoja na ningekupa supportive documents. unaposema swala la uislam, udini na ukabila ,.Umeharibu thread. Thread hii ungeona our true colours kuhusu Nyerere. Mimi namheshimu Nyerere ila niko agiansta naye na theory zake nyingi sana. Hata la Zanzibar ningekueleza kwa undani

Ulipoweka uislamu, na kuwa Nyerere aliupindua uislamu ndani ya TANU ili hali leo hii bado CCM-top leaders na kwenye KK wengi ni waislamu haiingii akilini

sasa ni hivi, JAZA THREAD HUMU ZA KUMPONDA NYERERE KWA KUTUMIA UISLAMU, JAZA THREAD ZA KUMPONDA MKRISTO KWA KUTMIA UISLAMU , JAZA AKILI YAKO YA KIBAGUZI uone kama utapata kipya au kubadili ukweli.

Umeniboa.........lakini Nyerere nitampinga si kwa sababu ya dini zake bali ideology zake na mimi ni mristo!!! note that ni mkristo, ila sitakaa upande wako kumpinga Nyerere kwa elemnt zako chafu za kidini!!

Usitishwe na majina kama vile uislamu.Iwapo ukweli unaonesha hivyo kwanini tusijadili kama ulivyo.Kwa ninavyoona bila kujadili hayo huna jipya la kutwambia,utakuwa unatoa mambo hewa hewa yasiyopendeza kusoma.Mfano mmoja ni pale uliposema
"Umeniboa.........lakini Nyerere nitampinga si kwa sababu ya dini zake bali ideology zake na mimi ni mristo!!! note that ni mkristo, ila sitakaa upande wako kumpinga Nyerere kwa elemnt zako chafu za kidini!!". Hapa sipati cha kushika.
Hebu niambie mambo kama yale aliyokuwa akifanya Nyerere miaka hiyo kama yangekuwa yakitokea leo kati ya Tanzania na Zambia,Uganda,Kenya n.k Nyerere angeitwaje?.
Katika kimbele mbele chake lazima kulikuwa na kitu kilichomvutia.Uwezekano ama ni Uislamu(dini),ukabila(kuchukia waarabu) au ubaguzi wa rangi(hakupenda kuona watu wa rangi rangi jirani naye).
Itakuwaje awe na mawasiliano na kila kundi kati ya wanamapinduzi.Mara amwite Karume,mara Hanga,mara Okello!.Hao jamaa kila jambo mbio wanakimbilia kwake,walijuwa kuna mtu wa kunon'gona naye na kuongeza maarifa kuhusiana na mikakati yao.
Kumbuka wakati huo ilikuwa ni nchi mbili tofauti.Muungano bado kufanyika.Ni rahisi kuona kwamba yeye ni mshauri mkuu wa mapinduzi,hata kabla hujasoma habari za akina mzee Issa na Mohammed Mkwawa kwenye hicho kitabu.
 
..mbona wanaotajwa asili yao ni wale waliotoka Bara tu?

..utasikia Mzanzibari mwenye asili ya Tanganyika,Msumbiji,Malawi...kule kwenye ngozi nyeusi tu.

..hata siku moja hutasikia Mzanzibari mwenye asili ya Oman, Yemen, etc etc.

..nadhani wa-Zenj waache kuuliza huyu katoka wapi na mambo mengine kama hayo.

..pia waachane kwa muda na kilichokea kabla[utumwa,umwinyi,..], wakati[mauaji..], na baada ya mapinduzi.

..kuna mambo ya msingi ya kushughulikia hapo Zenj na siyo haya mambo ya ku-dig about the past and pointing fingers.

..challenge moja inayowakabili wa-Zenj ni hii hapa: kati ya mwaka 1970 mpaka 1980 uzalishaji wa karafuu ulianguka toka tani 14000 mpaka 3000. nini kifanyike kuinua zao hilo ambalo ndilo uti wa mgongo wa uchumi wa Zenj?

..Zanzibar inatakiwa itafute sekta mbadala zaidi ya zao la karafuu itakayokuwa engine ya uchumi wa Zenj.

