Mapepo bungeni

oba

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
310
65
Jamani kuna hoja imesemwa bungeni sasa hivi na mmoja wa wabunge kuwa kuna mapepo yameingia bungeni hata kupelekea ufisadi wa baadhi ya mawaziri na wengine kuutetea.
Ameomba waalikwe mapadri na masheikh wawaombee
Hili lawza kuwa kweli
Nawasilisha!
 
mapepo? ndio kisingizio siku hizi, mapepo mapepo na wewe unasema eti 'yaweza kuwa kweli'
nini mashaka kama unafikiri kwa kutumia ubongo, mkuu!!!
 
hao mawaziri wenye mapepo waje huku kwa wananchi wenye hasira kali tuwapepee yatatoka na ufisadi watauogopa kama ukoma
 
Shetani wa mtu ni mtu mwenyewe, ccm waache kusingizia pumbavu zao!
 
iv yule mchawi mbunge wa ccm tanga anaitwa nani?uyo ndo kaleta ayo mapepo kama vp wamtoe kwanza ubunge,ujue jasiri haachi asili ivoo
 
iv yule mchawi mbunge wa ccm tanga anaitwa nani?[MAJI MAREFU[uyo ndo kaleta ayo mapepo kama vp wamtoe kwanza ubunge,ujue jasiri haachi asili ivoo

Inawezekana ni yale yaliyofukuzwa na mama Rwakatale kanisani kwake yamekimbilia mjengoni
 
Back
Top Bottom