VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Kuna kila dalili kuwa Bunge la Kumi likapinduliwa na kuitishwa uchaguzi Mkuu wa Bunge.Hii inatokana na kiburi kinachooneshwa na Wabunge pamoja na Spika wao kuendelea kuujadili Muswada wa Katiba wakati umma hauko tayari kwa hilo.Mambo hayo hayako mbali.CHADEMA,NCCR-Mageuzi,Jukwaa la Katiba na wanaharakati wengine hawatakuwa viongozi wa mapinduzi hayo.