..badala ya kuhangaika na historia ambayo imejaa mambo mengi ya kusikitisha, wa-Zenj waungane kushughulikia future yao. tena sasa hivi kuna hii ahueni iliyotokana na serikali ya mseto wa CCM na CUF.
Wewe unazungumzia kuhusu kupungua uzalishaji wa karafuu.Hilo ni dogo kwani mikarafuu yenyewe kuna uwezekano wa kutoweka kabisa kwa kasi inavyokufa.Hii inatokana na kwamba kupitia zao hili kulipita dhulma kubwa kwa mashamba kugaiwa kisiasa kuwanyanga'anya wamiliki wake halali.
Kumbuka propaganda kubwa iliyofanywa ni kwamba walinyanga'anywa waliowatumikisha mababu zetu na hivyo kugaiwa vitukuu vya hao waliotumikishwa.Hapa pana utata mkubwa na hakuna uhalali ndio maana Mwenyezi Mungu amekasirishwa na dhulma hiyo.
Kwa kweli wakati mashamba haya yanagaiwa eka eka wala walioyamiliki hawakuwa waarabu kama walioyagawa walivyopenda ieleweke,bali yalikuwa yanamilikiwa na wazanzibari ambao ni waislamu,wenye rangi za kila aina.
 
Kuna baadhi ya watu ambao wanajitambulisha kama waislamu ambao kila kukicha wanafanya juhudi kumfanya Nyerere aonekane "amewakandamiza waislamu". Waislamu ni sehemu muhimu sana ya jamii pana ya watanzania lakini pia Nyerere ni kiongozi muhimu ktk Tanzania hivyo ni lazima madai hayo yawe ni zaidi ya malalamiko na shutuma tu na yapaswa kuwa na uthibitisho (ambao ni zaidi ya maandisi ya wanazuoni wa dini wakitoa shutuma hizo hizo) wenye mashiko (ambao hadi sasa sijauona). Vinginevyo tutahoji lengo lenu hasa ni nini???

Lakini pia kuna watu wanadai mchango wa waislamu ktk harakati za uhuru hautambuliwi. Historia haipotosheki kirahisi na historia ya mahali ni mali ya jamii nzima kwahiyo mzalendo yeyote aliyefanya mema kwa nchi hii aghalabu atakumbukwa kama si na jamii nzima basi hata jamii yake iliyomzunguka na mema aliyofanya yatasimuliwa (hata kama hakuna vitabu vilivyoandikwa) vizazi na vizazi. Hii ni kwasababu mara nyingi historia huwabeba wenye madaraka na kuwasahau waliofanya juhudi tangu mwanzo(na hili halina udini). Jiulize hata ktk Zanzibar ambapo uislamu ndio dini kuu, ni wote waliopigania uhuru au mapinduzi wametukuzwa kama mashujaa? Kwanini atukuzwe zaidi Karume na Mzee Moyo na wenzake?Je, walifanya harakati za mapinduzi peke yao?Kuna watu wangapi ambao ni waislamu kama Karume na wenzake ambao hawatukuzwi kama mashujaa kitaifa?

Watu wana utambulisho mwingi,taifa,kabila,dini,ukoo,jina n.k. Shida ni pale kung'ang'ania utambulisho wa kidini ktk kila jambo na hasa mambo ya kitaifa. Wakati mwingine, itoshe tu kusema kuwa Rashid Mfaume Kawawa "Simba wa vita", alikuwa kiongozi shupavu na mzalendo bila ulazima wa kusema Rashid Mfaume Kawawa, ambaye alikuwa ni muislamu, alikuwa kiongozi shupavu na mzalendo.

Hivyo, kama kuna uthibitisho kuwa kuna watanzania wamepigania uhuru kwa mchango mkubwa na hawakumbukwi wala kuthaminiwa, majina yao na yapelekwe kunakohusika na wawekwe ktk nafasi yao stahiki kama watanzania na si kama watu wa dini fulani.
 
Kuna baadhi ya watu ambao wanajitambulisha kama waislamu ambao kila kukicha wanafanya juhudi kumfanya Nyerere aonekane "amewakandamiza waislamu". Waislamu ni sehemu muhimu sana ya jamii pana ya watanzania lakini pia Nyerere ni kiongozi muhimu ktk Tanzania hivyo ni lazima madai hayo yawe ni zaidi ya malalamiko na shutuma tu na yapaswa kuwa na uthibitisho (ambao ni zaidi ya maandisi ya wanazuoni wa dini wakitoa shutuma hizo hizo) wenye mashiko (ambao hadi sasa sijauona). Vinginevyo tutahoji lengo lenu hasa ni nini???

