Mapigano ya kugombea ardhi yaua Tegeta

hili la tegeta limenikumbusha ile filamu ya HOTEL RWANDA ya mauaji ya Rwanda ...kweli kumekucha Tz ila atakayechezea nguvu ya umma mara hii ataiona patashika kuanzia Magogoni-kanyigo hatapona mtu
 
Huo ni uonevu, watakamatwa hata ambao hawajui nini kinaendelea..
 
Wakati ule wa enzi ya RAI chini ya J.Ulimwengu makala nyingi zilizokuwa zinatoka katika gazeti hilo zilikuwa zinaonya bomu litakalo lipuka kutokana ukubwa wa pengo lililokuwa likiongezeka(na sasa linaongezeka kwa kasi zaidi) kati ya wenyenacho na wasionacho. Leo ITV ndio wamenionyesha(Mapigano ya Tegeta) kuwa zile makala ziliandikwa na watu wenye maono.

Watanzania(mlioko madarakani) nina hakika mnaelewa kabisa kuwa Tukio lililotokea Tegeta leo limeonyesha jinsi wananchi ambavyo wamechoka kuonewa (kuporwa haki zao za msingi). Nawatahadharisha msije mkajaribu kutatua mgogoro huu kwa jazba au visasi. Mkifanya hivyo nawahakikishia mtaanzisha virugu ambazo hamtazidhibiti kamwe.
Kweli mdau tutatumia hekima pale inapowezekana na pale isipowezekana nguvu ya umma itakuwa applied na si vinginevyo!!
 
Hivi kile kitengo cha taarifa za kiintelejensia kimefutwa:A S-key:
 
People's power is gradually taking its real shape. We are slowly getting used to seeing people killing one another openly. May our Almighty God help us not to reach there.
Sio kwa tafsiri hiyo kuuz watu waliokuja wakikusudia kuua!! hakuna anaeshabikia ila ujiulize hawa mabaunsa kama wasinge kutana na nguvu ya umma wangefanya nini? kubomolea watu nyumba zao si sawa na uuaji? Jitahidi kufikiria vizuri usiwe na ushabiki.
 
kitengo cha inteligencia bongo? Hapa hamna kitu ila longolongo
 
Hapo wangeambiwa kuna maandamano ya CDM wangekuja fasta ndani ya dk 1 tu....lakini kwa mambo muhimu kama haya wanabaki kusuwa suwa tu
 
Inasikitisha sana, Ooooh Tanzania maskini. Kesho utasikia watawala, ''Ilikuwa bahati mbaya''. Shame upon you. Damu hii iliyomwagika iwe laana kwenu ninyi na vizazi vyenu.
 
Mnapozungumzia amani ya nchi yetu try to compare with other countries especialy the neighbours.
Let thank God 4small and fight 4 the big one,
2siseme hakuna amani, amani ipo, 2kiri kabisa, na sehemu iliyopelea ndo tuitafute
 
Kwani walikuwa wapi kuja kuzuia hayo mauaji? Siwaliitwa wakagoma kwenda? Walikuwa na nafasi kubwa ya kuzuia hayo mauaji yasitokee lakini kwa kuwa issue yenyewe haikuwa na mshiko basi walidharau kwenda na sasa hapo tayari wamepata mtaji. Kila anayesombwa kuja kuachiwa inabidi zikutoke za kutosha!!!!

Tiba

Polisi wa dar ni polisi wa kuongoza misafara ya viongozi, kazi za polisi wanazozijua ni chache sana.

Muda wote ni kukaa barabrarani na kuzia magari ili misafara ipite. Hata nembo yao ingebalishwa na kuwa usalama wa viongozi na isisomeke usalama wa raia.
 
Intellingesia ya polisi leo imeenda likizo??????? au ni kwa ajili ya maandamano ya Chadema tu, ni aibu kwa jeshi letu na inaonesha ni jinsi gani Tanzania hatuko salama kwa kuwa polisi wamelala.
 
Kuwaua mabaunsa nimakosa,ila sasa itakua funzo kwawalewote wajifanyao wapo juu yasheria kwapesa zao,na hao madalali wataogopa kufa sasa walizidi kuonea watu,hili litakua funzo kwa nchi nzima.
 
Mnapozungumzia amani ya nchi yetu try to compare with other countries especialy the neighbours.
Let thank God 4small and fight 4 the big one,
2siseme hakuna amani, amani ipo, 2kiri kabisa, na sehemu iliyopelea ndo tuitafute

nchi yetu haina AMANI bali ina UTULIVU
 
Tatizo ni mifuko yao ijae,wameona mtu aliyeko bar ana uwezo wa kutoa rushwa kirahisi kwa maana ame-aford kununua KA-CHUPA basi watamtisha walau wapate ya kurudi nayo LA-INI POLISH........kwa kauli za (wewe unajua kesi hii ni kubwa,afu afande alisema msidhaminiwe kesho mahakamani moja kwa moj!!!,)
 
Back
Top Bottom