Lakini pia kuna watu wanadai mchango wa waislamu ktk harakati za uhuru hautambuliwi. Historia haipotosheki kirahisi na historia ya mahali ni mali ya jamii nzima kwahiyo mzalendo yeyote aliyefanya mema kwa nchi hii aghalabu atakumbukwa kama si na jamii nzima basi hata jamii yake iliyomzunguka na mema aliyofanya yatasimuliwa (hata kama hakuna vitabu vilivyoandikwa) vizazi na vizazi. Hii ni kwasababu mara nyingi historia huwabeba wenye madaraka na kuwasahau waliofanya juhudi tangu mwanzo(na hili halina udini). Jiulize hata ktk Zanzibar ambapo uislamu ndio dini kuu, ni wote waliopigania uhuru au mapinduzi wametukuzwa kama mashujaa? Kwanini atukuzwe zaidi Karume na Mzee Moyo na wenzake?Je, walifanya harakati za mapinduzi peke yao?Kuna watu wangapi ambao ni waislamu kama Karume na wenzake ambao hawatukuzwi kama mashujaa kitaifa?

Watu wana utambulisho mwingi,taifa,kabila,dini,ukoo,jina n.k. Shida ni pale kung'ang'ania utambulisho wa kidini ktk kila jambo na hasa mambo ya kitaifa. Wakati mwingine, itoshe tu kusema kuwa Rashid Mfaume Kawawa "Simba wa vita", alikuwa kiongozi shupavu na mzalendo bila ulazima wa kusema Rashid Mfaume Kawawa, ambaye alikuwa ni muislamu, alikuwa kiongozi shupavu na mzalendo.

Hivyo, kama kuna uthibitisho kuwa kuna watanzania wamepigania uhuru kwa mchango mkubwa na hawakumbukwi wala kuthaminiwa, majina yao na yapelekwe kunakohusika na wawekwe ktk nafasi yao stahiki kama watanzania na si kama watu wa dini fulani.

Wewe binafsi inaonekana una nia njema na kama ungekuwa katika hiyo nafasi basi ungefanya kweli.Lakini nani mwengine atafanya kazi hiyo,kwa sababu sio kweli kwamba majina hayo hayajulikani.
Wenye kulalamika sio akina mie bali hao wahusika wenyewe na bado haijawa kitu.Hii ina maana historia inayoandikwa kisiasa mara nyingi haina maana yoyote na ni upotoshaji.Ndio maana ubaya wa Nyerere hautajwi kwenye historia ya serikali na historia ya mapinduzi ya Zanzibar karibu yote ni uongo.Ukweli tunaupata kwenye utafiti kama wa kitabu hapo juu.
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad anaelezeya kunako kitabu cha kumbukumbu ya maisha yake:[FONT=Adobe Caslon Pro,Adobe Caslon Pro][FONT=Adobe Caslon Pro,Adobe Caslon Pro]Mlango wa Pili [/FONT][/FONT]22
Julius Nyerere, Rais wa Tanganyika, ana sehemu ya lawama kwa mapinduzi ya Zanzibar. Aliamini kuwa Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika na alianza kuyaingilia mambo ya Zanzibar mapema kuanzia katika miaka ya 1950…Mpaka sasa hivi, hadithi iliopo ni kuwa watu wa Zanzibar ndio walioyapanga mapinduzi, lakini kuna ushahidi kuwa Tanganyika ilihusika tena sana. Wengine wanaamini kuwa askari kutoka Tanganyika ndio waliyoyaongoza mapinduzi. Kwa kutumia ujanja, Watanganyika waliyagubika mavamizi kwa kuyafanya yaonekane ni mapinduzi, na ndio mwanzo wa matatizo ya Zanzibar kama ni dola.
Hisia yangu ni Nyerere alikuwa ndio kichwa nyuma ya mapinduzi. Ni vigumu kuziamini hadithi zenye kusema kuwa mwanzoni wanamapinduzi waliipinduwa serikali kwa mapanga tu; silaha walizozitumia zilitoka bara. Nyerere anabeba lawama pamoja na wanasiasa wa Kizanzibari kutoka pande zote mbili…Wanasiasa wetu wenyewe walimpa Nyerere fursa kuyaingilia mambo ya Zanzibar.20
 
The Nine Hour Revolution: Nine Hour Revolution

Violence.JPG


Zanzibar is well known for it's "Shortest War in History". A 19th Century battle that lasted only about 45 minutes but served to demonstrate for all time the Iron fist beneath the pre-colonial European domination of East Africa.
What is less well known is the 20th Century record Zanzibar set for similar brevity in the Zanzibar Revolution of 1964. In this Revolution a government with over a century of continuity was toppled in less than a day. Essentially a Settler Society, with well defined Arabic, Indian, Swahili, Comoran and indigenous elements, and ruled by an Hereditary Sultan, the newly independent Nation of Zanzibar vanished in astounding suddenness.
That night was full of suspense and surprise, courage and despair. It began at 3 am on the day just before a large religious Holiday. The holiday prompted large numbers of people to congregate in and around Stone Town. They set up tents or just sleep under the palms while awaiting the opening of the festivities in the morning. Among the crowds were large numbers of young men, some of these men were followers of a minor politician named John Okello. Just how many men actually followed Okello into revolutionary battle is of some dispute.
Clove_Flag.gif

It is clear that by the end of that fateful day thousands had joined the revolutionaries but this was after the results were known. It's also true that Field Marshal Okello talked of having had 4 "battalions" in the field against the government forces that night, but how men many were really there when it counted?
Okello reported that the revolution began when he marched in the dead of night on the Ziwani Police Barracks (and Armory) at the head of the 250 men of his "4th Battalion". At 3:00 am he ordered his men to cut the wire surrounding this fortified compound. That was the first real revolutionary act and it served to "separate the men from the boys". Okello said of his men at the time, "The enormity of our predicament was suddenly obvious to them: we, armed with pangas, spears and a few motor car springs were going to face the risk of close combat with men armed with automatic rifles... ". All but 40 men deserted or refused to crawl through the wire.
These 40 men seized the Island of Zanzibar and toppled a dynasty that had ruled the islands through 12 Sultans for over 133 years.

The revolutionaries crawled to within 25 meters of the Barracks building. Inside, asleep were scores of paramilitary police. However like most sensible people on Zanzibar they slept on the upper floors of the building, where cooling ocean breeze could ventilate the hot tropical nights. Only two men were awake and on guard duty below.
Okello_bren2.jpg

John Okello and his men rushed at these guards. Automatic fire rang out and three of the 4th battalion men went down. However one of sentries also fell, downed by an arrow shot by a revolutionary named Albert. By then Okello had closed on the remaining sentry. It was here that the deciding moment of the revolution occurred. The two crashed together, the Field Marshall tells us that "I got hold of the gun, we fought and I managed to hit him in the cheek with the gun butt". The firing stopped.
His men were now at the gates of the armory where hundreds of modern weapons and thousands of rounds of ammunition were locked up. The police above, who were unarmed, (in keeping with standard peacetime practice, all weapons were locked away "for safekeeping" when the officers were off duty), attempted to storm down the single exterior staircase and enter the fray. However the 4th Battalion men unleashed a rain of spears, arrows and stones on the stunned troops and they piled up upon themselves on the narrow staircase. Okello's liberated rifle, which had only three bullets left, decided the issue with a short burst of fire. The police retreated back upstairs to look for ropes to lower men out of the windows.
It was too late. The doors of the armory gave way and the 4th Battalion rushed in. Soon every man was armed with a modern automatic rifle. The "Freedom Fighters" who had started the night armed with sharpened automobile springs now were the best equipped force on the Island. They poured a fuselage of fire into the upstairs rooms and very shortly the surviving police surrendered.

The Sultan's forces made one serious attempt to counter attack the rebels. The "flying squad" arrived on the scene about an hour after the defeat of the Ziwani garrison. These 75 or so men had only light duty firearms and were no match for the now heavily armed Battalion ensconced in the fortified Armory. The rebels allowed the Sultans' paramilitary police to approach and then poured an overwhelming storm of fire into them. The firing was so intense that the surrounding bush caught fire and the police retreated in despair.
Sultans_escape.jpg


With their new base secure, guns were distributed to the other three Battalions (who had encircled but not yet attacked other key sites). In short order the few other police posts and the communications centers were overrun and captured. The most serious resistance was offered by the Malindi Police Station, where firing could still be heard in the late hours of the morning. However by noon the Sultan had fled, the rest is history.
 
Wewe unazungumzia kuhusu kupungua uzalishaji wa karafuu.Hilo ni dogo kwani mikarafuu yenyewe kuna uwezekano wa kutoweka kabisa kwa kasi inavyokufa.Hii inatokana na kwamba kupitia zao hili kulipita dhulma kubwa kwa mashamba kugaiwa kisiasa kuwanyanga'anya wamiliki wake halali.Kumbuka propaganda kubwa iliyofanywa ni kwamba walinyanga'anywa waliowatumikisha mababu zetu na hivyo kugaiwa vitukuu vya hao waliotumikishwa.Hapa pana utata mkubwa na hakuna uhalali ndio maana Mwenyezi Mungu amekasirishwa na dhulma hiyo.Kwa kweli wakati mashamba haya yanagaiwa eka eka wala walioyamiliki hawakuwa waarabu kama walioyagawa walivyopenda ieleweke,bali yalikuwa yanamilikiwa na wazanzibari ambao ni waislamu,wenye rangi za kila aina.
kujua historia ni muhimu mno, kwani tutajifunza ni wapi wenzetu walifanya makosa yaliotufikisha hapa.Vyenginevyo tutakunya juu ya kutu
 
Harith Ghassany ni nani na hiki kitabu 'KWA HERI OKOLONI, KWA HERI UHURU' KINAPATIKANA WAPI?


HARITH GHASSANY

E-mail: hghassany@gmail.com

Mobile phone (202) 378 6682

310 Long Trail Terrace, Rockville, Maryland, United States of America, 20850

EDUCATION

Harvard University – Cambridge, Massachusetts, USA.
Doctor of Philosophy in Anthropology and Middle Eastern Studies, 1995.

Harvard University – Cambridge, Massachusetts, USA.
Master of Arts in Anthropology and Middle Eastern Studies, 1991.

University of Michigan, Ann Arbor, USA.
Master of Arts in Modern Near Eastern and North African Studies, 1988.

The American University in Cairo, EGYPT.
Bachelor of Arts (Honors) in Middle Eastern Studies, 1985.

WORK EXPERIENCE

1995-2008: Department of Behavioral Medicine (Behavioral Sciences & Psychiatry) College of Medicine and Health Sciences, Sultan Qaboos University.

January 1 to December 31, 2009: Visiting Scholar at Georgetown University Law Center, Georgetown University, Washington, DC.

TEACHING

Assistant Professor in Behavioral Sciences (Social Sciences and Humanities)

Course coordinator and instructor for “Topics in Health and Healing”.

Teaches modules in “Brain, Behavior, and Behavioral Problems in the Community” and “The Basics of Human Psychology”.

Involved in reviewing traditional teaching methods and in the introduction of student-centered active learning in the Department of Behavioral Medicine.

Teaches 5th year clinical medical students during the Psychiatry Rotation on the importance and applications of the over-looked perspectives of patients in enhancing clinical consultation and therapeutic outcome in the context of Arab-Islamic cultures.

Regular presenter and resource person to School for International Training (SIT) Study Abroad (undergraduate field study around the world) students from the USA to the Sultanate of Oman.

COLLEGE ACADEMIC ACTIVITIES

Founding member of the Social Medicine Forum at Sultan Qaboos University which aims at shifting the medical focus away from “body-centered” to “person/society centered” medicine, 1999.

Coordinator of the annual Inter-disciplinary Activity Week on “Medicine, Ethics and Society” for 6th year medical students. The program benefits tremendously from the participation of Dr. Muhammed Al-Bar who is one of the worlds’ leading scholar in Islamic Medical Ethics.

Academic advisor to a prescribed number of medical students.
PROFESSIONAL COMMITTEES

Member of the Selection Committee for Oman Medical Specialty Board (OMSB) for Psychiatry, 2008.

Entrusted by the College Board of the College of Medicine and Health Sciences to chair a Task Force and produce a proposal that will look into the possibility of starting a Unit, Center or course in Medical Ethics. December, 2006.

Member of the Oman Medical Specialty Board scientific committee for Psychiatry, 2007.

Invited to participate in the Peer Review Process for the Undergraduate Research Experience Program (UREP) which was launched by the Qatar National Research Fund (QNRF), November, 2006.

Member and representative of the Department of Behavioral Medicine to the Basic Health Sciences Committee.

Member of the Faculty-Student Liaison Committee.

Member of the Sultan Qaboos University Animal Ethics Research Committee.

Member of the College of Medicine Postmortem Task Force.

Member and Reporteur for Teaching and Learning Committee, Sultan Qaboos University. Visited three centres of excellence in teaching and learning, two Quality Assurance Agencies, and an Accreditation Institute in the United Kingdom, 1999.

In addition to being a member and reporteur of the Teaching and Learning Committee I was involved in writing and submitting a “Proposal For A Centre of Teaching and Learning” to the Academic Council, Sultan Qaboos University. May 1999.

CHAPTER REVIEWS

Provided feedback to ensure accuracy of the artist’s illustrations, proper depictions of dress, architecture, and prayer position, to “The Pious Cat”, an Omani folktale from a picture book collection of cat stories from Asian India, Scotland, Tibet, Burma, the Congo, Aesop and Chippewa, in Meow: Cat Stories from Around the World to be published by HarperCollins Children’s Books, 2003.

Reviewed with Professor Ala’Aldin Al-Hussaini, a book chapter ‘Historical Relationship Between the Major Religions and Psychiatry’ for Professor J. David Kinzie of Oregon Health Sciences University, 1997.

CONSULTANCY REPORTS

Ghassany, H. (2008) The Need for Evidence in Health Policy-Making, Principal Investigator for the Sultanate of Oman (other country teams are Argentina, Egypt, Iran, Malawi and Singapore) in an International Collaborative Project sponsored by WHO/EMRO, Johns Hopkins University and Global Forum for Health Research, Geneva.

Ghassany H. (1999). Social Impact Assessment Report of the Sohar Industrial Area Master Plan for Brown & Root Mid-East LLC which looked at the potential impact of 20,000 construction workers and 6,000 production work force on the physical and social infrastructure of Sohar. The report reviewed the advantages of integrated human settlements and the associated economic spin-offs of the industrial complex. Policy implications and recommendations were put forward in the study and a likely profile of economic development and creation of employment in and around the SIA industrial complex was presented in the report. The Sohar Port will be the third largest port in the world.

Ghassany H. (1997). Social Assessment Impact Report on Recharge Dams for the Musandam Peninsula which guards the Strait of Hormuz, where more than 70% of Western energy supplies pass through, as part of “Semi-detailed studies of recharge dams and other hydraulic structures in Musandam Region” for Travers Morgan (Oman) Limited. Health implications of cisterns and types of reported water borne diseases were also covered.

PROJECTS

Asked by the Dean of the College of Medicine & Health Sciences at Sultan Qaboos University to present the UNESCO proposal for Bioethics Chair to the College Board and the Academic Council. April 2008.

Principal Investigator for Oman in an international (Argentina, Egypt, Iran, Malawi and Singapore) collaborative research project sponsored by the World Health Organization (WHO), Johns Hopkins University, and Global Health Forum, on “Exploring demand for health research by national policy-makers: an empirical approach.”

Invited by the Ethics Teaching Consultation Meeting as an Ethics Expert to deliberate on the Ethics Education Program for the Undergraduate Medical Curriculum for UNESCO member states – 4 and 5 July 2007 in UNESCO Headquarters in Paris, France, and plan to integrate the UNESCO program into the undergraduate medical curriculum at Sultan Qaboos University.

CONFERENCES & WORKSHOPS ATTENDED

Engaging Africa/Advancing African Studies, University of Michigan Studies Center Launch Symposium, March 12-14, 2009.

International Symposium on 800th Anniversay of the Birth of Rumi, 8-12 May 2007, Istanbul and Konya.

Regional Ethics Teaching Experts Meeting. Gave a presentation on ‘Teaching Medical Ethics at Sultan Qaboos University.’ Organized by UNESCO. November, 2006, Muscat, Oman.

Exploring demand for health research by national policy-makers: an empirical approach, September 2006, Cairo, Egypt.

The Global Worlds of the Swahili: Intercultural dialogue on the Indian Ocean, 2003, Zanzibar, Tanzania.

Summit of World Muslim Leaders: Islam and a Future World of Peace, 2001, Jakarta, Indonesia.

Delivered a paper on “Discovering versus Covering: A New “PBL” in Behavioral Sciences” to the “2nd Asia-Pacific Conference on Problem-Based Learning: Innovative Problem-Based Learning Across Disciplines” December 2000, Singapore.

“Mutualities: Britain and Islam”, which dealt with ways of creating economic and social bridges between British Muslims and Muslim government and NGO representatives from Commonwealth countries, and on Muslim identity in Britain and Europe, London, 1999.

“Challenges of the Next Millennium: Education and Development of Human Resources” which was held in Abu Dhabi, United Arab Emirates, May 1998.

“Contribution of Social Anthropology to the Education and Training of Psychiatrists” at Keele University, UK, 1996.

“Medical Anthropology and Alternative Systems of Healing” New Delhi, India, 1995.

PUBLICATIONS

Ghassany H, (2002). The Calls of Kairos and Islam. Islam and Christian-Muslim Relations, 13, 303-313.

Al-Adawi S, Atsu S.S. Dorvlo, Suad S. Al-Ismaily, Dalal A. Al-Ghafry, Balquis Z. Al-Noobi, Ahmed Al-Salmi, David T. Burke, Mrugeshkumar K. Shah, Harith Ghassany & Suma Chand (2002), Perception of and attitude towards mental illness in Oman, International Journal of Social Psychiatry, 48, 305-317.

Martin R, Ghassany H, Al-Adawi, S (2001). Psychiatric treatment in Oman. Oman Medical Journal, 18, 4-6.

Al-Adawi S, Salmi A, Martin RG & Ghassani H (2001). Zar: group distress and healing. Mental Health, Religion and Culture, 4, 47-61.

Ghassany H, Al-Hussaini A (2000). Discovering versus Covering in Behavioural Sciences. PBL: Educational Innovation Across Disciplines. Submitted to the 2nd Asia-Pacific Conference on Problem-Based Learning, Singapore.

Al-Adawi S, Ghassany H, et al (1999). Sub-Clinical Eating Disorders: Preliminary Study of Students in Muscat, Oman Medical Journal, 14, 28-29.

COMMUNICATION & CROSS-CULTURAL SKILLS

Trilingual in Kiswahili, English, and Arabic.

HOBBIES

Aikido, farming, reading.
 
Muanzisha maada ungesema tu kuwa Nyerere alihusika tungekuwa upande mmoja na ningekupa supportive documents. unaposema swala la uislam, udini na ukabila ,.Umeharibu thread. Thread hii ungeona our true colours kuhusu Nyerere. Mimi namheshimu Nyerere ila niko agiansta naye na theory zake nyingi sana. Hata la Zanzibar ningekueleza kwa undani Ulipoweka uislamu, na kuwa Nyerere aliupindua uislamu ndani ya TANU ili hali leo hii bado CCM-top leaders na kwenye KK wengi ni waislamu haiingii akilini sasa ni hivi, JAZA THREAD HUMU ZA KUMPONDA NYERERE KWA KUTUMIA UISLAMU, JAZA THREAD ZA KUMPONDA MKRISTO KWA KUTMIA UISLAMU , JAZA AKILI YAKO YA KIBAGUZI uone kama utapata kipya au kubadili ukweli. Umeniboa.........lakini Nyerere nitampinga si kwa sababu ya dini zake bali ideology zake na mimi ni mristo!!! note that ni mkristo, ila sitakaa upande wako kumpinga Nyerere kwa elemnt zako chafu za kidini!!
duh! Hadi Engeneer umeshtuka... Ni kweli hapo Eng, jamaa alieanzisha thread anaonekana anapenda sana watu waanze kulumbana kwa misingi ya kidini! Na sio kujadili mapinduzi ya Zanzibar na Nyerere..
 
Inasikitisha sana kumsoma MUISLAAM akiandika upuuzi huu kwa manufaa yasiyojulikana. Tena kibaya zaidi kwa sababu kasoma kitabu ambacho mwandishi alikuwa na malengo yaliyotazama upande mmoja. Ni rahisi sana kulalamikia upande wa pili ikiwa wewe mwenyewe unatazama upande mmoja.

Hivi kweli kuna tofauti gani kusema Mapinduzi ya Zimbabwe au South Afrika yaliikuwa ya kumwondoa Kaburu na kumwingiza Mwafrika mweusi, au kuzungumzia Mapinduzi ya Saudia ni ya mwarabu kumwondoa Mzungu -Muingereza, au hata ya Muingireza mzungu kumwondoa Mtaliani mzungu koko na kadhalika. Yote haya ni makosa ya wazi ya mwandishi kutofahamu maana ya UHURU na thamani ya wananchi wenyewe kujitawala hata kama watapitia mitihani yenye kutafsirika vibaya.

Waislaam ni lazima wafahamu kwamba Dini ni imani na imani yenyewe inaanza kwa kukiri kwa moyo na kubailini kwa Ulimi kwamba hapana Mola apaswaye KUABUDIWA isipokuwa Mwenyezi Mungu. Na usipooweza kumwabudu MUNGU basi wewe huwezi kuitwa Muislaam kwa kauli uloitoa hata kama unasema kila dakika ya maisha yako. Imani yako inapimwa na ibada (kuabudu) na sii kauli za mdomo..

Inasema - Tofauti baina ya Muislaam na kafir ni Sala! yaani wewe unayejiita Muislaam utabakia muislaam jina kama utashindwa kusimamisha SALA, na hakika huna tofauti na Kafir (asiyeabudu) hii ni moja ya maamrisho ya mwenyezi Mungu kukufahamisha kwamba kauli tupu haikufanyi wewe kuwa Muislaam safi.

Labda niwakumbushe tu kwamba Sayydina Omar ambaye alikuwa jasiri na Muislaam safi aliweza kuingia kanisani (Jarusalem) kuweka mkataba wa amani na Wakristu ili Waislaam nao waweze kufanya ibada zao na kuwa huru ktk nchi ambayo ilitawaliwa na Wakristu. Na zaidi ya yote huyo huyo Omar tunamkuta na mahusiano mazuri na mtawala wa Abesinia (Ethiopia) ambaye alikuwa mkristu na hakika mahusiano yote haya yanatuonyesha jinsi Uislaam ulivyoweza kuwa karibu na Wakristu toka enzi za mtume.

Leo hii tunawakuta waislaam feki mnakuja na hizi imani feki kuzungumzia rangi zetu kama sifa ya kutawala watu wengine. Kama mliona nyie waarabu kwa nini mlitawala Zanzibar nchi ya watu weusi hali hamkuwa na nia yoyote inayohusiana na dini zaidi ya kutawala na kushamirisha biashara ya Utumwa. Hivi kweli mtu unaweza kumwita Sultan Muislaam hali aliondosha biashara za viungo (spices) na kujikita ktk biashara ya UTUMWA kutokana na soko la watumwa kutakiwa nchi za Marekani ya kaskazini na Kusini!

Haya Nyerere kayafanya Mapinduzi kweli, na mna kila sababu ya kumhusisha na Mapinduzi yale lakini maajabu ya Firaun nyie tena mnakuja kuhoji Muungano wakati mnajua fika kwamba Nyerere ndiye kinara wa Mapinduzi ya Wazanzibar! pengine dhamira ya Mapinduzi toka mwanzo yalikuwa kuunganisha bara na Zanzibar kwani TANU na ASP walikuwa wakishirikiana toka mwanzo hata kabla ya mapinduzi.

Sasa nyie waarabu mnachokitaka kipi haswa ikiwa lengo lilikuwa kuondoa Utawala wenu na kama kweli ilikuwa kuondoa waarabu na Uislaam mbona Waarabu wapo tena kwa hesabu kubwa na Uislaam kwa asilimia 99 na unanadiwa hadi ktk siasa?
 
i Hakuna ubishi kuhusu ushujaa wa Karume kwenye Mapinduzi ya Zanzibar ila kutokuwepo kwakwe kusisingiziwe ni Nyerere.

Karume aliwachukua wanae Amani na Ali usiku wa manane, wakasafiri kwa mtumbwi kuja bara. Wakashukia Bagamoyo.

Ukweli ni kwamba, Karume aliyakimbia Mapinduzi kuokoa nafsi yake na wanaye just incase mapinduzi yale yasinge faulu, japo sababu iliyotolewa sio kwamba Karume alikimbia bali eti alikuwa anawapeleka shule wanawe Amani na Ali walikuwa wakisoma shule nchi alikozaliwa baba yao, Malawi!.

Maadam mapinduzi yamefanikiwa, Karume alirejea Zanzibar na ni shujaa wa mapinduzi!.

"History is written by the victors." - Winston Churchill
 
Back
Top Bottom